Jumatano, 20 Agosti 2014

Picha za nyumba mpya ya Justin Bieber yenye night club,gym na movie theater.

00Hivi sasa Justin Bieber anaweza kujiachia kwenye club bila kupigwa picha na mapaparazi kwa sababu nyumba yake mpya ina night club na bar tatu ndani yake.
Japokuwa pesa alizolipa Bieber kumiliki nyumba hii haijawekwa wazi, sifa zake ni kuwa na ukubwa wa square meter 16,000,vyumba vya kulala 10,gym kubwa,bwawa la kuogelea,movie theater yenye screen ya inch 160 na vitu vingine.
Justin Bieber ameshahama kwenye nyumba aliyokuwa amepanga na kuhamia kwenye nyumba hii mpya aliyonunua. Hizi ni picha 10 zikionyesha nyumba hiyo
0
1
2
3
4
5
6
7
8
9

Mtoto wa Jackie Chain akamatwa na gram 100 za bangi.

jacki
Jackie Chain ambaye aliwai kuwa balozi wa kampeni za kupinga matumizi ya dawa za kulevya amejikuta kwenye wakati mgumu na kumlazimu kuomba msamaha kwa kwa ajili yake na kwa niaba ya mwanae Jaycee Chain.
Kwenye website yake Jackie Chain ameandika, “Kutokana na swala la mwanangu Jaycee, nimekasilishwa na nimeshtushwa sana. Kama kioo cha jamii najiskia aibu sana, pia kama baba nimeumizwa sana. Mimi na Jaycee kwa pamoja tulazimika kuomba msamaha kwa jamii nzima”.
Jaycee Chain mtoto wa movie star Jackie Chain amekutwa na gram 100 za marijuana kwenye nyumba yake. Jaycee pia ni muigizaji kama baba yake.
ja

Magazeti ya leo August 21 2014 na stori kubwa za Udaku, Michezo na Hardnews

.
.
Kama kawaida udambwi udambwi.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.