Jumamosi, 26 Aprili 2014

Faida ya Msichana mwenye Makalio makubwa kwenye tendo la ndoa, soma hapa kupata maujanja


1. Makaliomakubwa hunisaidia kujua kama mwenzi wangu amefika orgasm, mfano ikitokeana hit Doggie basi wakati wa orgasm (most of girls) makalio huwayanatikikisa (twitch, fasciculate ) ambayo huwa inaambatanana miguno ya kimhaba inayo fifia ambayo kabla ya hapo huwa ya sautikubwa... hii unifanya nijue what to next kumzidishiautamu zaidi. Hii kitu inakuwa ngumu kunotice kwa msichana ambaye nimwembamba just have to relay from other signs



2.Makalio makubwa huwa yananifanya iwe rahisi kwangu kuyashika (grab) especially wakati wa doggie.ikizingatiagym imekubali na kifua na mabega yametanuka ( shoulder to shoulerdistance ni kubwa). itaniwia ngumu sana kama msichana an mwili mdogo namakalio yake pia

SITOKI HAPA ARSENAL; WENGER BADO YUPO YUPO SANA


395308_heroa
ASERNE Wenger amesema bado ataendelea kuwepo Asernal msimu ujao wa ligi kuu nchini England na tayari ameshawaambia viongozi wake kuhusu jambo hilo.
Mfaransa huyo hajasaini mkataba wa miaka miwili alioongezewa katika mkataba wake wa sasa tangu oktoba mwaka jana.
Asernal inasemekana kuwasiliana na Louis van Gaal kufuatia kutokuwa na uhakika wa kuwa na Wenger siku za usoni, lakini Mholanzi huyo amewaambia marafiki zake kuwa yuko makini kufuatilia dili la kumrithi David Moyes , Manchester United.
Hata hivyo, Wenger alipokuwa akizungumza na beIN Sport alithibitisha kuwa anataka kukaa London: “Nimezungumza mara nyingi, nimeshaiambia klabu kuwa nataka kuendelea kuwepo hapa”.
Pia Wenger amezungumzia maisha ya makocha katika mpira wa Kiingereza baada ya David Moyes kufukuzwa na kusisitiza kuwa hawapewi muda kabisa.
“Kama unataka watu bora sehemu yoyote, lazima uwape muda wa kujiboresha na kuwa bora kama utakavyo” alisema Wenger.
“Watu bora hawaji baadaye. Maisha ya makocha wa ligi kuu ni miezi 11. Muda mfupi sana”.
Aidha, Bosi huyo wa Arsenal alisema alishangazwa sana na jinsi Manchester United walivyolishugulikia jambo la Moyes ambapo alishuhudia magazeti mengi yakiripo suala hilo kabla ya klabu kuthibitisha.
“Inashangaza sana. Katika hali kama hii, inatakiwa kocha kuwa mtu wa kwanza kujua. Unazungumza naye ana kwa ana, lakini inakuwa kama ugomvi”.

TAIFA STARS YALAZWA 3-0 NA BURUNDI


April 26, 2014
DSC_0628
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa stars imechapwa mabao 3-0 dhidi ya Burundi katika mechi ya kirafiki ya kuadhimisha miaka 50 ya muungano,  uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam.
Mmechi hiyo imechezeshwa na refa Anthony Ogwayo kutoka Kenya akisaidiwa na Gilbert Cheruiyot na Oliver Odhiambo wote pia kutoka Kenya.
Mwamuzi wa mezani alikuwa Israel Mujuni wa Tanzania wakati Kamishna ni Charles Ndagala.
Mabao ya Burundi yamefungwa na Didier Kavumbagu, Amis Twambwe wanaocheza soka la kulipwa nchini Tanzania.
Bao la tatu la Burundi limefungwa na Yufuf Ndikumana na kuifanya Stars iwahuzunishe watanzania waliokuwa na furaha ya kuadhimisha miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

MHOLANZI AKABIDHIWA MIKOBA TAIFA STARS NA KICHAPO


1394623378275
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza rasmi Mart Nooij kutoka Uholanzi kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya Taifa (Taifa Stars).
Rais wa TFF, Jamal Malinzi amemtambulisha kocha huyo leo (Aprili 26 mwaka huu) kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Akiwa amefuatana na Makamu wake Wallace Karia, amesema anafurahi kumtangaza Nooij na ana matarajio kuwa Tanzania itanufaika na uzoefu wake mkubwa wa ukocha, hasa katika bara la Afrika.
“Nawaahidi Watanzania kuwa sitomuingilia kocha katika kazi yake. Kama mimi sitomuingilia kocha, basi hakuna mtu yeyote atakayemuingilia. Tumemwajiri yeye kwa vile ni mtaalamu, hivyo hakuna sababu ya kumuingilia,” amesema Rais Malinzi.
Naye Nooij ambaye amepewa mkataba wa miaka miwili amesema yeye ni mtu wa maneno mafupi, hawezi kuahidi kitu lakini ana matarajio ya kuifanya Taifa Stars ifanye vizuri katika mashindano mbalimbali.
Amesema kabla ya kukubalia kufundisha Taifa Stars alikuwa na klabu ya St. Georges ya Ethiopia, lakini vilevile amewahi kufundisha mpira wa miguu barani Afrika katika nchi za Burkina Faso, Mali na Msumbiji.

GIGGS ATAKA UKOCHA WA KUDUMU  MAN UNITED, AILAZA NOWRICH 4-0, ROONEY, MATA.

 article-2613799-1D616FC300000578-110_634x585

RYAN Giggs ameanza vizuri kazi yake akiwa meneja wa muda wa Manchester United baada ya kuilaza Nowrich City mabao 4-0 katika mechi ya ligi kuu soka nchini England kwenye uwanja wa Old Trafford.
Wayne Mark Rooney amefunga mabao mawili, huku Juan Mata aliyeanzia benchi leo hii naye akifunga mabao mawili.
Giggs ambaye kwa muda mrefu ameitumikia klabu ya Man United akiwa mchezaji, aliteuliwa kuwa kocha mkuu wa muda baada ya David Moyes kufukuzwa kazi jumanne ya wiki hii.
Matokea ya leo ni mabaya mno kwa Nowrich City kwasababu yanawaweka katika hatari ya kushuka daraja, huku wakibakiwa na mechi ngumu dhidi ya Asernal na Chelsea.
article-2613799-1D61DF3000000578-499_634x383 

Baada ya mechi ya leo, Nowrich wanabakia katika nafasi ya 17 kwa pointi zao 32 kufuatia 
kushuka dimbani mara 36.
Man United wanabakia nafasi yao ya 7 kwa kujikusanyia pointi 60 baada ya kucheza mechi 35.
Rooney baada ya kuchangia ushindi wa leo amesema kuwa anaamini Giggs ana kila sifa ya kuwa meneja wa kudumu wa Manchester United.
“Ilikuwa tofauti kabisa leo chini ya Giggs”. Rooney ameuambia mtandao wa Sky Sports.
“Nimecheza naye kwa miaka 10, lakini wote tunajua kuwa ni mchezaji mwenye uzoefu mkubwa na amekuwa sehemu ya benchi la ufundi msimu uliopita”.
“Anajijenga kuwa kocha. Sisi kama timu tunaona hilo”
“ Tunaona jinsi alivyoanza majukumu yake baada ya kuteuliwa”
“ Imekuwa furaha kupata ushindi mbele yake”. Amesema Rooney muda mfupi baada ya mechi kumalizika.
Rooney ameongeza kuwa kila kitu kipo chini ya bodi kwasababu wao ndio wenye mamlaka ya kuchagua nani kuwa kocha mkuu na hakuna anayejua, lakini Giggs anastahili kushika nafasi hiyo.
Mata kwa upande wake baada ya kutokea benchi na kufunga mabao mawili amesema ana furaha ya kufanya kazi chini ya Giggs.
“Kwa upande wangu ninajisikia furaha kufanya kazi chini yake”.
“Tangu nikiwa mdogo, nakumbuka alikuwa anacheza.”
“ Ni mtu mzuri wa Man United. Unaweza kusema alizaliwa hapa na nadhani wachezaji wote wanajisikia vizuri kuwa naye katika mazoezi”.
“Lakini lipo juu ya uwezo wetu, maamuzi ni juu ya bodi. Acha tufurahi tukiwa naye mpaka mwisho wa msimu”. Alisema Mata.

article-2613799-1D61E2BF00000578-821_634x423


MATOKEO YA MECHI ZOTE HAYA HAPA CHINI
ENGLAND: Premier League  
14:45 Finished Southampton 2 - 0 Everton      
17:00 Finished Fulham 2 - 2 Hull City      
17:00 Finished  Stoke City 0 - 1 Tottenham      
17:00 Finished Swansea 4 - 1 Aston Villa      
17:00 Finished West Brom 1 - 0 West Ham      
19:30 Finished Manchester United 4 - 0 Norwich

Jeshi la wananchi wa Tanzania ( JWTZ ) likionesha ujuzi wake na baadhi ya silaha za kivita wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano

 
 

Picha: Jeshi la wananchi wa Tanzania ( JWTZ ) likionesha ujuzi wake na baadhi ya silaha za kivita wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano

Makombora ya kutungulia ndege za adui  yakionyeshwa kwa wananchi.
Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.
Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kuonyesha uwezo wake katika mapambano ya Karatee na  mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete
Makomandoo hawa wakionyesha uwezo mkubwa wa mapambano na adui
 Silaha za kivita
 Hiki  ni  kifaru
Kifaru cha kivita kikipita mbele ya wanahabari na wananchi waliohudhuria katika maadhimisho hayo
Wananchi wakishuhudia vifaru vikipita wakati wa maadhimisho hayo
 Makombora mazito ya kivita yakipita
 Askari wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa Uhuru baada ya  kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000 angani
 Askari wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa Uhuru baada ya  kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000 angani.
 Wakienda kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Kikwete
 Rais Jakaya Kikwete akiwapongeza askari hao wa miamvuli mara baada ya kutua kwenye uwanja wa Uhuru
 Baadhi ya silaha zakijeshi zikipitishwa mbele ya umati kuonyesha uwezo mkubwa wa jeshi letu
Ndege za kivita zikilinda Ndege ya Rais katika maonyesho ya Ndege yaliofanyika kwenye Kilele cha  Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano
 Askari   kwa kikosi  cha  komandoo  wakiingia  uwanjani  kwa  ajiri  ya heshima  kwa amiri jeshi mkuu huku  wakiwa  wameshikilia bunduki za AK47
Komandoo  kutoka  kikosi  cha Sangasanga  wakiingia  kwa  mbwembe   kumuonyesha Amiri  Jeshi  Mkuu jinsi  wanavyojilinda  wakati  wakiwa  wamevamiwa, kikosi  ambacho kimeonesha  buruduni  ya  hali  ya  juu
Makomandoo wakionyesha namna ya kupambana bila kutumia nyenzo hapa wakivunja matofali kwa kutumia kichwa na mikono.

WACHEZAJI WA BARCELONA WAKITOA HESHIMA ZAO ZA MWISHO KWA TITO VILANOVA; BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

395632_heroa
WACHEZAJI wa Barcelona wametembelea eneo maalum lililoandaliwa na klabu kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyewahi kuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Tito Vilanova aliyefariki jana ijumaa. Vilanova aliyekuwa kocha msaidizi wa Pep Guardiola kabla ya kuwa kocha mkuu amefariki akiwa na miaka 45 kutokana na maradhi ya saratani ya koo. Baada ya kurithi mikoba ya Guardiola msimu wa 2012/2013, Vilanova aliiongoza Barcelona kutwaa ubingwa wa La Liga kwa pointi 100 na kuweka rekodi. Hata hivyo kazi yake nzuri iliingiliwa na maradhi na kulazimika kujiuzulu mwezi julai mwaka jana. Klabu ilithibitsha jana kuwa Vilanova amefariki na leo hii wachezaji na makocha wakiwa wageni wa kwanza, wametembelea eneo maalum liliotengwa kwa shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwa Tito.
Tragic: Victor Valdes, Xavi and Carles Puyol are visibly upset as they pay tribute to Tito Vilanova
Tragic: Victor Valdes, Xavi and Carles Puyol are visibly upset as they pay tribute to Tito Vilanova

Sudden: Barcelona's former boss passed away on Friday after losing a battle with throat cancer
Sudden: Barcelona's former boss passed away on Friday after losing a battle with throat cancer

Dedication: Members of staff, including Tata Martino conducted a moments silence for Vilanova
Dedication: Members of staff, including Tata Martino conducted a moments silence for Vilanova

FUNDO MOJA TU LA ZIADA LITAKUUMBUA


   Msanii anayechipukia katika tasnia ya kuigiza Isabela a.k.a "vai wa ukweli" alijikuta akiuza utu baada ya kufakamia pombe za buree toka kwa maswaiba wake wa karibu jijini Dar,nashuhuda wa tukio hilo wanadai alichanganya vileo.
 
     Tukio hili lilitokea jana usiku ikiwa ndo weekend imeanza ambapo muigiza huyu alijikuta anazidisha kunywa zaidi ya uwezo wa kichwa ndipo alipojikuta anasaula nguo bila kujua kwani alikuwa chakali full chapombe,baada ya muda kadhaa maswaiba wake walimpeleka kwao angali yuko taabani.
 
    Isabela ameigiza filamu na mastaa kibao ambapo kati ya movie saba alizocheza zinatarajiwa kutoka hivi karibuni kama vile  Good fellow,2 eyes,Black Wear,Doa la maishaMen day out na nyingine nyingi very soon.
 
    Vai wa ukweli ndiye mpinzani wa Lulu katika matukio kama haya ikiwa wako tasnia moja na umri wao sawa ama kwqeli Lulu kapata mpinzani Isabela ni zaidi ya Lulu sasa.

WAKUBWA TU 18+:TUMEWACHOKA SASA MWANAFUNZI WA CHUO CHA IFM (2014) JIJINI DAR ES SALAAM AREKODIWA AKIFANYA MAPENZI LIVE !! USHAHIDI HUU HAPA!!





HUYU NI MWANAFUNZI ANAYESOMA CHUO CHA IFM 2014 !!
JAMANI WANAFUNZI WA CHUO HIKI CHA IFM TUMECHOKA HUU UCHAFU WENU MNAOFANYA,

PLEASE KAMA UMEFIKISHA MIAKA 18+ BASI CHECK
VIDEO YA MCHEZO KAMILI  >>HAPA<< 

KAMA HUJAFIKISHA BASI PITA KANDO!!

HATARI SANA..AGNESS MASOGANGE AWAPA MAKAVU LIVE KINA MASOGANGE FEKI...!

Mrembo Agness amefunguka kwa mara nyingine tena na kulalamikia wadau wanaofungua account fake kwenye social networks na kutapeli watu kwa kutumia jina lake. Mrembo huyo amepost picha na ujumbe huu hapa chini kupitia Instagram yake:

JE WAJUA NINI HUSABABISHA HAMU YA KUFANYA MAPENZ KILA MARA , SOMA HAPA KWA FASI YA DWASI

JE WAJUA NINI HUSABABISHA HAMU YA KUFANYA MAPENZ KILA MARA , SOMA HAPA

https://www.facebook.com/theclicktz

Kuna mambo mengi sana ambayo husabisha kuhisi hamu ya kuwa na mwanaume au mwanamke kila mara hapa nitaorodhesha machache yale ya muhimu.

1) Upweke mara nyingi hupelekea sana akili ya mtu kuhama na kutafuta kitu mbadala cha kuweza kujiliwaza na mara nyingi huchagua raha za kimwili kama kufanya mapenzi au kuwa na mwenza karibu.

2) Story za Mapenzi kama vile kusoma vitabu vya mapenzi kuangalia picha zenye mvuto wa kimahaba pia kusikia habari hizo vyote hivi vinaweza kukusababishia hamu kubwa sana ya kufanya mapenzi.

3) Kuzoea sana kufanya tendo hilo na mtu ambaye uko karbu nae, na kisha mtu huyo kuondoka au kutenga nae, hii hali inaweza kukupa shida sana kwani huduma ya karibu tena hauna hivyo utaishia tu kuwa na hamu sana ya tendo hilo na kuanza kuhangaika kutafuta njia mbadala. 

4) Pombe na vilevi vingine pia huleta sana hamu ya tendo la ndoa wakati mwengine watu hufikia hata kubaka kwa kushindwa kujizuia.

Haya ndio machache makubwa yanayoweza kusababisha mtu kupatwa na hamu ya tendo a ndoa mara. Unaweza kuyaepuka...!!?

BABY MADAHA ASIMULIA JINSI WASANII WENZAKE WA KIKE WANAVYOMTONGOZA

 
Baby Madaha  akipigana  denda    na  msichana  mwenzake Bar.

Wakati  sakata  la  kusagana  ndani  ya  mastaa  wa  bongo  movie  likiwa  bado  bichi, Msanii  wa  muziki  na  maigizo  Baby  madaha  ameibuka  na  mapya  juu  ya  mastaa  wenye  tabia  ya  usagaji....



Akiongea  na  mwandishi  wetu  juzi  kati  jijini  Dar,msanii  huyo  alisema  kuna  mlolongo  wa  wasanii  wa  kike  kwenye  tasnia  ya  filamu  ambao  wamekuwa  na  tabia  hiyo  ya  kisagaji  huku  yeye  akiwa  ni  mmoja  wa  \wahanga  wa  kutongozwa  na  wasichana  wenzake....
"Hawana  hata  chembe  ya  aibu,wakishakunywa  pombe  zao  wanakuambia  live  kabisa, mimi  mwenyewe  nishatongozwa  sana  na  (  anataja  jina ).Kiukweli  wanakera  sana  ndugu  yangu"  Alisema  msanii  huyo.

 Madaha  aliendelea  kutiririka  kuwa  wasanii  wengi  wa  kike  wa  filamu  wamekuwa  wakichanganywa  na  utumiaji  uliopindukia  wa  pombe  na  bangi  unaowapelekea  kufanya  mambo  ya  aibu  kwa  jamii

Ukihukumu  kwa  kutumia  picha  hii  ( hapo juu )  na  maelezo  ya  baby  madaha  kuna  ukweli  wowote?  Tupe  maoni  yako

TAZAMA  KWA FASI YA DWASI WANACHOKIFANYA WANAFUNZI HAWA,.. WAZAZI ANGALIENI, NI LIANA KISANGANI!!

[VIDEO] TAZAMA WANACHOKIFANYA WANAFUNZI HAWA,.. WAZAZI ANGALIENI, NI LAANA KISANGA!!



WAWEZA KUIANGALIA   HAPA PIA 
...........udambwiudambi.blogspot.com..............