Jumatatu, 5 Mei 2014

AIBU~MKE WA KIGOGO AVUJISHA MESEJ ZA NG0NO ZA LULU MICHAEL ANAZO MTUMIAGA KIGOGO HUYO, ZIPO HAPA

 

 
"Ni  muda  mrefu  nimekuwa  nikifuatilia  mienendo  ya  mume  wangu  kutokana  na  tabia  yake  kubadilika  sana  siku  za  hivi  karibuni, nikabaini  kuwa  kuna  msichana  anawasiliana  naye  kwa  kutumiana 


meseji  za  mapenzi, sikuwa  na  haraka  nikaamua  kufanya  uchunguzi  wangu  kimyakimya"
"Wiki  iliyopita  mume  wangu  akiwa  amekwenda  kuoga  akasahau  kuzima  simu  yake,na  siyo  kawaida  yake  kuacha  simu  yake  bila  kuizima,mara  meseji  ikaingia,nikaangalia  nikaona  jina  la  mtumaji amesevu  Lulu, moyo  ukalipuka"
Ndivyo  alivyoanza  kuongea  mama  mmoja  wa  makamo  anayefanyakazi  katika  ofisi  moja  nyeti  katikati  ya  jiji  la  Dar  alipokuja  kuongea  na  mwandishi  wetu  wiki  iliyopita  baada  ya  ndoa  yake  kuingiliwa  na  mdudu  mbaya....
Akiongea  kwa  masikitiko  makubwa, mama  huyo  ambaye  hakupenda  kutaja  jina  lake  kutokana  na  unyeti  wa  kazi  anayoifanya, alidai  kuwa  msichana  huyo  anayetaka  kuiharibu  ndoa  yake  yenye  miaka  25  jina  lake  ni  Elizabeth  Michael....
Mama  huyo  alidai  kuwa  jina  hilo  alilibaini  baada  ya  kukuta  meseji  za  mapenzi  kwenye  simu  ya  mume  wake  na  yeye  kuamua  kuifuatilia  namba  hiyo  kwa  kufanya  kama  anataka  kumtumia  pesa  msichana  huyo  na  kukugundua  jina  hilo....
Akiongea  kwa  upole, mama  huyo  alidai  kuwa katika  simu  ya  mume  wake, jina  la  mtumaji  lilikuwa  Lulu, lakini  alipofanya  uchunguzi  wake  wa  kujifanya  kama anatuma  pesa  kwa  namba  ya  msichana  huyo  ndipo  alipobaini  kuwa  mmiliki  wa  namba  hiyo  ni  Elizabeth  Michael...
Mwandishi  alimuuliza  mama  huyo  kama  anadhani  kuwa  msichana  huyo  anayetaka  kuiharibu  ndoa  yake  ni  muigizaji  maarufu  wa  filamu  hapa  nchini 
Elizabeth  Michael  "Lulu", lakini  alikataa  kuthibitisha  hilo  kwa  madai  kuwa  tangu  siku  hiyo  namba  ya  binti  huyo  imekuwa  haipatikani....
"Baada  ya  kugundua  siku  ile ,  nilichukua  simu  yake  na  kutaka  kuwasiliana  naye  ili  niweze  kumuonya  mwenyewe  kimyakimya  kwa  wakati  wangu, wala  sikuwa  na  lengo  la  kuja  kwenye  vyombi  vya  habari , lakini  sikuwahi  kumpata  hewani  tena  kila  nilipojaribu  kumpigia"Alisema  na  kuongeza:
"Huenda  mume  wangu  alishtikia  kuwa  nimeona  ujumbe  ule, kwa  sababu  mimi  nilipoisoma  meseji  ile  sikuifuta, ili  akiona  meseji  imesomwa  aelewe  nimeshajua  kila  kitu, pengine  ndiye  aliyemwambia  binti  huyo  abadili  namba  yake"
Mwandishi  alimuomba  mama  huyo  ampatie  namba  ya  huyo  msichana  ili  kuweza  kujua  kama  ni  Lulu  muigizaji  ama  siyo ( mwandishi  anazijua  namba  zote  za  Lulu ), lakini  namba  hiyo  ni  tofauti  na  anazotumia  Lulu  Mwenyewe....
Mwandishi  alipojaribu  kama  kumtumia  pesa  msichana  huyo, jina  lililotokeza  ni  Elizabeth Michael, na  alipojaribu  kuipiga  namba  hiyo  ilikuwa  haipatikani  hewani....
Juhudi  za  kumsaka  Lulu   ili  kuona  kama  anaitambua  namba  hiyo  hazikuzaa  matunda  kutokana  na  namba  zake  mbili  kutopatikana  na  nyingine  ikiita  bila  kupokelewa....
Angalizo:
Baadhi  ya  wasichana  wa  mjini  wamekuwa  wakitumia  majina  ya  wasanii  maarufu  katika  nyendo  zao  ili  kuwatapeli  watu. Miongoni  mwa  njia  wanazotumia  ni  pamoja  na   kujisajili  kwenye  mitandao  ya  kijamii  kwa  majina  ya  watu  maarufu  ili  kuwatapeli  watu.

Hii Ndiyo Kauli Ya Kwanza Kabisa Ya Diamond Katika Mitandao Ya Kijamii..!!

Hakika ilikuwa ni kazi ngumu sana lakini kwa uwezo wa mwenyez mungu ametufanyia wepesi na hatimaye kufanikisha... Nawashkuru sanasana Mashabiki zangu wote kwakuwa nyie ndio mlionipa tuzo hizi kupitia kura zenu... Family, uongozi wangu.. bila kuvisahau vyombo vyote vya habari vilivyo fanya kazi zangu zisikike kila kona... Niwashkuru pia wasanii wenzangu, kwakuwa naamini wote walifanya kazi nzuri na ndiomaana wote tukawa pale ila kwakuwa mshindi ni mmoja, ikatokea kuwa bahati yangu...Ahsanteni sana, cha mwisho nnachoweza kusema tu ni kwamba (Tika! Tika!) yaani (Saba saba) Nomination 7 Tunzo 7...! tuhamieni MTV Awards tuilete Heshima nyumbani sasa

AGNES MASOGANGE IS BACK INTO BIZ.....CHEKI VIDEO HII AKITINGISHA TIGO BOMBASTIC AKIWA ANASHUKA NGAZI.....NOUMA SANAAA!!!

Baada ya kuturusha hapo nyuma na video Clips kadhaa....SOCIALITE wa bongo Agnes Gerald amekuja na hii tena!!! Jionee mwenye....Hii sasa anashuka ngazi....







WAWEZA KUICHECK PIA NA >>HAPA<<

KAULI YA LULU KUHUSU KUKOSA TUZO, YAMPA MOYO BELLE 9



Belle 9 ni miongoni mwa wasanii wakali nchini ambao hawajawahi kuwa na bahati na tuzo za Kilimanjaro na mwaka huu bahati haikuwa kwake pia. Kukosa kwake tuzo kumewaumiza mashabiki wake akiwemo Elizabeth Michael aka Lulu. 



Kupitia Twitter, Lulu ameandika: 



Namshukuru Mungu kwa ushindi wa @FidQ sasa mwaka mtakaompa Tuzo Belle 9 nitatoa sadaka kabisaaaaa."
 IMG_9188
Lulu akimkabidhi tuzo Vanessa Mdee kwenye usiku wa KTMA weekend iliyopita

Kauli ya Lulu imempa moyo Belle 9 ambaye ameiambia Bongo5: "Nachoweza kusema hapo Lulu kuna kitu amekiona kwenye muziki wangu ndio maana akasema kauli hiyo. Hii inanipa nguvu zaidi ya kuongeza juhudi zaidi kwa kile ninachokifanya ili nifike mbali zaidi. Kama Lulu kasema hivyo hebu jiulize ni wangapi? Wanatambani kitu kama hicho,kwahiyo ni dhahiri kuna watu wengi sana wanafuatilia muziki wangu.