Jumanne, 20 Mei 2014

ZIJUE SABABU ZA KUKAUKA KWA ***KE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI




 

Mwanamke huitaji kunyegeshwa tena baada ya bao lake la kwanza, inategemea lilipopatikana kama kwenye Kipele G, Kwenye Kisimi, Mwisho wa Uke au kuta za uke. Ikiwa amepata bao "via" kisimi hapo lazima atahiji muda kidogo wa kupumzika kama dakika kumi hv kisha wewe mpenzi wake ni wajibu wako kumnyegesha tena kwa kucheza na sehemu nyngine za mwili wake mbali na Kisimi. Inaweza kuwa kum-busu, kumla denda huku unamshika-mshika na kadhalika.

Mwanamke kuwa na uwezo mdogo wa kungonoka (low sex drive) ni wazi kuwa hamjuani hivyo yawezekana yeye yuko hivyo na mara baada ya wewe kupiga bao la kwanza kisha kurudi na "kumpigisha" yeye bao lake ndio ilikuwa mwisho wa "game" mpaka kesho au labda wiki ijayo kama sio mwezi ujao. Kama ulihitaji tena kwenda basi ulitakiwa kumfanya aendelee kuwa "interested" kiakili na kimazingira zaidi ya kimwili na pia ungepaswa kutumia kilainisho kwa ajili ya Condom au hata K-Y Jel.
Mwanamke kutokuvutiwa na ufanyaji wako, swala la kungonoana ni pana na sio kusimamisha kisha kupiga nje-ndani mwanzo mpaka mwisho... usika zanie NJe ndani Nje ndani sana. Cheza sindimba au msondongoma katika mduara bila kuvuta filimbi nje wakati unaASALISHA mambo mengine! Baada yamuda kadhaa wakati unahisi au unasikia pumzi fulani ndio endeleza pupa.
Mwanamke kutokuwa na mapenzi pia inaweza kuwa sababu ya Uke wake kuwa mkavu mara baada ya zile nyege mshindo kumalizika/kumtoka, mwanamke kama hana mapenzi huishiwa hamu ya kuendelea kungonoka haraka sana mara tu baada ya bao lake la kwanza.
Kuchoka au Uvivu, mwanamke kama kachoka au mvivu hali hiyo ya ukavu ukeni hujitokeza kwa vile akili yake inakuwa haipo/haizingatii kilekinachofanyika bali saa ngapi atapata nafasi ya kwenda kulala/pumzika.
Condom huwa hazisababishi Uke kukauka tena japokuwa inashauriwa kubadili au kutumia kilainisho kilichotengenezwa kwa ajili hiyo. Makampuni mengi ya bihaa hzi yanatoa mafuta maalum kabisa kwa ajili ya kukuongezea ile hali ya ulaini amabo unakulinda wewe kwa kuzuia Condom kupasuka/chanikakutokana na ukavu wa Uke na vilevile kumuongezea mwanamke raha ya tendo.
Condoms hazimsababishii mwanamke maumivu bali ile hali ya wewe kumfanya mwanamke mwenye uke mkavu kwa muda mrefu ndio inasababisha maumivu.
Ili ufurahie Ngono basi ni vema ukatafuta mwanamke mmoja umpendae na yeye akupende na mfanye tendo kwa ushirikiana na kumbuka ku-focus kwenye kufurahia tendo zaidi kuliko kupiga mabao na mambo yatakuwa bomba kabisa.

Breaking News: Ryan Giggs atangaza kustaafu soka


Winga wa kimataifa wa Wales na klabu ya Manchester United Ryan Giggs ametangaza kustaafu.
Giggs ambaye alianza kuichezea timu ya watoto ya Manchester United mnamo mwaka 1991, amestaafu soka baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka 23 mpaka sasa huku akifanikiwa kuwa mchezaji aliyecheza mechi nyingi zaidi katika klabu yake ya Manchester United – akiichezea mara 963.
Giggs anastaafu akiwa ndio mwanasoka ambaye kashinda makombe mengi zaidi – makombe 13 ya premier league, FA Cup 4, Capital One 4, mawili ya kombe la klabu bingwa ya ulaya na 2 klabu bingwa ya dunia.
Giggs pia ameshinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa ligi mara mbili mwaka 1992 na 1993, pia alishinda tuzo hiyo kutoka kwa klabu ya Manchester United mwaka 1991 na 1992.
Mnamo mwaka 2009 alishinda tuzo ya BBC Sports Personality of the Year na paia akashinda PFA Player of the Year award. Ametajwa kuwa mchezaji bora mwaka wa ligi kwa mara 6.
Gigs alicheza mechi yake ya mwisho na United kwenye mchezo dhidi ya Hull City mwanzoni mwa mwezi huu ambapo United walishinda 3-1. Alishikilia uongozi wa benchi la ufundi kwa muda baada ya David Moyes kufukuzwa, na sasa atakuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo nchini ya Louis Van Gaal.

HATARI SANA, DENGUE YABISHA HODI MBEYA.

HOMA YA DENGUE YABISHA HODI MBEYA, MGONJWA ALAZWA HOSPITALI YA MKOA




HATIMAYE ugonjwa wa homa ya  Dengue umeripotiwa kuingia Mkoani Mbeya baada ya kupatikana kwa kesi ya mgonjwa mmoja mwanamke ambaye amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya.

Mwanamke huyo ambaye ni mkazi wa Sae,  Jijini hapa, ambaye hata hivyo hakuwa tayari jina lake liandikwe gazetini  inasemekana alipata ugonjwa huo baada ya kung’atwa na  mbu aina ya Aides alipokuwa akiishi ,  Jijini Dar es salaam.

Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dk. Gloria Mbwile, alithibitisha kupokelewa kwa  mgonjwa huyo na kwamba tayari hali yake imeimarika baada ya madaktari kumpatia matibabu baada ya kufikishwa hospitalini hapo.
Amesema mgonjwa huyo alifikishwa hospitalini hapo Mei 17  majira ya mchana,  huku akionesha kuwa dalili zote za ugonjwa huo
Amesema kutokana na hali hiyo madaktari walianza kuchukua hatua za haraka kwa kuchukua sampuli za vipimo kwa ajili ya kuvipeleka Dar es salaam kwa uchunguzi zaidi, wakati huo huo wakimtoa katika wodi ya wagonjwa mchanganyiko na kumpeleka ile ya binafsi.

Dk. Mbwile amesema hali ya mgonjwa huyo imeimarika baada ya kupatiwa matibabu ya kina  na kwamba hiyo jana angeweza kuruhusiwa kutokana hospitalini hapo.

Hata hivyo, Katibu wa afya Mkoa wa Mbeya, Juliana Mawalla, amewataka wananchi wa mkoa wa Mbeya kutoa hofu juu ya ugonjwa huo kwani mgonjwa huyo alipata maambukizi hayo akiwa Jijini Dar es salaam na kwamba tayari serikali imeleta vifaa kwa ajili ya vipimo katika hospitali ya mkoa na ile ya kanda ya Rufaa Mbeya.
Kwa upande wake Mama mzazi wa mgonjwa huyo, ambaye naye aliomba jina lake lihifadhiwe, amesema mwanae alifika Jijini Dar es salaam Mei mosi mwaka huu kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya dada yake na alikaa huko kwa siku nane.
Dengue ambayo tayari imeshaua watu watano mpaka sasa , huku wagonjwa zaidi ya 400 wakiwa wamegundulika kuambukizwa na kupatiwa matibabu ya ugonjwa huu katika mkoa wa Dar es salaam hali ambayo imeibua hofu kubwa kwa wananchi.

Zifahamu Hapa Tabia Za Mwanamke Wa Kuoa

Je Unazijua Tabia Za Mwanamke Wa Kuoa Au Huwa Watu Wanakurupuka?? 


Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ya wake ambao wanadhani kwamba wanaweza kuwa pamoja kwa kipindi chote cha maisha.

Wanawake wengi wanajisahau na kudhani kwamba kitu kinachoweza kuwafanya wakapata wachumba ni uzuri hivyo kupoteza muda wao kujichubua na kujiremba ili wawavutie wanaume bila kujua kwamba kuolewa ni zaidi ya uzuri.

Hali sasa hivi imebadilika ni tofauti na kipindi cha nyuma ambapo ukiwa na sura nzuri na umbo la kuvutia basi una asilimia 100 za kuolewa.
Utafiti ambao nimeufanya unaonesha kwamba zaidi ya uzuri wa tabia na umbo, kuna kuna sifa nyingine za msingi ambazo mwanamke anatakiwa kuwa nazo ili aweze kuwa katika mazingira mazuri ya kupata mchumba wa kumuoa kiasi kwamba asipokuwa nazo ataishia kuchezewa tu lakini haitatokea mtu kumtamkia kwamba anataka kumuoa.
  1. MWEYE MAPENZI YA KWELI
  2. MWENYE TABIA NZURI
  3. MWENYE UCHU NA MAENDELEO
  4. ASIYEPENDA MAKUU
  5. MVUMILIVU

SOMA HAPA bajeti ya mazishi yake ya Adam Philip Kuambiana

KIFO CHA KUAMBIANA SUMU YATAJWA,bajeti ya mazishi yake ni shilingi milioni tano

KIFO cha ghafla cha mwigizaji na mwongoza filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana  kimeibua mazito ya kutosha,
Moja kati ya mazito hayo ni kuwepo kwa madai kwamba marehemu alikula au alilishwa sumu kupitia chakula.

Mwili wa mwigizaji na mwongoza filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana ukipelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Kwa mujibu wa rafiki mmoja wa karibu wa Kuambiana aliyeomba hifadhi ya jina lake, marehemu Kuambiana asingekufa ghafla kama tatizo lilikuwa vidonda vya tumbo au kisukari, ila kuna sumu iliingia tumboni mwake kupitia chakula.
“Siku ile Kuambiana alikuwa ana pesa, alianza kunywa pombe kuanzia asubuhi lakini pia alikuwa anakulakula kila alipojisikia. Naamini katika kulakula huko ndiko alikumbana na janga hilo,” alisema rafiki huyo.
BAA YAHOFIWA
Mtu huyo wa karibu alikwenda mbele zaidi kwa kudai kwamba ana wasiwasi na baa moja ambayo hakuitaja kwa jina kwamba huenda marehemu alikula hapo kwani alikuwepo kwa muda mrefu siku ya Ijumaa.
“Unajua ninaposema alikula chakula chenye sumu sina maana  wahudumu walimwekea sumu kwa makusudi. Ila siku hizi kuna ‘food poison’ (sumu kwenye chakula) ambayo mtu anaweza kujikuta anakula kupitia chakula, soda au juisi bila kujijua,” alisema mtu huyo.
ALICHOSIKIA STEVE NYERERE
Wakati rafiki wa karibu wa Kuambiana akiwa na wasiwasi na sumu, Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ambaye alisema habari zilizoenea ambazo yeye amezisikia ni kuwa marehemu alikunywa dawa (hakusema dawa gani) pia akanywa bia jambo ambalo kama ni kweli alitengeneza sumu mwilini.
Adam Philip Kuambiana enzi za uhai wake.
Binadamu wanasema mengi lakini mimi nilichosikia marehemu alikunywa dawa halafu akanywa bia zake na ndiyo chanzo cha kifo chake cha ghafla.
“Lakini mimi ninachoamini yule bwana amekufa kwa sababu ya vidonda vya tumbo (ulcers). Lakini pia alikuwa akisumbuliwa na kisukari (diabetes).
“Unajua alipewa masharti asinywe pombe halafu msosi uwe wa uhakika sasa inaonekana kwenye kuyazingatia hayo masharti ndiyo ikawa shida kidogo,” alisema Steve Nyerere.
MKE WA NDOA WA KUAMBIANA AIBUKA
Nje ya Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge jijini Dar, Jumamosi iliyopita ambako wasanii walikusanyika kuuchukua mwili wa Kuambiana na kuupeleka Hospitali ya Taifa Muhimbili gumzo lilikuwa ‘kumbe Kuambiana alikuwa na mke!’
Ni baada ya mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Janeth Rithe ambaye ni Diwani wa Kunduchi kwa tiketi ya Chadema  kufika akiwa analia. Ilibainika kuwa, mwanamke huyo ndiye mke wa ndoa wa Kuambiana na walizaa mtoto mmoja .
UHUSIANO WA MAREHEMU NA STARA THOMAS WAZUA GUMZO
Kuibuka kwa Janeth kuliibua maswali kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo wadau wa filamu ambao pia walikuwepo. Wengi walijiuliza ilikuwaje marehemu alitangaza ndoa na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Stara Thomas mwaka juzi wakati ana mke wa ndoa?
Wengi walisema huenda walitaka ‘kiki’ ya sanaa kwani licha ya kuanikwa kwa uhusiano wao pia Stara alikuwa akitangaza kutoa albamu yake ya Injili iliyojulikana kwa jina la Nani ni Mshamba?
STARA AZUNGUMZA
Kufuatia gumzo la uhusiano huo, juzi tulimtafuta Stara kwa njia ya simu ya mkononi na kumuuliza kuhusu hilo ambapo alisema:
“Ni kweli tulikutana na Kuambiana na tulipanga kuoana. Lakini kuhusu mke yeye aliniambia alimpa talaka. Kwa hiyo alikuwa huru.
“Hata hivyo, tulipeana muda wa kusomana tabia. Oktoba mwaka juzi (2012) tulitofautiana kidogo tukavunja uhusiano. Tukawa tuko pamoja kwa ajili ya sanaa tu, hasa filamu,” alisema Stara.
MAREHEMU ALIMPIGIA SIMU SAA 2 KABLA YA KIFO
Stara aliendelea kuweka wazi kwamba, Jumamosi ya kifo chake, Kuambiana alimpigia simu saa mbili asubuhi akamwambia anajisikia kuumwa sana.
“Alisema anajisikia kuumwa sana, akakata simu hapohapo. Baadaye nikasikia anapelekwa hospitali, mara nikasikia amefariki dunia,” alisema Stara.
NDUGU WAMKATAA MTOTO
Habari zaidi zinadai kuwa, marehemu alizaa na Janeth mtoto mwenye miaka 6 sasa aitwaye Miriam lakini ndugu wa marehemu wamedai mtoto huyo si wa Kuambiana huku ndugu wa mwanamke wakidai ni wa marehemu.
ANAZIKWA LEO, BAJETI MILIONI 5
Marehemu Kuambiana anazikwa leo Jumanne kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar baada ya kuagwa kwenye Viwanja vya Leaders Club.
Marehemu anakwenda sambamba na marehemu Steven Kanumba kwa siku ya kufa (Jumamosi), kuagwa (Leaders Club) kuzikwa (Jumanne) na makaburi (Kinondoni).
Kwa mujibu wa Steve Nyerere, bajeti nzima ya msiba huo ni shilingi milioni tano na Bongo Movie imebeba jukumu la mazishi kwa asilimia 95 kuanzia jeneza, maji siku ya kuagwa Leaders na kaburi.