Jumamosi, 10 Mei 2014

WATAALAM WA MUZIKI WANASEMA, ENDAPO DIAMOND PLATNUMZ ASINGEFANYA HAYA BASI ASINGESHINDA TUZO HATA MOJA.

Cover
Una habari kuwa kuna sababu zilizompelekea diamond kuzidi ku-make headlines siku hadi siku?, kama ilivyo kwa msanii yeyote yule mwenye mafanikio duniani, kuna ishu mbili tatu zilizowahi kumtokea katika maisha yake, ambazo ndio zilimpelekea kumsukuma, pamoja na jitihada za kujituma, kuweza kumfikisha hadi kwenye mafanikio yake. Kama ulikuwa hujui, basi bila Diamond kufanya haya, hii leo, hizo tuzo zote, kuanzia ya mtv na kili zingekuwa bado ni ndoto, na kwa hapa Tzee angekuwa na-hit tu kinyumbani nyumbani kama ilivyo kwa wasanii wengi wa bongo fleva. 10012448_682787231779836_1342742437_n Ugomvi uliompelekea kubadili maisha yake. Rumors has it kwamba, bila Diamond kugombana na aliyekuwa manager wake wa zamani, hii leo asingekuwa amefikia hapa alipo, manyanyaso aliyoyapata hapo nyuma, akiwa na uongozi wake wa zamani, ndio iliyomsukuma kufanya vitu kwa bidii na kufikia hadi hii leo, mbali na struggle zake za kila siku katika kujitangaza kimuziki. 1diamond Inasemekana kuwa management yake ya sasa ndio inayompa sapoti kubwa sana katika kufanya vitu ki-international zaidi, na jina lake kuzidi kukua ulimwenguni, hadi kwa hivi sasa watu wamesha msahau Diamond wa mbagala. Alipoamua kufaya jambo la hatari katika muziki wake.  Kama ilivyo katika kila biashara, bila risk huwezi kupata kile ulichokuwa unatarajia, na wala huwezi kuendelea, utabaki hapo hapo siku zote, hii ndio mchezo aliofanya Dangote, kuanzia kutoka kufanya video za milioni mbili hadi kufikia mahali na kufanya video za zaidi ya milioni ishirini, kitendo hichi ndicho kilichopelekea Diamond Platnumz aweze kujulikana zaidi nchi mbali mbali, haswa kwa nyimbo yake ya “my Number1”. Ni moja kati ya vitu ambavyo matunda yake yanaonekana hadi leo, kwa kuendelea kukaa on top kwenye charts, hadi kumpelekea tuzo mbalimbali. Uchawi wake na mashabiki. Diamond na Ney wa Mitego jukwaani Ukitasmini vizuri katika game la hapa Bongo, unaweza kusema Diamond anatumia uchawi, jambo ambalo hata watu wengi wasioelewa faida za kufanya kazi kwa bidii na kujituma ndio zinazomfanya Diamond Platnumz azidi kutoa nyimbo kali kila siku na kuzidi kupendwa na mashabiki wake, kitu kinachopelekea kuwa na u-lukuki wa mashabiki kila siku.Diamond ndiye msanii anayesemakana kuwa na heshima na kuwajali mashabiki wake wa kila rika popote pale alipo,Diamond Platnumz ndiye msanii anayeongoza kuwa na mashabiki wengi zaidi hapa bongo na nje ya mipaka ya Tzee credit : swahilitz

MAMBO YAKUFANYA BAADA YA KUFANYA TENDO LA NDOA (KU-DO).

 
Wapenzi wengi wakimaliza tendo lao la ndoa/ ku-do waweza cheka sana na laiti kama ingetokea ikawa wazi kila anayemaliza akaonekana ni nini hufanya ungeweza cheka sana, kama wewe ni mmojawapo basi badilika... masuala ya kununiana, kugeuziana migongo na kukingiana makalio, eti kila mtu shuka lake ni aibu sana aiseee, badilikaaa, Raha ni kama hii hapo chini soma zaidi mambo ya kuzingatia;


1.Kuoga pamoja
Mtakuwa ni watu wa ajabu kama mtamaliza kufanya tendo hilo kisha kila mmoja kulala na majasho yake. Wapo wasiojali katika hili na kuona kuoga au kutooga ni uamuzi wa mtu. Elewa linapokuja suala la usafi inashauriwa mkimaliza lazima muoge.

Wapo wanawake ambao wakishamaliza hukimbilia kuwaandalia maji wenza wao, wakishaoga ndipo nawo huenda kuoga. Hivi unaona ugumu gani kwenda kuoga na mwenza wako? Unaijua raha ya kuoga na huyo wako wa maisha?

Wanaofanya hivyo wanajua raha yake na wewe ambaye hujawahi, anza leo. Mmemaliza mambo yenu, chukuaneni kimahaba, elekeeni bafuni kisha ogeshaneni kimahaba.
Baada ya hapo rudini chumbani, mkishajifuta maji pandeni kitandani mkiwa wapesi.
2.Kusifiana
Hakuna muda maalum uliotengwa kwa ajili ya wanandoa kusifiana. Hilo linaweza kufanyika wakati wowote lakini pale mnapomaliza kufanya tendo la ndoa ni lazima utakuwa na jambo zuri la kumuambia mwenza wako.

Msifie kwa utundu na ubunifu wake. Msifie pia kwa mapenzi matamu anayokupa na ikibidi mpe sifa ya uzuri wake kiasi cha kukufanya kila unapokuwa karibu yake ujisikie amani ya kupitiliza.

Wapo ambao hawana kabisa kasumba ya kuwasifia wala kuwashukuru wenza wao kwa mazuri wanayofanyiwa. Yaani wao wanachukulia kila kitu poa tu bila kujali kwamba kusifiana kunanogesha mambo.

3.Kuelekezana
Kwenye kale kamchezo, wapo ambao wanakosea, kuelekezana na kukosoana kwa wapenzi ni jambo la kawaida. Yawezekana mwenza wako alifanya kitu ambacho hakikukufurahisha wakati mkiendelea na burudani yenu, mnapomaliza mwambie lakini kwa lugha ya kimahaba na ya upole. Naamini kwa kufanya hivyo atakuelewa na kubadilika.

4.Zungumzieni maisha
Huu ni wakati muafaka wa kujadili changamoto na malengo katika maisha yenu. Hapa akili zinakuwa zimetulia na kila mmoja anakuwa na mawazo chanya kwa mwenza wake. Jadilini mambo yenu, wekeni mikakati ya kuliboresha penzi na maisha yenu kwa ujumla.

Hayo ni baadhi ya mambo ambayo mnashauriwa kuyafanya pale mnapomaliza kufanya tendo la ndoa. Yapo mnayotakiwa kuyaepuka ili kutotibua furaha iliyopatikana.

ZIJUE SEHEMU MUHIMU ZA KUMSHIKA MPENZI WAKO NAKUMSISIMUA MKIWA FARAGHA

.... 


Zifuatazo ni sehemu kuu mbili (2) zenye msisimko katika mwili wa mwanaume:
1. SEHEMU YA KWANZA: Kwenye KIFUA Kifua ni moja ya sehemu alieumbiwa kila mwanadamu jinsia zote na sehemu hii ya kifua inamfumo wa kuamsha hisia katika mapenzi kwa sehemu tofauti kwa wanawake huleta msisimko katika maziwa na kwa upande wa mwanaume ni eneo zima pindi eneo hili likitumiwa ipasavyo kikubwa uwapo ndani na mpenzi wako jitahidi kutumia viganja,vidole na ulimi wako kuvichezesha taratibu kwenye kifua cha mpenzi wako ili kuamsha hisia.
 

2. SEHEMU YA PILI: Kwenye UUME: 
Uume wa mwanaume ni sehemu moja wapo inayoleta msisimko wa raha katika mapenzi pindi unapotaka kumuandaa mpenzi wako kwa ajili ya tendo husika, sehemu hii inaweza kutumiwa vizuri na wakina dada kwa wapenzi wao kwa mtindo wa kunyonya uume au kwa kuu papasa papasa taratibu fahamu sehemu kubwa ya kushughulika nayo katika kuuchezea uume wa mwenza wako kama unaunyonya basi tembeza ulimi wako taratibu katika kichwa cha uume huku ukifanya kama unauvuta vuta na lips zako za mdomo pia kama unatumia vidole vyako kuuchezea papasa papasa taratibu juu ya kichwa cha uume. Kwa kufanya hivi utamsisimua mpenzi wako na kumfanya azidi kuhisi raha na itamfanya aweze kufurahia penzi. ZINGATIA tumia muda mwingi kuonesha maufundi yako katika maandalizi ya Awali.


Hizo ndio sehemu muhimu zenye kuleta hamasa katika mapenzi kwa upande wa wanaume. Ushauri wangu kwa wakina dada wajaribu kuzingatia maeneo haya muhimu na si haya tu yapo mengi ila kubwa zaidi ni haya niliyoyaeleza inakubidi wewe kama mwanamke uweze kutumia ulimi wako na mikono yako katika kuvitembeza kwenye mwili wa mpenzi wako ni vyema ukabaini ni wapi mwenza wako ukimshika anajisikia raha.

KUTANA NA BUM BUM REMIX NI SHIDA VIDEO YA HUYU MSANII KUTOKA NIGERIA,, ILOYOIPA TAABU VYOMBO VYA HABARI KUIONYESHA.. ( 18+ )


Screen Shot 2014-05-08 at 12.26.43 AM


Labda ingekua ya msanii wa Tanzania, Kenya, Uganda au Rwanda hii video ingekua imeshafungiwa kwenye nchi anayotoka kama ambavyo tumeshuhudia kufungiwa kwa video zisizopungua kumi kutokana na kudaiwa kuvunja maadili.
Kwa mujibu wa ripoti iliyoifikia nchi ambayo imeongoza kwa kufungia video Afrika Mashariki ni Rwanda ikifuatiwa na Kenya kisha Tanzania.
Hii video ya leo ni ya msanii wa Nigeria anaitwa Timaya akiwa na Mjamaica Sean Paul kwenye remix ya bum bum ambayo imepokea maoni tofauti kwenye mitandao mbalimbali baada ya hawa warembo kuonekana ndani yake walivyovalia.
Video hii pia inaendelea kupata airtime kwenye vituo hata vya nyumbani Nigeria na sijaona taarifa zozote za kufungiwa.



HATARI SANA, PICHA ZA JINSI MISS IFM 2014 ILIYTOKUWA MOTO

Prezo & His Dancers

Mgeni wa Heshima Mheshimiwa Lau Masha uwanjani last night!!
Mshindi wa mashindano hayo yaani the new Miss IFM 2014 live!!

ENDLESS FAME FILMS WATOA KAULI KUHUSIANA NA UGOMVI WA WEMA NA KAJALA

Kampuni ya filamu ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, leo imetoa kauli yake kuhusiana na ugomvi wa mmiliki wa kampuni hiyo na aliyekuwa rafiki yake wa karibu Kajala Masanja.

Maneja wa kampuni hiyo, Martin Kadinda ametoa msimamo huo kupitia mtandao wa Instagram.

“Good morning all of You…. I just woke up Like “Hasiraless” kwakuwa hili vugu vugu la kutokuwa na maelewano mazuri kati ya Wema sepetu (myclient) na Kajala limekuzwa katika social networks basi na mimi naomba nitoe taarifa kutoka kwetu endless fame.

Katika urafiki kuna mengi yanajitokeza na endapo kutakuwa na hitilafu sehemu basi ni muhimu kupeana nafasi ili kila mtu aweze kujirekebisha na mwisho wa siku maisha yaendelee hilo ndo lililotokea baina ya hawa wawili. Lakini katika kipindi hicho cha so called mapumziko kuna mambo mengi yamejitokeza, yapo ya kweli na yapo yaliyotengenezwa na baadhi ya watu, kuna media coverage juu ya hawa wawili na wema sikumpa nafasi ya kuzungumza na chombo chochote cha habari kwakuwa nilijua litakuzwa zaidi… ila tulipoona shutuma zinazidi kuja upande wake akafanya interview na gazeti moja na kuelezea upande wake na mwisho alisema hana tatizo na kajala sema tu Kwa sasa anahitaji space…… tukawa tumefunga mjadala huo.


Endless fame(wema sepetu) haijawahi kutamka lolote swala la mahusiano ya kajala na mtu yoyote, EndlessFame haijawahi kudoubt urafiki wa kajala na any of her friends because tunaamini yale ni maisha yake binafsi na hayahusiani na kampuni ya wema au wema mwenyewe, kusaidiana katika matatizo haimaanishi tunammiliki… hapana hapana… Hili linaloendelea sasa sisi pia tumelisikia na kuliona kwenye social networks kama watu wengine wanavyoona.


Tunaumizwa na blogs na magazeti yanapoandika stori kama vile wanaushahidi kutoka endless fame au Kwa mtu wa karibu na wema. Team wema wote waliopo insta sijawahi kuona hata mmoja kati yao hivyo hakuna anayewatuma wala kuwashinikiza ila wao wanafanya kile kinachowapendeza and hatuwezi kuwakataza kwasababu ni maisha yao binafsi na ni mapenzi yao ya dhati Kwa wema.


Poleni Kwa wote mnaoumizwa na haya yanayoendelea ila nadhani tukazane na kazi zetu na maisha yetu maana haya ya instagram tuwaache huku huku ukiyasikiliza utashindwa kumwamini mama yako mzazi.”


Hivi karibuni Kajala alisema kutokana na jinsi ambavyo ugomvi wake na Wema Sepetu ulivyokuwa mkubwa, amefikia hatua anaigopa simu yake zaidi ya kupiga na kupokea.


Akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV wiki hii, Kajala alisema amekuwa akiumizwa na jinsi anavyotukanwa kwenye mitandao ya kijamii kutokana na ugomvi huo. Kajala amesema ugomvi wake na Wema haujatokana na kile kinachodaiwa kuwa alimchukulia ‘bwana yake’ na kwamba umetokana na vitu vidogo ambavyo ni binafsi kwao. Alidai kuwa pamoja na ugomvi wao kusababisha na mambo ya kawaida, umekuzwa mno na watu pamoja na vyombo vya habari kiasi cha kuwafanya wajikute maaudui kweli.


Kuhusiana na tetesi kuwa alianza kumdharau Wema baada ya Miss Tanzania huyo wa zamani kuishiwa fedha, Kajala amesema amekuwa rafiki yake tangia enzi hana chochote. “Alikuwa rafiki yangu kabla hana kitu, kwahiyo kwamba nilianzisha urafiki na Wema kwasababu alikuwa na hela lakini sasa hivi hana hela mimi sio rafiki yangu tena, sio kweli,” alisema.


Kajala alikiri kuwa kukosana kwake na Wema kumeathiri maisha yake. “Inaniathiri sana kwasababu ni mtu ambaye nimemzoea, mtu ambaye tumefanya vitu vingi kwahiyo sometimes nikikaa nammiss,” alisema na kueleza kuwa ameshawahi kumtaka Wema wamalize ugomvi wao lakini ilishindikana japo alisema kwakuwa ugomvi ni wao wenyewe, ipo siku utaisha na watakuwa marafiki tena.

MAROUANE FELLAINI AWAAHIDI VITU VIKALI MASHABIKI WA MAN UNITED MSIMU UJAO




Struggle: Marouane Fellaini endured a tough first season at Manchester United after joining from Everton
  Marouane Fellaini amekuwa na msimu mgumu sana Manchester United akitokea Everton.
 
KIUNGO wa Manchester United, Marouane Fellaini amesema majeruhi aliyokuwa nayo yamemfanya awe na kiwango kibovu, lakini ameahidi kufanya vizuri msimu ujao.
Fellaini alisajili siku ya mwisho ya usajili kutoka Everton kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 27, lakini ameshindwa kuonesha thamani yake na kuisaidia United kutetea ubingwa na kufuzu UEFA
Kiungo huyo aliumia mkono wake wakati wa mechi ya UEFA hdidi ya Shakhtar Donetsk katika mchezo wake wa tatu tangu ajiunge na United na alilifanyiwa upasuaji mwezi desemba mwaka jana na kukaa nje ya uwanja moaka mwezi februari.
Improvement: But the Belgian midfielder says he will be fully fit and back to top form next season
 Ataimarika:  Kiungo huyo raia wa Ubelgiji amesema atarudi kwenye kiwango chake msimu ujao

Nyota huyo ataitumikia timu yake ya Taifa ya Ubelgiji katika mechi za kombe la dunia majira ya kiangazi mwaka huu.
  Fellaini aliwaambia Daily Telegraph: ‘Nahitaji kuwa fiti ili niwe mzuri.  Nimekuwa nikicheza hata kama nina majeruhi, lakini siko fiti. Niliumia kwa miezi mitatu na imekuwa wakati mgumu kwangu”.
“Baada ya kumalizika kwa msimu huu nitaanza kujiandaa na msimu ujao na nadhani utakuwa mzuri”.
Trusted: Fellaini says David Moyes is a good manager and will return to management quickly
 Fellaini anasema David Moyes ni kocha mzuri na atarudi kazini muda si mrefu
Integral: During five season at Goodison Park, Fellaini became a key player for Everton
 Kwa misimu mitano akiwa Goodison Park, Fellaini alikuwa mchezaji muhimu.

MAMADOU SAKHO ALMANUSURA AMTIE JANGA STURRIDGE KUELEKEA KUWAVAA NEWCASTLE




Tumbling: Mamadou Sakho sends Daniel Sturridge crashing to earth with a bang in Liverpool training
Moment of truth: The striker looked in some discomfort after the clumsy tackle by defender Sakho
Off the hook: Luckily for Liverpool and England, Sturridge emerged unscathed and laughed of the incident
 Sturridge ana bahati kweli, angeikosa mechi ya mwisho kesho
 Kocha wa Liverpool , Brendan Rodgers bado anaamini kuwa klabu yake inayo nafasi ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu soka nchini England.
Happy days: Manager Brendan Rodgers and his players look in good spirits at the club's Melwood complex
 Siku ya furaha: Kocha Brendan Rodgers na wachezaji wake walionekana wakiwa na furaha leo katika uwanja wa Melwood

HUU NDIO UJUMBE ALIOJIBIWA MKE WA OBAMA aliokuwa ameupost leo kwenye vyombo vya habari.


Baada ya mke wa rais wa marekani BARACK OBAMA Kujitokeza akiwa ameshika bango linalosema "BRING BACK OUR GIRLS"  akiwa anamanisha warudishe nyumbani watoto walio tekwa na BOKO HARAM.
habari yenyewe hii hapa chini....

Nigeria abductions: Michelle Obama 'outraged'

 
US First Lady Michelle Obama said her family was "outraged and heartbroken" US First Lady Michelle Obama has said the mass kidnap of Nigerian schoolgirls is part of a wider pattern of threats and intimidation facing girls around the world who pursue an education.She said she and her husband Barack Obama were "outraged and heartbroken" over the abduction on 14 April of more than 200 girls from their school. Mrs Obama, who was speaking ahead of Mother's Day in the US on Sunday, said the girls reminded her and her husband of their own daughters.
"What happened in Nigeria was not an isolated incident. It's a story we see every day as girls around the world risk their lives to pursue their ambitions," she said.
She cited the Pakistani schoolgirl and campaigner Malala Yousafzai, who was shot and wounded by the Taliban for speaking out for girls' education.
"The courage and hope embodied by Malala and girls like her around the world should serve as a call to action," Mrs Obama said.
It is unusual for a US first lady to make outspoken foreign policy remarks, but Mrs Obama has campaigned for the girls' release.
Michelle Obama has often appeared alongside her husband during the weekly address, but this is the first time she has delivered the speech alone.
Earlier this week, she tweeted a picture of herself in the White House holding a sign with the message "#BringBackOurGirls".
The UN Security Council expressed outrage over the abductions, saying it would consider "appropriate measures" against Boko Haram. The US is seeking to have UN sanctions imposed on the group.
Michelle Obama with sign "#BringBackOurGirls"Michelle Obama has been actively campaigning for the release of the girls
Western help

Start Quote

Right now, more than 65 million girls worldwide are not in school, yet we know that girls who are educated make higher wages, lead healthier lives, and have healthier families”
Michelle ObamaUS First Lady
US and British experts are in Nigeria to assist with rescue efforts.
A senior US official said Washington was also considering a Nigerian request for surveillance aircraft.
British High Commissioner Andrew Pocock said drones could help gather intelligence but urged caution.
He told the BBC's Today programme: "The eye in the sky, even if it were able to be focused on the spot, isn't a panacea."
Traditional hunters armed with bows and arrows and old-fashioned shotguns are ready to enter the forest where the girls are thought to be held, local officials in Borno state have told the BBC's Mark Doyle.
They say 400 to 500 men have gathered but their departure is not imminent - they still hope the army will step up its efforts.
Our correspondent says it is a sign of Nigerians' frustration with the lack of progress in the search.
Nigerian army spokesman Major General Chris Olukolade told the BBC the allegations of a lack of action were being made in order to discredit the military and there was no truth in them.
"This is not the first time we're hearing of hunters wanting to go into the forest. The military has always carefully utilised the support and understanding of locals ... and others who have vital knowledge and information that could enhance counter terrorism operations," he said.
Boko Haram has admitted capturing the girls, saying they should not have been in school and should get married instead.
Boko Haram, whose name means "Western education is forbidden" in the Hausa language, began its insurgency in Borno state in 2009.
At least 1,200 people are estimated to have died in the violence this year alone.

USAFIRI WA MOMBO-KOROGWE KUELEKEA WILAYA YA LUSHOTO WAKWAMA KWA TAKRIBANI MASAA SITA,NI KUTOKANA NA JIWE KUBWA KUANGUKA NA KUZIBA BARABARA


 Jiwe kubwa Likiwa limeanguka toka mlimani na kuziba Barabara ya Vuga Kutoka Mombo kuelekea korogwe na Lushoto


 Baadhi ya wasafiri wakitembea kwa miguu baada ya kukwama eneo  Vuga  kwa takribani Masaa sita

 Kwa juu ni mlima ambapo jiwe hilo liling'oka na kudondoka hatimaye kuziba barabara hiyo kwa takribani masaa sita

 Abiria na madereva wakiwa wamekaa wakisubili mamlaka zinazohusikka wafike ili kutoa msaada wapate kuendelea na safari.

 Vyombo vya dola wakiwa wamefika eneo la tukio tayari kuweza kulisogeza jiwe hilo ili abiria na watumiaji wa barabara ya vuga kuendelea na shughuli zao

Hayo ni baadhi ya mawe ambayo yanaonekana kwa juu ya barabara ya vuga inayounganisha kutoka mombo kuelekea lushoto.

Hali ya usafiri kutoka mombo-korogwe kuelekea wilaya ya Lushoto mkoani tanga ilikuwa tete baada ya jiwe kubwa kuangua barabarani katika eneo la vuga road.

Jiwe hilo lilisababisha wasafiri wa barabara hiyo kukwama kwa takribani masaa 6 bila magari kupita.

Lakini hatimaye baadae vyombo vya usalama wakishirikiana na wanainchi waliweza kulitoa na hatimaye usafiri wa njia hiyo kurejea katika hali yake ya kawaida.

DIAMOND ASHANGAZWA JUU YA NYIMBO WAKE MPYA ILIYOTOKA LEO "KITORONDO",ADAI IMEIBWA KABLA YA YEYE KUIACHIA HEWANI HUKU IKIWA BADO HAIJAKAMILIKA




Wimbo ulio patakikana kwenye mitandao wa Diamond “Kitorondo” ana dai wimbo huo umevuja na hajui aliovujisha ni nani hii ndio kauli yake 


Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa.. 

Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara, kwasababu Haijatoka na haiko Qualified….” hayo aliyasema Diamond kupitia Mitandao yake.

BREAKING NEWZ:- MADUKA DDC KARIAKOO YANAWAKA MOTO MDA HUU Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba baadhi ya maduka yaliyopo eneo la DDC Kariakoo, Dar ...



 Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba baadhi ya maduka yaliyopo eneo la DDC Kariakoo, Dar yanawaka moto usiku huu..

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amwagiza CAG na TAKUKURU wachunguze wizi wa mabilioni IPTL



TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) pamoja na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wameagizwa kuchunguza na kujiridhisha kama kweli upo uchotaji wa mabilioni ya shilingi katika akaunti ya Escrow iliyokuwa imefunguliwa ndani ya Benki Kuu (BoT) kwa ajili ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).

 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema hayo jana bungeni mjini Dodoma wakati akihitimisha mjadala wa wabunge kuhusu bajeti ya mwaka wa fedha 2014/15 ya ofisi yake ambayo jana wabunge walipitisha bajeti hiyo ya Sh trilioni tano.
 
Alisema baada ya tuhuma hizo kuanza kujitokeza, aliamua kumwuliza CAG ni namna gani wafanye kuhusu masuala hayo. “CAG akaniambia alipoona kwenye magazeti akaamua kuyafanyia kazi,” alisema.
 
Kwa mujibu wa Pinda, CAG alizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi na Gavana wa Benki Kuu, Benno Ndulu, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Felschemi Mramba ili kupata picha ya yaliyojiri katika mchakato mzima.
 
Alisema Katibu Mkuu, Nishati na Madini pia alimwandikia barua kumwomba CAG afanye uchunguzi wa kina ili tuhuma hizo zilizotolewa kwenye vyombo vya habari, zipatiwe ufumbuzi.
 
“Maelezo niliyoyapata, kamati ya PAC ilipokuwa imemwita Katibu Mkuu kuhusu jambo hilo, alitoa maelezo kwamba ameshamwelekeza CAG kufanya uchunguzi kuhusu jambo hilo. PAC nayo ilimwandikia CAG afanye uchunguzi.
 
“Na mimi nimemwambia CAG fanya uchunguzi wako halafu tuletee serikalini tuletee bungeni…kwa tuhuma zenyewe zilivyo, itabidi tuwahusishe na Takukuru nao ili nao watusaidie kupata ukweli juu ya jambo hili. Kwa sababu kwa maelezo na mtiririko ulivyo ni tuhuma zinazojitokeza ambavyo vyombo hivi vinao uwezo kubaini kipi cha ukweli na kipi si cha kweli,” alisema na kuomba Bunge likubali CAG akamilishe kazi hiyo.
 
Pinda alisema uamuzi wa kuingiza takribani Sh bilioni 20 katika akaunti ya Escrow haukuwa wa kificho kwa kuwa fedha hizo zilikuwa za IPTL na ndivyo mahakama ilivyokuwa imeelekeza. Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, suala la IPTL ni la muda mrefu tangu 1994.
 
Wakati huo serikali baada ya kuona lipo tatizo la umeme, ilitafuta mtu aliyekuwa tayari kuzalisha umeme.
 
Mkataba ulionesha umeme utakaozalishwa utauzwa Tanesco na ulikuwa na sehemu mbili kwa maana ya malipo ya uwepo wa mtambo na pia uzalishaji.
 
Wakati wakiendelea, ulitokea mgogoro upande wa Tanesco na IPTL kuhusu kodi inayopaswa kulipwa na baadaye ukazaa kesi iliyobidi ipelekwe mahakama ya kimataifa ya usuluhishi.
 
Wakati mgogoro huo ukiendelea, Serikali ilibidi ifungue akaunti ya Escrow na fedha kutoka Tanesco zikawa zikilipwa kwenye akaunti hiyo. Fedha zilizokuwa zimewekwa kwenye akaunti hiyo ni za IPTL na katika uamuzi wa mahakama ikaamriwa fedha hizo zipelekwe IPTL kwa kuwa ni fedha zao. Kukawa na mvutano.
 
“Fedha hizo zikapelekwa IPTL, jambo tunalopaswa kama wabunge kujiridhisha nalo ni je, VAT ipo kweli au haipo?,” alisema Pinda.
 
Alisema baada ya kesi kumalizika, Tanesco na IPTL walikaa wakatazama kiasi kinachodaiwa, wakafika mahali wakakubaliana ni kiasi gani cha fedha kilipwe. Alisema kwa upande huo, kama kuna masuala yanaweza kupatiwa majibu bila mjadala na kuvutana.
 
“Kubwa ni pale zogo limejikita zaidi kwenye kuondoa fedha kutoka akaunti ya Escrow kutoka Benki Kuu kupeleka IPTL na maswali ambayo yamejitokeza kwamba kodi haikulipwa, ufisadi upo, unajiuliza wa nini kama fedha ile ilikuwa ni fedha yao,” alihoji Pinda.
 
Ufafanuzi huo wa Waziri Mkuu ulitokana na kauli iliyotolewa juzi na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR Mageuzi) akituhumu baadhi ya viongozi na watendaji serikali kuchota fedha hizo katika akaunti hiyo.
 
Mbunge huyo alitawataja Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo, Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Maswi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema kwamba walihusika.
 
Mpina amsuta Kafulila Wakati huo huo, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, Luhaga Mpina amepinga kauli iliyotolewa na Kafulila bungeni juzi akisema Gavana wa BoT aliiambia kamati hiyo kuwa alilazimika kuruhusu fedha zitolewe kutokana na shinikizo la vigogo wa serikali. Mpina ambaye aliomba mwongozo wa spika jana, alikanusha Gavana huyo wa Benki Kuu kuiambia kamati yake maneno hayo.
 
“Nilidhani mimi ndiye sikusikia maneno hayo; lakini nilipowasiliana na wenzangu kwenye kamati, walisema suala hilo halikusemwa,” alisema Mpina.
 
Aliendelea kusema, “Watu wengine wanaweza kusema kwa sababu mimi ni mwana CCM kwa hiyo ninapendelea, lakini kuna wabunge watano kwenye kamati kutoka upinzani waliosema Gavana wa BoT hakusema hivyo.” Mpina alisema kamati yake ilimwandikia gavana wa benki kuu kufika kwenye kamati yao kuhusu suala hilo la fedha za akaunti ya Escrow.
 
Alisema, “Baada ya Kafulila kuzungumza hilo, niliwaita wajumbe wangu, tukaulizana, kila mmoja alisema si kweli kilichosemwa. Kila kitu ninacho hapa tena kwa maandishi, nitawasilisha kwako mheshimiwa Spika.”
 
AG azungumza Wakati baadhi ya wabunge jana walishinikiza Waziri Mkuu aunde tume ya bunge kuchunguza suala hilo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG), Jaji Werema alisema fedha hizo haziko mikononi mwake.
 
“Mnapomuuliza Waziri Mkuu akubali kuundwa kwa kamati, kwa mujibu wa kanuni hiyo siyo kazi yake. Huo ni wajibu wa spika ndivyo inavyosemekana. Lakini wazo na hapa lazima kama kuna mafisadi, na Werema anatajwa ni miongoni, lazima ijulikane. Wala hakuna kufunika vitu vyote viko wazi na mimi ninavyo vya wazi vingi kabisa…na uamuzi uliofanyika, uchunguzi ufanywe na CAG ni sawa sawa,” alisema.
 
Spika aonya wabunge kutumiwa Wakati huo huo Spika wa Bunge, Anne Makinda, ameonya wabunge dhidi ya kutumiwa na watu wengine wa nje ya Bunge kwa manufaa yao.
 
Makinda alisema baadhi ya wabunge wamekuwa wakija bungeni wakiwa wamebeba hoja za watu binafsi na kuzitetea. Katika kile alichosema vitendo hivyo vinaweza kuhatarisha uhai wa bunge, alisema hata kama mbunge ameambiwa jambo nje ya Bunge, ni lazima kulipima kabla ya kulileta bungeni.
 
“Sasa nimeanza kuona kuna baadhi yetu wanakuja na hoja zao kutoka nje na kuzileta humu kuzitetea,” alisema na kusisitiza kuwa kitendo hicho si sahihi na kinaharibu heshima ya bunge.

Ingawa alisema ushawishi ni suala la kawaida, lakini alisema mbunge anapopata mawazo ya mtu mwingine, anapaswa kuchanganya na ya kwake na si kuingiza hoja hiyo moja kwa moja bungeni.

JE UNAPENDA KUANGALIA WANYAMA? ANGALIA PICHA NYATI AKIPAMBANA NA SIMBA KUJIOKOA !!




Kundi la Simba likielekea katika mawindo yake baada ya kuona kundi la Nyati. 
Simba wakianza kujipanga kwaajili ya mashambulizi katika kundi la Nyati 6 walio waona.
Nyati huyu ndio aliingia katika mtego na kuanza kufukuzwa na Simba. Kwa Mbali gari la Watalii likija eneo hilo na baada ya muda magari 12 yaliyo na watalii mbalimbali yalifika katika eneo hilo na kushuhudia mtanange mkali kati ya Simba na Nyati. Mpigapicha wa Gazeti la Uengereza la Daily Mail, Scott Macleod alinasa taswira hizi.
Simba wakianza jitihada za kumuangusha Nyati huyo dume bila mafanikio.
Ilikuwa ni vita ambayo haikuruhusu mtoto kutumwa maji dukani.
Ubabe wa Simba ilizidi kuongezeka kwa wafalme hao wa Pori kujaribu kumuua mmoja wa wanyama wakubwa 5 Porini. The Big 5 Animal
Watalii walikata kiu yao vya kutosha maana moja ya vitu vinavyowavutia watalii ni kumuona Simba au Chui akiwa mawandoni. Lakini hakika kwa Hifadhi za Tanzania hili linawezekana na watalii karibuni mjionee haya.
Mziki uliendelea ...
Watalii waliongezeka...jitihada za Simba walau kumuangusha Nyati hiyo bila mafanikio.
Simba hawakuhofua macho wala mingurumo ya magari iliyokuwa imewazunguka mahali hapo wakati vita yao ya kumla Nyati ikiendelea. Watalii wakifurahia kivutio hicho ndani ya ardhi ya Tanzania.
Hakika Nyati ni The Big 5 Animal. Licha ya Simba kuwa wengi lakini walishindwa kumuangusha Nyati huyu na kujipatia kitoweo. Simba walitawanyika kwenda kutafuta nguvu zaidi.