Jumamosi, 10 Mei 2014

KUTANA NA BUM BUM REMIX NI SHIDA VIDEO YA HUYU MSANII KUTOKA NIGERIA,, ILOYOIPA TAABU VYOMBO VYA HABARI KUIONYESHA.. ( 18+ )


Screen Shot 2014-05-08 at 12.26.43 AM


Labda ingekua ya msanii wa Tanzania, Kenya, Uganda au Rwanda hii video ingekua imeshafungiwa kwenye nchi anayotoka kama ambavyo tumeshuhudia kufungiwa kwa video zisizopungua kumi kutokana na kudaiwa kuvunja maadili.
Kwa mujibu wa ripoti iliyoifikia nchi ambayo imeongoza kwa kufungia video Afrika Mashariki ni Rwanda ikifuatiwa na Kenya kisha Tanzania.
Hii video ya leo ni ya msanii wa Nigeria anaitwa Timaya akiwa na Mjamaica Sean Paul kwenye remix ya bum bum ambayo imepokea maoni tofauti kwenye mitandao mbalimbali baada ya hawa warembo kuonekana ndani yake walivyovalia.
Video hii pia inaendelea kupata airtime kwenye vituo hata vya nyumbani Nigeria na sijaona taarifa zozote za kufungiwa.



0 comments:

Chapisha Maoni