Jumamosi, 10 Mei 2014

DIAMOND ASHANGAZWA JUU YA NYIMBO WAKE MPYA ILIYOTOKA LEO "KITORONDO",ADAI IMEIBWA KABLA YA YEYE KUIACHIA HEWANI HUKU IKIWA BADO HAIJAKAMILIKA




Wimbo ulio patakikana kwenye mitandao wa Diamond “Kitorondo” ana dai wimbo huo umevuja na hajui aliovujisha ni nani hii ndio kauli yake 


Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa.. 

Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara, kwasababu Haijatoka na haiko Qualified….” hayo aliyasema Diamond kupitia Mitandao yake.

0 comments:

Chapisha Maoni