Alhamisi, 8 Mei 2014

JE UNATAKA KUMUOA JOKETI? SOMA HAPA ILI UMPATE KIULAINI


MTOTO mzuri kunako anga la uanamitindo Bongo, Jokate Mwegelo ameibuka na kuanika sifa za mwanaume ambaye anafaa kuwa mume wake.

Mtoto mzuri kunako anga la watangazaji Bongo, Jokate Mwegelo.
Akipiga stori na paparazi juzi jijini Dar, Jokate alisema anapenda mwanaume ambaye atajua kutafuta fedha kwa nguvu zote, awe anajua kubembeleza na awe na nidhamu kwa wazazi wake.
“Sifa ya mume ninayemtaka, anapaswa kuwa mtafutaji wa fedha, sipendi mwanaume asiyependa kutafuta, awe anajituma kwa kazi zake na kwa mpenzi au familia yake na pia ajue kunibembeleza,’’ alisema Jokate.

sasa vidume watafutaji kazi kwenu.. mtoto ndio kafunguka hivyo...

HII NDIO VIDEO YA MSANII NYOTA WA BONGO MOVIE NA MISS UTALII WAKISAGANA NA PICHA 400, WATUMIA PIPI KIFUA KUSAGANA....MANAIKI AHUSIKA...TAZAMA HAPA




SITAKI KUONGEA MENGI TAFADHALI NI LAZIMA UWE MTU MZIMA ILI KUONA PICHA HIZO 400....YAANI KUANZIA MWANZO (WANAJIHAMASISHA KWA KUANGALIA VIDEO ZA NGONO) ILI WAPATE MIHAMSHO HADI WANAPOKIDHI HAJA ZAO (KURIDHISHANA) ....

YAANI NI AIBU KWA WATANZANIA...WASANII WA BONGO MUVI NA MAMISS KWANI WAO NI KIOO CHA JAMII....

MTANADAO HUU WA PAPARAZI UNAPIGA VITA VITENDO VYA USAGAJI...SIJUI HAWA DADA ZETU HII TABIA NA KASUMBA YA KUSAGANA WAMEITOA WAPI????? INAONEKANA KUSHIKA KASI ZAIDI YA SPEED 120....

JE WANAUME HAWAPO JAMANI????????????????? AAAAAAHHHHHHH...INABOA 



>>>>BOFYA HAPA UJIONEE MAPICHA MKANDA WOTE>>>>

WANACHAMA SIMBA SC MSIDANGANYIKE NA SIASA NYEPESI ZA WACHUMIA MATUMBO


486618_545707472135474_901587883_n
TAYARI mchakato wa uchaguzi katika klabu ya Simba sc umeshaanza na tayari mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi, Damas Ndumbaro ametangaza kuwa juni 29 mwaka huu uchaguzi utafanyika
Wapo watu wengi wanaotamani kuiongoza klabu ya Simba ambayo kwasasa ipo katika hali ngumu kwa soka la uwanjani.
Kumaliza nafasi ya nne nyuma ya Mbeya City, Yanga na Azam fc ni jambo linalowaumiza wana Simba wote.
Ni msimu wa pili mfufulizo Simba wanakosa nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa. Kwa ukongwe wake ni jambo la fedheha kubwa japokuwa mpira uko hivyo.
Hatuwezi kuwakosoa Simba kwa matokeo waliyokuwa wanapata kwasababu mpira wa miguu huwa unabadilika, lakini makosa yanapotokea kwasababu ya watu fulani kutowajibika, hapo lazima ukosoaji uhusike.
Kwa mfano wachezaji kushindwa kucheza vizuri kwasababu hawajalipwa posho na mishahara, unashindwaje kuukosoa uongozi kwa kushindwa kuwajibika?
Kumekuwapo na mivutano ya muda mrefu baina ya mwenyekiti wa Simba, sasa Rais, Ismail Aden Rage na baadhi ya wajumbe wake wa kamati ya utendaji pamoja na baadhi ya wanachama.
Sinema nyingi zimeonekana na zimeandikwa, kila mtu anafahamu yaliyokuwa yanatokea Simba sc.
Jana aliyekuwa kiungo wa Simba sc msimu uliopita, Henry Joseph Shindika wakati akihojiana na mtandao huu alikiri wazi kuwa maisha ya wachezaji wa kitanzania ni magumu sana.
Joseph alisema watanzania tunajijua maisha yetu wenyewe. Kama si baba, basi ni kaka au ndugu, kwahiyo unapokuwa unapata kipato kuna watu wengi nyuma yako wanaohitaji msaada.
Kwahiyo utakuta mchezaji ana familia, anasomesha wadogo zake na anategemewa na wazazi wake kutokana na mshahara anaopata katika klabu.
Inapotokea hapewi mshahara mambo mengi yanakwama, hivyo kisaikolojia anaathirika na kushindwa kucheza vizuri na ndio maana unaona wachezaji hawana morali.
Maneno ya Joseph yana pointi kubwa ndani yake kuwa mazingira ya wachezaji wengi wa kitanzania kutegemewa na familia zao yanasababisha mshahara na posho kuwa kitu cha kwanza.
Kwa maana hiyo uongozi ukishindwa katika kipengele hiki, matatizo mengi ya uwanjani yataonekana.
Kipindi cha Rage, matatizo ya kuchelewesha posho na mishahara kwa wachezaji yameripotiwa mara nyingi na mpaka yeye mwenyeweanakiri hilo.
Uongozi kwa soka letu ndio kila kitu. Sasa safari ya Rage imefikia ukingoni na yatari uchaguzi utafanyika juni 29 mwaka huu ambapo Rais mpya , makamu wa Rais na wajumbe wapya wa kamati ya utendaji watapatikana.
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa Simba sc, Damas Ndumbaro alisema jana kuwa kamati yake haitakuwa na huruma hata kidogo kwa wale wote watakaokiuka kanuni za uchaguzi.
486618_545707472135474_901587883_nNa akawaahidi wanasimba kuwa uchaguzi wa mwaka huu utazingatia misingi ya haki, kanuni na sheria kwasababu kamati yake ina watu makini, waadilifu na wenye nia ya kuisaidia Simba kupata viongozi wa kweli.
Haya ni maneno kutoka kamati ya uchaguzi, lakini bado wenye mamlaka makubwa ya kuamua nani waingie kwenye uongozi ni wanachama hai wa Simba sc.
Wanachama wa Simba mara nyingi mmetuita waandishi wa habari na kusema mengi juu ya uongozi wa Rage.
Wengi wenu hamkuupenda uongozi wa Rage na kuthubutu kusema Simba imekuwa hapa ilipo kwasababu ya mwenyekiti huyo. Sasa anaondoka na hatagombea tena.
Mambo kadhaa mnayotakiwa kuzingatia ni pamoja na kutambua kuwa klabu yenu inahitaji kiongozi mpya kwa kila kitu, zaidi awe na mawazo chanya kwa ajili ya kuiendeleza klabu.
Rais wenu awe mpenzi wa Simba, aipende Simba na atumie muda wake kuisaidia Simba sc.
Awe kiongozi mwenye mtazamo wa mbali ili katika kipindi chake cha miaka miwili ya uongozi, tuione Simba mpya.
Tunajua mna hamu ya kurudisha heshima yenu, na kwa kuanza, lazima mhakikishe juni 29 mnachagua mtu mwenye nia na sera nzuri kwa klabu ya Simba.
RAGEMwenyekiti wa Simba sc, Ismail Aden Rage anaondoka zake
Simba na Yanga zimekuwa kitega uchumi kwa watu fulani. Kuna kiongozi mmoja wa soka aliwahi kusema tukiwa katika mazungumzo ya kwaida tu kuwa hakuna hela rahisi kama kwenye mpira.
Alimaanisha kwenye mpira kuna mwanya mkubwa wa kuchuma pesa na ukajenga nyumba, ukaendesha gari na kufanya mambo mengine bila kutumia nguvu.
Simba ni klabu kubwa yenye rasilimali. Hivyo kuna watu wana nia ya kuomba uongozi ili wajinufaishe wenyewe.
Wataomba wengi , lakini watakuwa na nia tofauti. Ni ngumu sana kumjua mtu mwenye nia nzuri kwa kumuangalia machoni.
Kidogo unaweza kujiridhisha kuwa fulani hafai kama aliwahi kuwa kiongozi kwasababu unajaribu kukumbuka mazuri yake na mabaya yake, lakini kwa mtu mpya kabisa ni ngumu sana.
Kama baadhi ya watu waliowahi kuwa viongozi watarudi kwenye uchaguzi huu, basi wanachama kaeni chini mtathimini kwa kina kama wanaweza kuja na mambo mapya.
Kila kitu kipo juu yenu, mtakayemchagua ni ninyi na mtakaokuja kujuta ni ninyi. Wanachama wa Simba, kuweni makini kipindi hiki na msiridhishwe na siasa nyepesi. Mpira ni vitendo na si maneno.
Kwa bahati mbaya watanzania wengi tunaingiza siasa hasa kwenye masuala ya msingi. Ni rahisi mtu kutamka kuwa nitaijengea klabu uwanja, lakini ikifika utekelezaji, maneno ya siasa yanatumika.
Kila la heri Simba kuelekea katika uchaguzi wenu juni 29 mwaka huu, kazi imebaki kwenu kwa mujibu wa katiba ya klabu yenu.

MAMBO YA VIUNO VILIVYOSHEHENI FULL SHANGA TANGA KUMEKUCHA...!!








HII NDIO LIST MPYA YA MATAJIRI AFRIKA. WATANZANIA WAPO WANNE. ICHEKI HAPA


Mtandao wa Forbes maarufu kwa kutoa taarifa kama hizi, umetoa list mpya ya matajiri 50 kutoka Africa na kuhusisha vyanzo vya pesa zao, umri wao pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki.


1
List imeongozwa na Mnigeria Aliko Dangote (kwenye picha hapo juu) na mtanzania wa kwanza ameonekana kwenye namba 27 akiwa na utajiri wa dola bilioni moja. Cheki list yote hapa.
Watanzania hawa wanne ni Rostam Aziz kwenye namba 27, Reginald Mengi namba 34, Bakhresa namba 38 na Mohammed Dewji namba 38.


 2
 3
 4
 5

Mwanamke Azalia kwenye ndoo na kukitupa kichanga chooni.....Polisi wamtia pingu na kumtupa nyuma ya Nondo



MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Hadija Mohammed, mkazi wa Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam amekumbana na mkono wa sheria baada ya kufanya kitendo cha kinyama kufuatia kujifungulia kwenye ndoo kisha kichanga kukitupa chooni.



Kwa mujibu wa chanzo, mwanamke huyo alikuwa na ujauzito uliotimiza miezi tisa na kila mtu alikuwa akiuona, lakini ghafla siku ya tukio baadhi ya ndugu waligundua kuwa hakuwa na ujauzito tena!
 
NDUGU WAMBANA
Chanzo hicho kiliendelea kutiririka kuwa baadhi ya ndugu na majirani walipomuona bila ujauzito walimbana kwa kumuuliza iliko mimba hiyo.

“Ndugu zake na majirani walipomuona hana tumbo kama mwanzo walishangaa, wakaamua kumbana tena kwa vitisho kwamba watampeleka polisi.
 
“Ndipo alipoamua kueleza ukweli kwamba, alijifungulia kwenye ndoo lakini mtoto alikwenda kumtupa chooni,” kilisema chanzo hicho.
 
POLISI WAAMBIWA, WAKOMAA NAYE
Habari zilizidi kudai kuwa baada ya majirani na ndugu kuambiwa hivyo walikwenda kutoa taarifa kwenye Kituo cha Polisi Pangani kilichopo Ilala, Dar ambapo walifika na kukiokoa kichanga hicho lakini walikuta kimeshakata roho.
 
MAMA APELEKWA POLISI
Mpashaji wetu alizidi kudai kuwa, baada ya polisi kuuchukua mwili wa mtoto huyo hawakumwacha mama mtu aendelee kuponda maisha uraiani, walimbeba mpaka kituoni hapo na kumfungulia jalada lenye namba ILA/RB/1715/2014 kisha kumpeleka  kwenye Mahabusu ya Polisi Msimbazi huku mwili wa mtoto huyo ukipelekwa Hospitali  ya Amana na baadaye Hospitali ya Taifa Muhimbili.

NI FUNDISHO
Afande mmoja ambaye aliomba jina lake lisiandikwe, alisema ni lazima Hadija apambane na mkono wa sheria ili iwe fundisho kwa wanawake wengine wenye mchezo huo.
 
“Hii tabia imekua sana. Wanawake wengi wanajifungua kisha wanawatupa watoto chooni au kokote kusikojulikana ili wao waendelee kula raha mjini. Huyu lazima sheria ishike makali yake ili iwe fundisho,” alisema afande huyo. 

UTABIRI MPYA: WABUNGE KUPOTEZA KAZI, VIONGOZI KUFA


Mtabiri maarufu Bongo, Alhaji Maalim Hassan Yahya Hussein.

Wakati Bunge la Bajeti 2014/15 likiendelea mjini Dodoma na hivi karibuni viongozi wa dini kutoa ufafanuzi wa kuonekana kwa mwezi mwekundu na kueleza kwamba unaashiria mwisho wa dunia,

 mtabiri maarufu Bongo, Alhaji Maalim Hassan Yahya Hussein amefunguka kwamba hiyo ni ishara kuwa, wabunge wengi watapoteza nyadhifa zao na viongozi wengi watakufa.

Maalim Hassan alisema kuonekana kwa mwezi mwekundu (blood moon) Aprili 15, mwaka huu ni ishara kwamba viongozi wengi,  wakiwemo wa dini na serikali watakufa ghafla na wengine hasa wabunge watapoteza nyadhifa katika majimbo yao ya uchaguzi kutokana na sababu mbalimbali.

“Mwezi mwekundu ulioonekana ni dalili kwamba kutakuwa na habari nyingi za matatizo, njaa itakuwa kubwa, mashaka, uongo, viongozi kupingana huku wengine wakiondolewa madarakani kama wabunge au kufa ghafla.

“Kutatokea mizozo mingi kwa nchi ya Tanzania na nchi za jirani,” alisema Maalim Hussein.
Hata hivyo, mtabiri huyo aliwataka watu kuwa na tahadhari kwani Mungu anazungumza nao kwa ishara hizo zinazoonekana na mwezi utapatwa kwa mara ya pili na kuwa mwekundu Oktoba 23, mwaka huu, Jumanne ambayo kinyota ni siku ya mashaka.

SABABU ZA BAADHI YA WANANDOA KULAZIMIKA KUCHEPUKA!


Kiukweli kabisa mchepuko siyo dili kwa kuwa wengi waliochepuka wamejikuta kwenye matatizo makubwa sana. Ndiyo maana tunashauriwa kubaki njia kuu kwa kujenga uaminifu kwa wale tuliotokea kuwapenda na kutodiriki kuwasaliti.

Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, kasi ya kusalitiana kwa wapenzi imekuwa ikiongezeka kila kukicha. Utulivu umekuwa sifuri, unayedhani katulia kesho utasikia kafumaniwa.
Unaweza kuwa na mpenzi ambaye kila mara anakueleza kuwa, hawezi kukusaliti na atakuwa na wewe katika shida na raha lakini huyohuyo usishangae siku moja ukamkuta yuko na mtu mwingine.
Swali la kujiuliza ni kwamba, kwa nini wapenzi wanashindwa kujizuia na mchepuko? Hivi hawaoni hatari iliyopo mbele yao kwa kuwasaliti wenza wao? Mimi nadhani kuna tatizo lakini hebu tuone sababu  ambazo zinaonekana kuwasukuma baadhi ya wanandoa kushindwa kutulia kwenye njia kuu.
Katika utafiti niliofanya nimebaini kuwa, tamaa za kijinga zimekuwa zikisababisha wengi kuwasaliti wenza wao na kuwasababishia maumivu makubwa sana.
Tamaa hasa ya pesa imekuwa ikiwashawishi baadhi ya watu kushindwa kujizuilia kusaliti. Kwa wale ambao wako kwenye ndoa wakati mwingine hasa wanawake wasipopatiwa mahitaji yao muhimu na akatokea jamaa, akamhakikishia kupata kila anachotaka, anakubali bila kujua kwamba anakosea.
Wengine wanapatiwa kila kitu na waume zao lakini sasa kinachotokea ni tamaa za kimwili tu ambazo zinawasumbua na kujikuta wanatafuta wanaume wengine huku wakidai kuwa wanatafuta ladha tofauti.
Lakini wengi wamekuwa wakichepuka kutokana na mazingira wanayojengewa na wenza wao.
Kwa mfano, unaweza kukuta mke anamuwekea mumewe vikwazo katika tendo la ndoa. Anampangia ratiba na wakati mwingine anapoombwa tendo anadai amechoka au anaumwa na sababu nyinginezo.
 Hivi katika mazingira kama haya unatarajia nini kutokana kwa mume kama siyo kuchepuka?
Kweli mume anaweza kuvumilia kwa kipindi fulani lakini ikafika wakati uvumilivu ukamshinda akaamua kutafuta mtu wa pembeni wa kumpa furaha.
Ndiyo maana wanaowanyima unyumba waume zao kwa kutoa visingizio mbalimbali hata wanaposikia kwamba wanasalitiwa, wanakuwa hawana nguvu ya kuwashutumu wapenzi wao, wataanzia wapi wakati hawawatimizii mambo flani?
Si hivyo tu, kwa wanaume nao wengine wamekuwa wakiwasusa wake zao na kukaa siku mbili ama zaidi bila kuonekana nyumbani na kama atarudi basi usiku akiwa amelewa na hana mpango kabisa na mke wake.
Katika mazingira hayo unadhani nini kinaweza kutokea kama siyo mwanamke kutafuta mwanaume atakayempatia mapenzi? Ni kweli kuchepuka ni hatari lakini mwanamke huyu naye ana hisia, kuna wakati anatamani kabisa kuwa na mtu wake faragha lakini inashindikana, hivi akitokea wa kumburudisha atakataa?
Sisemi kwamba, katika mazingira hayo suluhisho ni kusaliti lakini utafiti unaonesha kuwa, wapo wanawake ambao wamekuwa wakitoka nje ya ndoa zao kwa kutothaminiwa na wenza wao, matokeo yake wanajikuta wametoka nje ya njia kuu.
Lingine ambalo linaonekana kuwafanya wanandoa wengi kuchepuka ni kuwepo kwa mapenzi ya kilaghai. Tunapozungumzia mapenzi, tunaweza kuyagawanya katika makundi mawili, mapenzi ya kweli na mapenzi ya uongo. Walio katika mapenzi ya kweli huwezi kuwasikia wamesalitiana.
Ila wale walio katika mapenzi ya kudanganyana kusalitiana itakuwa ni sehemu ya maisha yao ya kila siku. Hii ina maana kwamba, kama Amina hana mapenzi ya dhati kwa Juma basi ni rahisi sana Amina kufanya mapenzi na Ally ama John kwa siri.
Kwa maelezo hayo unaweza kuona ni kwa jinsi gani kutokuwepo na mapenzi ya dhati baina ya wawili waliokubaliana kuwa kitu kimoja kunasababisha kuwepo kwa mazingira mazuri ya kusalitiana.
Kwa kumalizia niseme tu kwamba, kusalitiana kwa wanandoa kumekuwa kukitokea kutokana na kuwepo kwa mazingira fulani ambayo baadhi yao wamekuwa wakishindwa kujizui nayo na hivyo kujikuta wanatoka nje ya mahusiano.
Ila sasa nalazimika kwa nguvu zote kuwashauri wale walio katika uhusiano wa kimapenzi, namaanisha wapenzi wa kawaida, wachumba ama wanandoa, kutokuwa na tamaa za kijinga na kufikia hatua ya kuwasaliti wapenzi wao.
Hivi unajisikiaje unapomvulia nguo mtu ambaye wala hana ‘future’ na wewe? Hivi na wewe ukifanyiwa hivyo na mpenzi wako utajisikiaje? Elewa maumivu utakayoyapata pale utakaposikia mpenzi wako ana uhusiano na fulani ni hayo hayo atakayoyasikia mwenza wako.
Kuwa muaminifu, ridhika na unachokipata kwake, muoneshe mapenzi ya dhati naye atafanya hivyo hivyo na kujikuta mnayafurahia maisha yenu.

SHOW YA OMMY DIMOZ ILIOWAPAGAWISHA WATOTO WA KIKE PANDE ZA MAMTONI,