Jumatano, 7 Mei 2014

UZINZI:Vai wa Ukweli ameshindikana.....Afumwa akifanya mambo ya aibu mbele ya wanaume, Hii ni mara ya sita kushiriki matendo ya uzinzi

Ukiwa  umepita  mwezi  mmoja  tangu msanii  wa  Tasnia  ya  Filamu  anayejulikana  kwa  jina  la  Isabella  Francis  'Vai  wa  Ukweli'  kuripotiwa  kujiuza, sasa  msanii  huyo  amekumbwa  na  kashfa  nyingine  ya  kupiga  picha  za  uchi  zikimuonesha  akivua  nguo  mbele  ya  wanaume....

Akiongea  na  mpekuzi  wetu, mtu  mmoja  aliyejitambulisha  kwa  jina  la  Bonny  alisema  picha  hizo  zimetawala  kwenye  mitandao  ya  kijamii  hali  inayozidi  kumuweka  pabaya  msanii  huyo  katika  ushiriki  wa  kazi  za  klabu  ya  Bongo  Movie  Unity  yenye  uongozi  mpya  ambayo  imekemea  vitendo  visivyoendana  na  maadili  ya  kitanzania....

Bonny  alisema  picha  hizo  aliuziwa  na  jamaa  mmoja  kwa  kurushiwa  kwenye  simu  kwani  yeye  amekuwa  na  utaratibu  wa  kukusanya  picha  za  mastaa  waliokuwa  katika  pozi  na  kuzihifadhi  kwenye  simu  yake....

"Lakini  kinachoniuma  ni  kwamba  huyu  binti  namjua  tangu  akiwa  mdogo  na  amewahi  kuwa  mshikaji  wangu,nimewahi  kumshauri  aachane  na  huo  ujinga  wa  kupiga  picha  zisizo  na  maadili  lakini  amekuwa  hanisikii,safari  hii  nimezifuma  picha  hizi  alizopiga  akiwavulia  nguo  wanaume  kibao  waliokuwa  wakimtazama  bila  aibu" Alisema  Bonny

Aliendelea  kusema  picha  hizo  mbali  ya  kuonyesha  sehemu  zake  muhimu  lakini  zinakiuka  heshima  ya  mwanamke  ambapo  anatakiwa  kujihifadhi  sehemu  nyeti  ambazo  zinastahili  kuonwa  na  mtu  wake  wa  karibu  tu..
 
Kufuatia  kukithiri  kwa  vitendo  vya  kikahaba  katika  kundi  la  Bongo  Movie  Unity, uongozi  mpya  uliochini  ya  Steve  Nyerere  umetoa  tahadhari  kwa  wanachama  wake  watakaoshiriki  mambo  yaliyokinyume  na  maadili....

KAMERA YETU IMEFUMANIA PICHA MPYA ZA "MANAIKI SANGA" AKIENDELEZA URODA NA MADADA WA MJINI.. KUWENI MAKINI SANA NYIE MABINTI

Mchukua Matukio Amenasa Picha Hizi Maeneo Fulani.. Manaiki akiendeleza Gurudumu lake la Kutembea na Madem Lukuki.. Manaiki anakaribia kuweka Recodi ya kutembea na Madem wengi zaidi hapa Town.. Angalizo ni kwamba Kuweni makini sana..

UGONJWA UNASAMBAA KWA KASI JIJINI DAR:HOMA YA DENGUE NI NINI?

Homa ya Dengue ni ugonjwa unaoenezwa kwa kuumwa na mbu aina ya Aedes mwenye virus vya ugonjwa huu. Mbu hupata virusi vya homa ya Dengue anapomuuma mtu mwenye ugonjwa huu.

Ugonjwa huu unaenezwa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine kwa kuumwa na mbu huyu.

DALILI:
Homa kali ya ghafla
Kuumwa kichwa hususani sehemu za machoni
Maumivu makali ya viungo na misuli ya mwili
Kichefuchefu au kutapika
Kutokwa na damu kwenye fizi, na sehemu za uwazi za mwili.
Uchovu
ukimsikia ndugu au jamaa yako anasema kuwa na dalili hizi muwahishe hospitali mapema. 

SHARE UJUMBE HUU ILI WATU WAJUE

HATARI SANA, WANAFUNIKA NYWELE LAKINI WANAFUNUA MATITI!

Afrika kama tunavyoifahamu, ilikuwa ni sehemu ya Mila na Tamaduni bora kabisa, sehemu ambayo heshima adabu vilikuwa ni msingi wa jamii yake, hasa kwenye jamii.

Ni sehemu ambayo masikini waliishi kwa mlo mmoja lakini bado waliheshimiana, kuvumiliana na kupendana. Ni sehemu ambayo binti angekutwa akifanya mambo ya aibu basi wazazi wake wangenyooshewa vidole kwa malezi mabaya kwa binti yao.

 Vivyo hivyo kwa vijana wa kiume. Mambo haya yalipatikana zaidi kwenye nchi nyingi za kiafrika na Tanzania ni mojawapo.

Ila kwa sasa, Waafrika wengi, hasa vijana wamezua mijadala mingi inayotokana na mienendo ya tabia zao zinazopelekea kuvunjika kwa Mila na Tamaduni bara hili…. Kitu kinachozua maswali juu ya nani wakulaumiwa kwa kuvunjika na kuharibika kwa Mila na Tamaduni za Afrika…?

 Mfano mdogo uko kwenye hiyo picha hapo juu, huyu binti anafunika nywele kwa imani lakini anafunua matiti. Dini, shule, wazazi, walezi na walimu wameshindwa kukisaidia hiki kizazi. Ni nani wa kulaumiwa? Kwangu mimi hiki bado ni kichekesho tu!

BILA UPENDELEO, MABINTI TOKA MKOA GANI TANZANIA WANAONGOZA KUWA NA SURA NZURI?

Bila upendeleo, mabinti toka mkoa gani Tanzania wanaongoza kuwa na sura nzuri?

 Kama Unajua Andika Mkoa huo kwenye Comment

PicMonkey Collagebeyo
Ni vazi la kiafrika ambalo kwa sasa limeanza kushika kasi na kuteka baadhi ya mastar wa mbele kama Beyonce, Amber Rose, Kim kardashian, Elicia Key na wengine kibao, kutokana na fashion kuwa bora zaidi na kuvutiwa wengi uenda Afrika ikazidi kupata soko kubwa kutokana uhitaji wa vitu vya asili kuwavutia wengi.

Mwanamke ni mama mwenye nguvu unajua kwa nini kwa sababu mwanamke alitoka katika ubavu wa mwanaume baada ya Mungu kufanya yafuatayo kwa mwanaume
A. Alimpa usingizi mwanaume
B. Alimfanyia upasuaji
C. Damu ilitoka kwa wingi kwa mwanaume
D. Nyama ilitolewa kwa mwanaume
E. Mfupa ulitolewa kwa mwanaume
F. Baada ya kufanyiwa hivyo mwanaume ndipo mwanamke akaumbwa akatoka mwanaume akakiri na kusema huyo ni mfupa katika mfupa wangu na nyama katika nyama yangu –hivyo ataitwa mwanamke napenda ujue kuwa Mwanamke amebeba uponyaji wa mwanaume na mwanaume amebeba vidonda kwa ajili ya mwanamke
Mwanamke ni mfupa mwanaume ni udongo hivyo mwanamke ni:
1. Ni nguvu ya mwanaume
2. Ni jasiri
3. Mchapakazi
4. Mwenye kujiamini
5. Tegemeo la familia
6. Mwalimu wa watoto na familia yake kiujumla
7. Mlinzi wa mwanaume – Bwana akisema ‘’nimefanya jambo jipya duniani mwamke atamlinda mwanaume
8. Chanzo cha baraka ya familia ( nitabariki Uzao wa tumbo lako)
9. Adui wa maadui wa familia (Uzao wa mwanamke utamponda kichwa nyoka na uzao wa nyoka (shetani ) utamponda kisigino (mwanzo)
10. Sauti ya familia (Bwana akamwambia Ibrahimu msikilize mkeo (mwanzo
11. Mponyaji wa familia yake na taifa
12. Mlezi wa huduma (wakamtumikia Yesu kwa mali zao(Luka8.3-4)
13. Mkombozi wa familia na taifa (kupitia mariamu mkombozi Yesu kristo alizaliwa (Luka i.29-35
14. Msaidizi wa Mungu tumfanyie msaidizi wa kufanana naye (mwanzo 2:18)
15. Mwombezi wa familia,huduma na taifa (Tuwapate wapi wa mama waombolezaji
16. Mficha siri wa Mungu (Rebbeca alificha ni nani atayekuwa mtawala kati ya watoto wake wawili Esau na Yakobo.Baada ya kujua umuhimu wa mwanamke tunatakiwa kuangalia kiundani sana tabia 30 za mwanamke bora sio bora mwanamke tumeumia sana baada ya kuowa watu wasio sahihi katika eneo lilosahihi mwanamke bora ni mwamuzi wa familia ndio mleta mabadiliko katika familia mwanamke anayejua kwanini nipo hapa na ninafanya nini?
Mimi nimefanya utafiki kutokana na vitabu na maisha yanayotuzunguka nimeweza kugundua tabia 30 za Mwanamke anayeweza kunifaa mimi na wewe rafiki yangu tuziangalie kwa makini sana na kwa utafiki wa ndani:-
1. Moyo wa Mwanaume humwamini:
Moyo wa M wanaume humwanini Mwanamke bora sio bora Mwanamke, Mwanamke bora hujitahidi sana ili aweze kuaminika kwa mume wake maana Imani ni kitu muhimu sana katika mahusiano, mahusiano yakipoteza Imani hapo hakuna mahusiano, Mwanamke ana uwezo mkubwa sana wa kujiaminisha kwa Mwanaume kuwa yeye ni mtu sahihi na chaguo sahihi kwa Mwanaume wake. Moyo ndio unaothibitisha kuwa huyu ni mtu sahihi au sio sahihi
Moyo ndio unamkubari mtu
Moyo ndio sauti ya mwisho
Moyo ndio chanzo cha upendo
Moyo ndio jibu la maisha yako ya mapendo
Moyo ndio chemichemi ya mapenzi
Moyo ndio unaoamini na kinywa husema yaliyo maamuzi ya moyo.
Huyu Mwanamke anatakiwa awe na jibu kwa Mwanaume- Upendo wa kweli hautambuliki kwa muonekano wa mtu bali upendo huambulika toka moyoni:- Hivyo Mwanamke bora ni Yule anayeweza kuushika moyo wa Mwanaume na kujiaminisha kwake.
2. Huondoa umaskini
Mwanamke bora katika maisha yako ni Yule mwenye mawazo mazuri ya kuondoa umaskini katika maisha yako- hana wazo baya, wengi wao wanatamani kuolewa ili awe na sifa mtaani kuwa ameolewa lakini ni tegemezi, hana wazo jipya la kubadilisha maisha yako. Hawa sio wanawake sahihi mawazo yake yanamtegemea mwanaume, wazo lake ni kuzaa watoto hana wazo la maendeleo, hajui maumivu ya maisha huwa wanarudisha nyuma ndoto zako kutokutimia kwa wakati wake. Mwanamke bora ni Yule mwenye mawazo ya maendeleo, mwenye hasira na umaskini mpenda mafanikio huyo ndiyo anafaa kuolewa
3. Kamwe hamtendei Mume wake mabaya
Mwanamke bora yaani niniamaanisha aliye sahihi ni Yule mwenye moyo safi kwa mume wake,
1. Hawazi mabaya bali mema kwa mume wake,
2. Hawezi kumtendea mume wake mabaya,
3. Hawezi kumuumiza mume wake,
4. Hawezi kumtonesha vidonda mume wake,
5. Hawezi kuumsaliti mume wake,
6. Hawezi kumtendea yasiyo haki mume wake,
7. Hawezi kumchafua mume wake na kumdharirirsha katika jamiii iliyowazunguka,
8. Hawezikumtukana Mume wake,
9. Hawezi kushabikia maumivu na mateso ya Mume wake,
10. Hawezi kuwa radhi na maadui wa Mume wake,
11. Hawezi kuwa jeuri kwa Mume wake,
12. Hawezi kumtendea Mume wake mabaya.
13. Amejaa heshima kwa Mume wake,
14. Adabu,
15. Utu wema anatunza uthamani wa Mume wake
16. Amejaa utiifu na upole kwa Mume wake
17. Amejaa unyenyekevu na uaminifu kwa Mume wake,
18. Amejaa amani na furaha ya kweli kwa Mume wake-
19. Anayeshinda uovu kwa wema,
20. Mwenye upendo wa kweli kwa mume wake. Huyu ndiye Mwanamke unayeweza kumuowa au kuishi naye na ndio sifa ya Mwanamke anayehitajika katika maisha yako. Mwanamke huyu ataheshimika na kuthaminiwa na watu na hatakosa upendo wa dhati kutoka kwa Mume wake.

Joseph Haule aka Profesa J na Jose Chameleone ni marafiki wa siku nyingi. Chameleone aliwahi kutumia beat ya wimbo wake ‘Nikusaidieje’ kurekodi wimbo aliomshrikisha mdogo wake Weasel, Bomboclat. Na sasa Jose hao wawili wamekutana kufanya wimbo wa pamoja.

Mabruki
Proffesor Jay,Jose Chameleon ,Lamar na Villy wakiwa studio
Kupitia Instagra, Profesa Jay ameandika: Ndani ya Mwanalizombe Studio usiku sana,Professor Jay Josechameleon @lamarfishcrab @producer villy,Shidaa mpya inakuja!!! STAY TUNED, Dar East African HEAVY WEIGHTS, Stay Tuned,mpaka waombe poooh !!!!”
Proffesor Jay akiwa na Jose Chameleon katika hotel ya Southern Sun Dar Es Salaam
Profesa J na Jose Chameleone katika Hotel ya Southern Sun jijini Dar es Salaam hivi karibuni
Chameleone alikuwa nchini kuhudhuria tuzo za Kili ambapo alishinda tuzo ya wimbo bora wa Afrika Mashariki

HABARI ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU HIVI PUMBE ZINASEMA KUWA BASI LA KAMPUNI YA MURO PRINCESS LILILOKUWA LIKITOKEA NJOMBE KWENDA JIJINI DAR LIMEPATA AJALI ENEO LA MIKUMI MOROGORO NA KUJERUHI WATU KADHAA.
TAARIFA ZAIDI ZITAKUIJIA HIVI PUNDE!!!