Jumatano, 13 Agosti 2014

VERA SIDIKA NA MATITI FEKI

Video  Queen  maarufu  mjini  Nairobi  Kenya  hivi  majuzi  aliwashtua  watu  baada  ya  kupost  picha  ya  matiti  yake  yakiwa  yamekuwa  makubwa  kuliko  yalivyokuwa  mwanzoni  na  akasema  hivi:
"Feels  good  to  be  back.Had  really  missed  Nairobi.Now....ya'll  be  nice  and  say  hello  to  my  new  twins."
Baada  ya  maneno  hayo, Vera  alimalizia  na  hash tag  kibao # fakeboobalert #compleatefakenessloading #nomorepadedbras  na  nyingine  nyingi

ANAYEDAIWA KUMPA MIMBA MBWA KORTINI

Cecilia Hamis (kulia) akiwa na mume wake (mtuhumiwa) Hamis Juma.

LILE sakata la mume aliyetajwa kwa jina la Hamis Juma (pichani akiwa na mkewe), mkazi  wa Majohe Mji Mpya, Ilala jijini Dar kudaiwa na mkewe, Cecilia Hamis kwamba amempa mimba  mbwa yameibuka mapya, limeyanyaka. 

Ijumaa iliyopita, tulifika kwenye ofisi za Taasisi ya Kutetea Haki za Wanyama ambapo mmoja wa maofisa aliyedai si msemaji maalum, alisema wapo katika mchakato wa kufuatilia madai ya mke wa mtuhumiwa huyo kisha kumpandisha mahakamani kujibu mashitaka ya kumdhalilisha mnyama huyo.
“Sisi ishu yetu si kufuatilia kama kweli amempa mimba bali ni kujiridhisha kama kweli yule mzee ametembea na mbwa hilo linatosha kabisa kumfikisha kortini,” alisema afisa huyo na kuomba jina lake lisitajwe.
WAGOMA MBWA KUUAWA
Jingine jipya lililotua linadai kuwa, baadhi ya majirani wa nyumbani kwa Hamis wamegoma mbwa huyo kuuawa baada ya wengine kutaka kufanya hivyo wakisema hali hiyo itaweza kusababisha mdaiwa huyo kufanya matukio mengine nje ya nyumba yake.
MENGINE TENA
Katika hatua nyingine, limebaini kuwa, kumbe mwanaume huyo ana sakata lingine ambapo ana kesi kwenye Mahakama ya Mwanzo Ukonga jijini Dar  akikabiliwa na tuhuma za kumfanyia fujo jirani yake.
Kwa mujibu wa taarifa za kimahakama, ilidaiwa kuwa Hamis alifika nyumbani kwa Alanus Haule ambaye ni jirani yake saa saba usiku wa siku ya tukio akiwa na  silaha za kienyeji na chepe akiwa amelewa na kuanza kumtolea maneno ya vitisho huku akijua ni kosa kisheria chini ya kifungu cha sheria 89 (1) B CAP 16.
Kesi hiyo yenye No 873/2014 ambayo inasikilizwa na Hakimu Mwandamizi, Raia Omary kwa mara ya mwisho ilisikilizwa Julai 3, mwaka huu na kuahirishwa hadi Septemba 11, mwaka huu na yuko nje kwa dhamana.
Habari hii kuhusu Hamis Juma kudaiwa kumpa mimba mbwa, kwa mara ya kwanza ilitoka >>HAPA<< Agosti 5-11, 2014 ambapo kichwa cha habari kilisomeka ‘MUME WANGU KAMPA M Cecilia Hamis (kulia) akiwa na mume wake (mtuhumiwa) Hamis Juma.

LILE sakata la mume aliyetajwa kwa jina la Hamis Juma (pichani akiwa na mkewe), mkazi  wa Majohe Mji Mpya, Ilala jijini Dar kudaiwa na mkewe, Cecilia Hamis kwamba amempa mimba  mbwa yameibuka mapya, limeyanyaka. 
Ijumaa iliyopita, tulifika kwenye ofisi za Taasisi ya Kutetea Haki za Wanyama ambapo mmoja wa maofisa aliyedai si msemaji maalum, alisema wapo katika mchakato wa kufuatilia madai ya mke wa mtuhumiwa huyo kisha kumpandisha mahakamani kujibu mashitaka ya kumdhalilisha mnyama huyo.
“Sisi ishu yetu si kufuatilia kama kweli amempa mimba bali ni kujiridhisha kama kweli yule mzee ametembea na mbwa hilo linatosha kabisa kumfikisha kortini,” alisema afisa huyo na kuomba jina lake lisitajwe.
WAGOMA MBWA KUUAWA
Jingine jipya lililotua linadai kuwa, baadhi ya majirani wa nyumbani kwa Hamis wamegoma mbwa huyo kuuawa baada ya wengine kutaka kufanya hivyo wakisema hali hiyo itaweza kusababisha mdaiwa huyo kufanya matukio mengine nje ya nyumba yake.
MENGINE TENA
Katika hatua nyingine, limebaini kuwa, kumbe mwanaume huyo ana sakata lingine ambapo ana kesi kwenye Mahakama ya Mwanzo Ukonga jijini Dar  akikabiliwa na tuhuma za kumfanyia fujo jirani yake.
Kwa mujibu wa taarifa za kimahakama, ilidaiwa kuwa Hamis alifika nyumbani kwa Alanus Haule ambaye ni jirani yake saa saba usiku wa siku ya tukio akiwa na  silaha za kienyeji na chepe akiwa amelewa na kuanza kumtolea maneno ya vitisho huku akijua ni kosa kisheria chini ya kifungu cha sheria 89 (1) B CAP 16.
Kesi hiyo yenye No 873/2014 ambayo inasikilizwa na Hakimu Mwandamizi, Raia Omary kwa mara ya mwisho ilisikilizwa Julai 3, mwaka huu na kuahirishwa hadi Septemba 11, mwaka huu na yuko nje kwa dhamana.
Habari hii kuhusu Hamis Juma kudaiwa kumpa mimba mbwa, kwa mara ya kwanza ilitoka >>HAPA<< Agosti 5-11, 2014 ambapo kichwa cha habari kilisomeka ‘MUME WANGU KAMPA  IMBA MBWA.’