Jumanne, 13 Mei 2014

HATARI SANA, MREMBO JOKATE YA KAWAPAGAWISHA WANAFUNZI CHUO KIKUU DAR ES SALAAM (UDSM)

MAVAZI YA MREMBO JOKATE YA WADATISHA WANAFUNZI CHUO KIKUU DAR ES SALAAM (UDSM)

 

                Wakatu Mrembo Jokate  akipita katika moja ya maeneo ya chuo kikuu cha Dar es salaam,

wanafunzi wa chuoni hapo walijikuta wakimtolea jicho na kumshangaa kutokana na kivazi cha mitego alichovaa,
huku mwenyewe akionekana kuwa bize na mambo yake akiwa hajui kinachoendelea

ADNAN YUNAZAJ AITWA TIMU YA UBELGIJI ANGALIA KIKOSI KIZIMA HAPA.

ADNAN YUNAZAJ AITWA TIMU YA UBELGIJI INAYOKWENDA BRAZIL KOMBE LA DUNIA, KIKOSI KIZIMA HIKI HAPA

KOCHA wa timu ya taifa ya Ubelgiji, Marc Wilmots ametaja kikosi chake kwa ajili ya kombe la dunia na kumujumuisha kinda wa Manchester United Adnan Junazaj. Ubelgiji imepangwa kundi H na timu za Russia, Algeria na kurea kusini ambao wataanza kampeni zao juni 17 dhidi ya Algeria. Wilmots ametangaza kikosi cha wachezaji 24 na wengine 6 wa ziada kama itatokea majeruhi katika kikosi chake. Mbali na kinda huyo mwenye miaka 19 , Thibaut Courtois, Jan Vertonghen, Vincent Kompany Dries Mertens, Eden Hazard, Marouane Feillaini na Romelu Lukaku, Axel Witsel wamejumuishwa katika kikosi hicho. Ajabu nyingine ni kujumuishwa kwa mshambiliaji wa Lille ya ufaransa mwenye miaka 19, Divock Origi, ambaye amefunga mabao matano katika mechi 29 alizocheza Ligue 1 msimu huu. Kikosi kizima hiki hapa: Walinda Mlango: Thibaut Courtois, Simon Mignolet, Koen Casteels, Silvio Proto Mabeki: Toby Alderweireld, Laurent Ciman, Anthony Vanden Borre, Vincent Kompany, Daniel Van Buyten, Jan Vertonghen, Thomas Vermaelen, Nicolas Lombaerts Viungo: Axel Witsel, Steven Defour, Marouane Fellaini, Mousa Dembele, Nacer Chadli, Kevin De Bruyne Washambuliaji: Eden Hazard, Romelu Lukaku, Divock Origi, Dries Mertens, Kevin Mirallas, Adnan Januzaj Wachezaji wa akiba: Sebastien Pocognoli, Jelle Van Damme, Thorgan Hazard, Radja Nainggolan, Michy Batshuayi, Guillaume Gillet

Thiago Alcantara ndani kikosi cha Hispania Isco katemwa.

ISCO ATEMWA KIKOSI CHA AWALI CHA HISPANIA KOMBE LA DUNIA, 

 
KOCHA wa timu ya taifa ya Hispania na mabingwa watetezi wa kombe la dunia, Vicente del Bosque ametanagaza kikosi cha awali cha wachezaji 30 kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil, lakini amewaacha hoi wengi baada ya kuwaacha nyota wa Real Madrid Alvaro Arbeloa na Isco . Isco alihangaika kurudisha kiwango chake Real Madrid, lakini haijamsaidia, wakati kwa Arbeloa nafasi yake imechukuliwa na Dani Carvajal. Wakati huo huo, Iker Casillas licha ya kucheza mechi chake akiwa na Real Madrid ametajwa katika kikosi hicho. Pia Thiago Alcantara na Fernando Llorente wote wamejumuishwa. Maajabu mengine ni kujumuishwa kwa Alberto Moreno, Ander Iturraspe na Koke. Del Bosque will announce his final squad on May 25. Spain meet Netherlands, Chile and Australia in Group B at the World Cup. KIKOSI KIZIMA: Walinda mlango: Iker Casillas (Real Madrid), Pepe Reina (Napoli), David de Gea (Manchester United) Mabeki: Dani Carvajal, Sergio Ramos (Real Madrid), Juanfran (Atletico Madrid), Raul Albiol (Napoli), Javi Martinez (Bayern Munich), Alberto Moreno (Sevilla), Jordi Alba, Gerard Pique (Barcelona), Cesar Azpilicueta (Chelsea) Viungo: Andres Iniesta, Cesc Fabregas, Sergio Busquets, Xavi (Barcelona), Santi Cazorla (Arsenal), Juan Mata (Manchester United), David Silva (Manchester City), Thiago Alcantara (Bayern Munich), Ander Iturraspe (Athletic Bilbao), Koke (Atletico Madrid), Xabi Alonso (Real Madrid) Washambuliaji: Diego Costa, David Villa (Atletico Madrid), Alvaro Negredo, Jesus Navas (Manchester City), Fernando Torres (Chelsea), Fernando Llorente (Juventus), Pedro (Barcelona)

DAVIDO NAE KAMA Chris Brown na Justin Bieber

DAVIDO AIINGIA MATATANI KWA HIKI KITENDO ALICHOKIFANYA


davidoAnaitwa Davido Adeleke lakini kwenye muziki tunamjua kama Davido na yeye anajitambulisha na a.k.a yake maarufu Omo Baba Olowo (O.B.O).

Labda tatizo linalomkuta Davido ndilo lile lile kama kwa Chris Brown na Justin Bieber, kuwa na pesa nyingi na umaarufu akiwa na umri mdogo.

 Akiwa kwenye harakati zake za kwenda kwenye show uingereza Davido alifika airport na passport yake ya Marekani.Maafisa wakamwambia alete passport ya Nigeria kwasababu passport hiyo ya Marekani haikuwa na karatasi za visa ya kuingia Nigeria kwa hiyo utaratibu haujafuatwa.
 dsdd
 Davido alisisitiza kwamba anayo passport ya Nigeria lakini ameiacha nyumbani. Hakuruhusiwa kusafiri hadi hiyo passport ya Nigeria ilivyoletwa na akaruhusiwa kusafiri. Baada ya hapo ali-tweet akiwatusi maafisa wa hapo airport kwa kile kilichotokea.
 
daviOfisi ya maafisa wa uhamiaji wamesema tabia kama hiyo ya bwana Davido Adeleke sio sawa kabisa kwasababu afisa huyo alifata utaratibu wa kazi ambao umesaidia Davido. 

Huko mbele ya safari angeweza kurudishwa au kuaibika zaidi kwani kwenye airport nyingine ambapo utaratibu unafatwa kwa hali ya juu wasingemruhusu kuendelea na safari.

ANGALIA PICHA NA MADHARA YA MAKALIO YA KICHINA

MNAOPENDA MAKALIO YA MCHINA HAYA, PAKA UBABUKE MAKALIO UWE KAMA KIAZI CHA KUCHOMA...ONENI MWENZENU HUYU

 

Wameshauliwa sana, wameimbiwa saaaana lakini wenye masikio ya kufa ambayo hayasikii dawa wanaendelea kupaka.


 Wadada jaman kama mungu kakuumba na vitako vidogo kama skonzi au ngumi za mtoto vumilia tu. 


Hivi huoni aibu hata kidogo, leo unavitako vidogo kama vibumunda vya bakhresa kufumba na kufumbua una makalio kama umejazwa upepo.


 Huogopi hata watu watakustukia. Haya sasa kama unapenda hilo, jua na madhara yake pia...mwenzenu amebakisha makalio yaliyoumuka na kuvimba kama viazi vya kuchoma. 


SI UNAUTAKA UZURI WA MATAKO, PAKA TUKUONE KAMA HAUTAKUWA NA MAKALIO YALIYOPISHANA SIZE.....NIMEMALIZA

WAKUBWA TU 18+: YULE MDADA ALIEANIKA PICHA ZA UCHI KUWATEGA WANAUME SASA HUYU HAPA LIVE



WAKUBWA TU.... TIZAMA PICHA ZAKE HAPA AKIJIANIKA UCHII 

>>>PICHA YA KWANZA<<<

>>>PICHA YA PILI<<<

>>>PICHA YA TATU<<<