Jumatatu, 12 Mei 2014

FANYA MAMBO YAFUATAYO ILI UMRIDHISHE MPENZI WAKO;




Hapa nilipo niko nje ya bongo safari flani hv ya kizushi, na safari hiyo niko huku tangu mei mosi, saa bana ile nimefika tuu hotelini si mnajua mambo yetu yale, daaah nikanasa tundu bovu. Sass ile kufika ground play looh!!! Kila mtu kavaa jezi za game heee kumbe mwenzangu yeye mkulima wa bamia bana daah!! Nikataka kitoka nje ya ground play na kujisemea bora kukutana na mkulima wa mihogo kuliko bamia. Ila nataka kunyanyu mguu nitoke ulingoni si akanikamata bega, akaniwekea ulingoni bamia ya chukuchuku akachanganya na nyanya chungu, japo nyanya chungu ni chungu ila ziliongeza utamu kwenye bamia. Sasa basi sijakaa sawa akaniwwkea bamia la rosti lililochanganywa na bilinganya viazi ulaya pilipili hoho vitunguu maji na saumu karoti daaah wakati nakula poshi hilo la tatu nikamuuliza umeoa? Upishi huu wa bamia umeutoa wapi? Alinijibu kwa poshi la nne ambapo aliweka kunde bamia la kukatakata slices akachanganya na maharage mabichi na akaunga na karanga nilipomaliza kula pishi la nne sikuongea zaidi ya kulala kwa kuvimbiwa.
Jamani nawaasa msipendw kuhukumu kitu kwa kukiangalia kwa nje tuu angalia utendaji maana mie hapa tangu mei mosi nakula bamia kila siku na wala halinikinai. Play ground swadakta!!!!


KWELI MZIKI UNALIPA TAZAMA P-SQUARE WAFANYA KUFURU:

HII SASA NI KUFURU!!! P-SQUARE WAWEKA SOFA {SAMANI} ZA DHAHABU NDANI YA NYUMBA YAO MPYA....





Hakuna ubishi kuwa, kwa hiki walichokifanya sasa, na kama macho yetu hayatudanganyi kwa hiki yanayokiona, mapacha hawa wamefanya kufuru. Kama hii inayoonekana ni dhahabu kweli, basi P-Square, hela wanayo.
7493d06843dc11e3a21b22000ae913ab_8 
3799cde443d611e3be7422000a9e0172_8
Peter ameshare picha hizi nne ambazo wiki hii zitakuwa gumzo barani Afrika ambapo kwenye picha moja inayomuonesha pacha mwezie Paul akiwa amesimama kwenye sebule mpya inayoaminika kuwa ya nyumba yao mpya, ameandika ‘Goldenworld #blessed.’
8300d71043da11e399e522000a9e28c4_8
Kwenye picha nyingine, wanaoonekana wakiwa pamoja kwenye sebule hiyo iliyotawaliwa na kile kinachoonekana kama dhahabu zilizozunguka sofa za kuvutia na Peter ameandika: #2kings…… Work hard,play harder.’
4eb1c8da43d911e3bc6522000ae91414_8 
Picha nyingine inamuonesha Peter akiwa peke yake kwenye meza ya chakula, kubwa, iliyojaa vyombo vya thamani vya kuvutia na ameandika: A king in my own world…. #Blessed.”

ANGALIA HAPA MAKEKE YA LULU.

Mtoto kaanza makeke yake LULU

Baada ya kutoka jela msanii wa maigizo Elizabeth Michael.

RIO FERDINAND `BAI BAI` MANCHESTER UNITED,

RIO FERDINAND `BAI BAI` MANCHESTER UNITED, ANYIMWA MKATABA MPYA


Moving on: Rio Ferdinand will leave Manchester United on a free transfer after the club decided not to renew his contract
 MAISHA ya Rio Ferdinand katika klabu ya  Manchester United yamefikia kikomo baada ya mkongwe huyo kupewa taarifa kuwa hataongezewa mkataba.
Inafahamika kuwa mkurugenzi mkuu wa Old Trafford, Ed Woodward alimwaga mchele kwa Ferdinand mwenye miaka 35 kwenye chumba cha kubadilishia nguo siku ya jumapili katika mchezo wa sare 1-1 dhidi ya Southampton.
Watu wengi walikuwepo katika chumba hicho na kushangazwa na taarifa ya Woodward ambaye aliweka mamboo hadharani kuwa miaka 12 ya Ferdinand inatosha kabisa na ataondoka majira ya kiangazi mwaka huu.
Beki huyo wa zamani wa England aliwaambiwa wachezaji wenzake kuwa sare ya 1-1 katika dimba la  St Mary ndio mchezo wake wa mwisho na aliomba kusaini mpira ili kuacha kumbukumbu yake.
Final bow: United's 1-1 draw with Southampton will be Ferdinand's last game for the Old Trafford club
 Rio Ferdinand ataondoka Manchester United kama mchezaji huru baada ya klabu yake kusema haitamuongezea mkataba

JUA DIAMOND ANALIPWA SHILINGI NGAPI KWENYE TOUR ZAKE NJE YA NCHI.

HII NDIO JEURI YA DIAMOND AKIWA KAZINI, JUA MTONYO ANAOBEBA NA SPEND YAKE AKIWA TOUR ZA NJE.

Waandaaji wa show nyingi wametokea kumlinganisha sana umaarufu wa Diamond na Davido bila kupata jibu kamili, na kama unadhani ni wasanii wa nje tu ndio wenye mahitaji makubwa katika kufanya show zao, kama ulikuwa hujui basi hii, ukijua unaweza ukae chini na uanze kufikiria upya mtazamo wako, na hii ndio sababu Diamond Platnumz atazidi kuwa si msanii tu wa kawaida bali ni moja kati ya wasanii wengi wa kimataifa.

12664_621974061157745_1042520019_n Mtonyo mpya anaochota Diamond katika show umetokea kuwapa shida waandaaji wa show,
Imeripotiwa wandaaji wengi wa nchi za nje wa matamasha, wadai kuwa, ingawa Davido ni msanii mkubwa sana kulingana na Diamond, ila mahitaji ya Diamond hadi kumpandisha kupiga show moja ni ya kutisha unaweza sema ni kama unamleta Jay-z.

Unaambiwa Davido yeye huwa unamwachia anachiw mtonyo wa shilingi 85 tu,ila kaa utulie usikilize mahitaji haya ya Diamond:
10326618_492301214231113_1344209867_nKwanza bila kumtonyesha kuanzia milioni 45 kwenda juu, utaishia kuongea naye kwenye simu tu, bila hata ya kuona sura yake, achana na hiyo basi kwanza kama umeshatenga hilo fungu na kufanikisha kumuita kupiga ku-sign contract yake, inabidi umsafirishe kwa private jet au first class plane, akishatua uwe umeshandaa presidential suit katika hoteli yeyote yenye hadhi ya nyota tano, kama ni Bongo ni Serena hotel pale kiroho safi, wakati huohuo uwe umashatenga vyumba maalumu vikubwa kwa ajili ya Dancers wake, vitu vingine ni watu kuwahudumia watu sita anaotembea naye, microphone ya pekee na vyakula atavyohitaji yeye, viwe teyari umeshaweka order vitengenezwe, kama anavyotaka yeye. Kama ulikuwa unamchukulia Dangote easy, jipange!.
1diamond


HATARI SANA, Mambo ya kanga moko haya









NDEMBENDEMBE HUUU!!1 KWA MTINDO HUU UNAWEZA UKIIBIWA MUME HIVI HIVI.

KIMENUKA SASA; MASTAA WALIODHARIRISHWA NA MPOKI SIKU YA KUGAWA TUZO ZA KILI


KIMENUKA! Komediani aliyebahatika kuwa maarufu Bongo, Mujuni Silvery 'Mpoki' yuko njiani kupandishwa kizimbani kufuatia mastaa waliodai aliwadhalilisha usiku wa Tuzo za Kili kucharuka na kwenda kwa mwanasheria wao.

Mujuni Silvery 'Mpoki'.
Kwa mujibu wa chanzo makini, mastaa wanaodaiwa kutinga kwa mwanasheria na kuandikisha maelezo ni hawa wafuatao: Mkurugenzi wa Aset Club inayomiliki Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka, mtangazaji wa runinga, Maimartha Jesse, Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda na staa wa filamu za Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’.
Aisha Mashauzi.
Wengine ni Mbongo Fleva na mtangazaji, Vanessa Mdee, Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Aisha Ramadhani ‘Mashauzi’, Maria Sarungi na DJ Bonny Love.
WADAI KUDHALILISHWA BILA KUPEWA NAFASI
Chanzo kilisema kwamba siku ya Tuzo za Kili, Mpoki akiwa MC wa shughuli hiyo, aliwadhalilisha kwa kutangaza ndani ya hadhara iliyohudhuria kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar, mambo ambayo wenyewe hawakupata nafasi ya kujitetea (balansi).
Asha Baraka.
“Kule kwa mwanasheria wao, wote walidai kuwa, siku ile Mlimani City, Mpoki alikuwa akitangaza mambo yao, mengine ya siri, mengine si ya kweli, mengine ya udhalilishaji bila wao kupewa nafasi ya kujitetea kama mnavyofanya magazetini.
“Wenyewe wanajua Mpoki hakutumwa na Kili kusema maneno yale bali aliamua yeye kama yeye tu. Ndiyo maana wameamua kushughulika na Mpoki na si mwingine,” kilisema chanzo hicho.
Maimartha wa Jesse.
MADAI YAO YA MSINGI
Chanzo kiliendelea kutiririka kwamba madai ya msingi ya mastaa hao  kisheria ni kudhalilishwa, kuzushiwa na kuchafuliwa mbele za watu, jambo ambalo liliwapa usumbufu mbele za jamaa zao, wakiwemo watoto na ndugu wengine waliokuwa wakifuatilia sherehe za utoaji wa tuzo hizo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki.
KASHFA ZENYEWE KWA UFUPI
MAI; aliambiwa amezipiga jeki nido ilhali ana mtoto.
ASHA; aliambiwa kwa usiku huo alipendeza sana (make up) lakini akionekana kesho yake anaweza kupewa shikamoo kwa mabadiliko ya mwonekano.
RAY; aliambiwa siku hizi amebadilika rangi, si kama zamani. Pia Mpoki alimwambia amesikia ameachana na Johari na yuko na Chuchu Hans.
Wema.
KADINDA; alimwambia anamuona anakwenda kumpa tuzo shemeji yake (Diamond)...
WEMA; alimuuliza ni kwa nini kila siku kwenye Instagram anatupia picha akiwa anakula mayai tu, anataka watu wamwelewe vipi!
VANESSA; alimwambia afanye mazoezi ya kutembela viatu vyenye visigino (na mengine ambayo si vyema kuyaandika hapa).
LAWASAKA  
Baada ya madai hayo,tuliwasaka mastaa hao mmojammoja ili kusikia ukweli wa madai hayo.
Ijumaa Wikienda lilianza kwa kumsaka Kadinda juzi ambapo simu yake haikuwa ikipatikana hewani kama alivyozoeleka.
Kwa upande wake Ray alikiri kuwepo kwa uwezekano wa kumshitaki kwa kuwa ni kweli alimdhalilisha mbele ya kadamnasi.
Naye Mai alipotafutwa aliwaka akidai kuwa alichokifanya Mpoki hakikuwa sahihi kisheria hivyo jambo hilo lipo.
Ray Kigosi.
Kwa upande wake, Isha Mashauzi alisema kuwa labda wenzake wameamua kumshtaki Mpoki lakini hawakuwa wamemjulisha. Mastaa wengine ambao simu zao ziliita bila kupokelewa ni Asha Baraka, Vanessa, Wema na DJ Bonny Love.
MSIKIE MPOKI
Mpoki alipopigiwa simu na kuelezwa kuhusu malalamiko ya mastaa hao, katika hali ya kushangaza alisema hakumbuki nini kilitokea siku hiyo.
“Kusema ule ukweli mimi sikumbuki chochote kile kilichotokea siku ile, we  nitajie majina ya hao watu niwapigie halafu baadaye ndiyo tutaongea,” alisema Mpoki akiweka sharti hilo wakati yeye ndiye aliyekuwa akiwananga jukwaani.
Martin Kadinda.
ATUMA MESEJI YA HASARA!
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Mpoki baada ya kupigiwa simu saa saba alasiri na kujibu hivyo, usiku wa saa mbili alituma meseji kwa mwandishi iliyosomeka:
“Hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia? Sijui lini mtafika kikomo cha kuwa watumwa wa ujinga… Nisichokijua hakiwezi kunisumbua...”
AKIKUTWA NA HATIA KISHERIA
Kwa mujibu wa mwanasheria mmoja (jina tunalo) aliyezungumza nasi, endapo Mpoki akipanda mahakamani na kukutwa na hatia, anaweza kufungwa kifungo cha miaka 5 jela au faini kulingana na uzito wa udhalilishaji huo kwa mujibu wa walalamikaji.

Naomi Campbell...AKAA UCHI LIVE.!

Naomi Campbell...AKAA UCHI LIVE.! UCHI: Kutovaa nguo za ndani za muumbua


 
Mwanamitindo  wa  kimataifa  wa  Marekani, Naomi  Campbell  mwishoni  mwa  wiki  jana  alikumbwa  na  tukio  la  aibu  baada  ya tatizo  lake  la  kusahau  kuvaa  chupi  kumsababishia  tatizo  kubwa  wakati  akishuka  kwenye  gari  lake  na  kukumbana  na  camera  za  wapiga  picha  za  kidaku....!


Kutokana  na  kutovaa  nguo  hiyo  ya  ndani, Naomi  wakati  akishuka  kwenye  gari  lake  hilo    alijikuta  nguo  zake  zikifunuka  na  kuacha  wazi  kabisa  nyeti  zake, na  wapiga  picha  hao  wakafanikiwa  kumpiga  picha  kadhaa  ambazo  zimesambaa  mtandaoni....
Wengi  wa  walioziona  picha  hizo  wameibua  mjadala  mtandaoni  kwa  kumtuhumu  mwanamitindo  huyo  kwa  kutojitunza  kwenye  nyeti  zake.