Jumatano, 7 Mei 2014

Joseph Haule aka Profesa J na Jose Chameleone ni marafiki wa siku nyingi. Chameleone aliwahi kutumia beat ya wimbo wake ‘Nikusaidieje’ kurekodi wimbo aliomshrikisha mdogo wake Weasel, Bomboclat. Na sasa Jose hao wawili wamekutana kufanya wimbo wa pamoja.


Mabruki
Proffesor Jay,Jose Chameleon ,Lamar na Villy wakiwa studio
Kupitia Instagra, Profesa Jay ameandika: Ndani ya Mwanalizombe Studio usiku sana,Professor Jay Josechameleon @lamarfishcrab @producer villy,Shidaa mpya inakuja!!! STAY TUNED, Dar East African HEAVY WEIGHTS, Stay Tuned,mpaka waombe poooh !!!!”
Proffesor Jay akiwa na Jose Chameleon katika hotel ya Southern Sun Dar Es Salaam
Profesa J na Jose Chameleone katika Hotel ya Southern Sun jijini Dar es Salaam hivi karibuni
Chameleone alikuwa nchini kuhudhuria tuzo za Kili ambapo alishinda tuzo ya wimbo bora wa Afrika Mashariki

0 comments:

Chapisha Maoni