Jumatano, 7 Mei 2014

UZINZI:Vai wa Ukweli ameshindikana.....Afumwa akifanya mambo ya aibu mbele ya wanaume, Hii ni mara ya sita kushiriki matendo ya uzinzi



Ukiwa  umepita  mwezi  mmoja  tangu msanii  wa  Tasnia  ya  Filamu  anayejulikana  kwa  jina  la  Isabella  Francis  'Vai  wa  Ukweli'  kuripotiwa  kujiuza, sasa  msanii  huyo  amekumbwa  na  kashfa  nyingine  ya  kupiga  picha  za  uchi  zikimuonesha  akivua  nguo  mbele  ya  wanaume....



Akiongea  na  mpekuzi  wetu, mtu  mmoja  aliyejitambulisha  kwa  jina  la  Bonny  alisema  picha  hizo  zimetawala  kwenye  mitandao  ya  kijamii  hali  inayozidi  kumuweka  pabaya  msanii  huyo  katika  ushiriki  wa  kazi  za  klabu  ya  Bongo  Movie  Unity  yenye  uongozi  mpya  ambayo  imekemea  vitendo  visivyoendana  na  maadili  ya  kitanzania....

Bonny  alisema  picha  hizo  aliuziwa  na  jamaa  mmoja  kwa  kurushiwa  kwenye  simu  kwani  yeye  amekuwa  na  utaratibu  wa  kukusanya  picha  za  mastaa  waliokuwa  katika  pozi  na  kuzihifadhi  kwenye  simu  yake....

"Lakini  kinachoniuma  ni  kwamba  huyu  binti  namjua  tangu  akiwa  mdogo  na  amewahi  kuwa  mshikaji  wangu,nimewahi  kumshauri  aachane  na  huo  ujinga  wa  kupiga  picha  zisizo  na  maadili  lakini  amekuwa  hanisikii,safari  hii  nimezifuma  picha  hizi  alizopiga  akiwavulia  nguo  wanaume  kibao  waliokuwa  wakimtazama  bila  aibu" Alisema  Bonny

Aliendelea  kusema  picha  hizo  mbali  ya  kuonyesha  sehemu  zake  muhimu  lakini  zinakiuka  heshima  ya  mwanamke  ambapo  anatakiwa  kujihifadhi  sehemu  nyeti  ambazo  zinastahili  kuonwa  na  mtu  wake  wa  karibu  tu..
 
Kufuatia  kukithiri  kwa  vitendo  vya  kikahaba  katika  kundi  la  Bongo  Movie  Unity, uongozi  mpya  uliochini  ya  Steve  Nyerere  umetoa  tahadhari  kwa  wanachama  wake  watakaoshiriki  mambo  yaliyokinyume  na  maadili....

0 comments:

Chapisha Maoni