Jumamosi, 26 Aprili 2014

Jeshi la wananchi wa Tanzania ( JWTZ ) likionesha ujuzi wake na baadhi ya silaha za kivita wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano

 
 

Picha: Jeshi la wananchi wa Tanzania ( JWTZ ) likionesha ujuzi wake na baadhi ya silaha za kivita wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano

Makombora ya kutungulia ndege za adui  yakionyeshwa kwa wananchi.
Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.
Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kuonyesha uwezo wake katika mapambano ya Karatee na  mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete
Makomandoo hawa wakionyesha uwezo mkubwa wa mapambano na adui
 Silaha za kivita
 Hiki  ni  kifaru
Kifaru cha kivita kikipita mbele ya wanahabari na wananchi waliohudhuria katika maadhimisho hayo
Wananchi wakishuhudia vifaru vikipita wakati wa maadhimisho hayo
 Makombora mazito ya kivita yakipita
 Askari wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa Uhuru baada ya  kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000 angani
 Askari wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa Uhuru baada ya  kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000 angani.
 Wakienda kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Kikwete
 Rais Jakaya Kikwete akiwapongeza askari hao wa miamvuli mara baada ya kutua kwenye uwanja wa Uhuru
 Baadhi ya silaha zakijeshi zikipitishwa mbele ya umati kuonyesha uwezo mkubwa wa jeshi letu
Ndege za kivita zikilinda Ndege ya Rais katika maonyesho ya Ndege yaliofanyika kwenye Kilele cha  Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano
 Askari   kwa kikosi  cha  komandoo  wakiingia  uwanjani  kwa  ajiri  ya heshima  kwa amiri jeshi mkuu huku  wakiwa  wameshikilia bunduki za AK47
Komandoo  kutoka  kikosi  cha Sangasanga  wakiingia  kwa  mbwembe   kumuonyesha Amiri  Jeshi  Mkuu jinsi  wanavyojilinda  wakati  wakiwa  wamevamiwa, kikosi  ambacho kimeonesha  buruduni  ya  hali  ya  juu
Makomandoo wakionyesha namna ya kupambana bila kutumia nyenzo hapa wakivunja matofali kwa kutumia kichwa na mikono.

0 comments:

Chapisha Maoni