Jumapili, 11 Mei 2014

LALLANA KUCHEZA UEFA MSIMU UJAO NA LIVERPOOL

LALLANA KUSHEREKEA KUITWA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND KWA KUSAINI MKATABA LIVERPOOL

On the move: Adam Lallana is hoping to seal a £20m move to Liverpool as early as next week

Southampton  wanaamini bei waliyotaja ni haki kwasababu mchezaji huyo amekulia katika akademi yao na wanatamani kukamilisha dili hilo kabla ya mchezaji huyo kujiunga na kikosi cha Hodgson kitakachoweka kambi nchini Ureno kuanzia mei 19.

Hodgson kesho jumatatu atataja kikosi chake cha wachezaji  23 na wengine 7 wa ziada kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil na Lallana ni miongi mwa viungo watakaojumuishwa.

Man with the plan: Brendan Rodgers (right) is preparing to launch a spending spree this summer
In: Lallana looks a certainty for Roy Hodgson's 2014 World Cup squad which is selected on Monday
Kutokana na idadi nzuri ya magoli ya kufunga na kufungwa, , Kikosi cha Manuel Pellegrini kinahitaji pointi moja tu leo ili kutwaa ubingwa wa pili ndani ya misimu mitatu.

Liverpool wanawaombea Man City wapoteze mechi na wao washinde iki kuweza kuchukua ubingwa.

Kumsajili Lallana ni moja ya utekelezaji wa mpango wa kuimarisha kikosi cha Liverpool kuelekea msimu ujao wa ligi kuu na michuano ya UEFA.

 Mmiliki wa Liverpool, John W Henry amemuahidi paundi milioni 60, Brendan Rodgers kwa ajili ya usajili jumlisha pesa atakazopata katika mauzo ya wachezaji.

0 comments:

Chapisha Maoni