Jumanne, 3 Juni 2014

VIFO VYA WASANII VINAVYOENDELEA NCHINI:vitaendelea mpaka mwakani mwezi Aprili......soma habari kidokezo hapa



Maalim Hassan Hussein
MTOTO wa aliyekuwa mtabiri bingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein, Maalim Hassan Hussein leo kafunguka kuhusu vifo vya wasanii vinavyoendelea nchini. Maalim Hassan amesema vifo hivyo vitaendelea mpaka mwakani mwezi Aprili.

0 comments:

Chapisha Maoni