Jumatatu, 4 Agosti 2014

Hii kweli noma Weusi kusemekana wamecopy wimbo?



weKupitia You heard ya August 04,Weusi wamesemekana kucopy wimbo na kuurudia kuanzia namna wanavyorap mpaka beat iliyotumika kwenye wimbo huo,Joh Makini kaongea na kapatikana pia producer wa wimbo huo NahReel nae kazungumza.
88.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tabora.
Bonyeza play kusikiliza.

0 comments:

Chapisha Maoni