Jumatatu, 4 Agosti 2014

Rick Ross ‘Rozay’ na nyingine kali tena – What A Shame




rozay
Hivi sasa watu wanapunguza kumtania Rick Ross kwenye internet kuhusu unene kutokana na kufanikiwa kupunguza mwili wake kidogo.
Story mpya kutoka kwa Rozay ni video mpya ya wimbo wa ‘What A Shame’ aliofanya na Meek Mill & French Montana.

0 comments:

Chapisha Maoni