Ijumaa, 6 Juni 2014

WAKATI ANASUBIRI TUZO ZA MTV, DIAMOND AMEWEKA REKODI NYINGINE TWITTER, SOMA HAPA

Diamond Platinumz ambaye yuko Durban Afrika Kusini akijiandaa na tuzo MTV,

ameongeza sababu nyingine ya kutabasamu baada ya akaunti yake ya Twitter kuwa Verified. Mkali huyo mwenye Followers Zaidi ya 34, 000 ametambuliwa na Twitter kuwa mmiliki pekee/halali wa akaunti yake.
“Thank you Twitter.” Diamond ameandika.

0 comments:

Chapisha Maoni