Alhamisi, 14 Agosti 2014

KWELI SHULE HAINA MWISHO SOMA HII,RECHO NAYE ATAMANI KURUDI SHULE.


Msanii  wa  muziki  wa  kizazi  kipya  Recho  amesema  kuwa  pamoja  na  umaarufu  wake  anahitaji  sana  kurudi  shule  ili  aweze  kuongeza  uwezo  wake  wa  kuimba...
Akizungumza na paparazi Recho  alisema  kuwa anaamini  baada  ya  kutimiza  ndoto  yake  ya  kurudi  shule  mambo  yake  mengi  yatakuwa  mazuri  kwani  hata  muziki  wake  utazidi  kufika  kimataifa  ikiwa  ni  pamja  na  kuimba  nyimbo  ambazo  zinaweza  kuinua  uchumi  wa  taifa.....
"Shule  lazima  nirudi  kwani  kule  ndo  kwenye  mipango  na  maisha  mazuri, naelewa  bila  shule  mabo  mengi  tunakuwa  tunafanya  lakini  tunakosea, mashabiki  wangu  ambao  wanatamani  kuniona  nikirudi  shule  wanaamini  kuwa ntafanya  hivyo  kwa  ajili  ya  kuongeza  uwezo  wa  kazi  yangu,"  alisema  Recho

0 comments:

Chapisha Maoni