Beki wa kulia wa PSG Serge Aurier amehukumiwa kutumikia kifungo cha miezi miwili baada ya kutuhumiwa kumshambulia ofisa wa polisi jijini Paris.Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ivory Coast ,23, ametuhumiwa kwa kitendo cha kumpiga kiwiko kifuani ofisa huyo wa polisi baada ya kuwambiwa kuchukuliwa kipimo cha breath test mwezi May mwaka huu.Aurier kwa upande wake amesema alifanya hvyo baada ya kufanyiwa kitendo kisicho cha kiungwa na na polisi huyo huku...