
Hii Ndiyo Kauli Ya Kwanza Kabisa Ya Diamond Katika Mitandao Ya Kijamii..!!
Hakika
ilikuwa ni kazi ngumu sana lakini kwa uwezo wa mwenyez mungu
ametufanyia wepesi na hatimaye kufanikisha... Nawashkuru sanasana
Mashabiki zangu wote kwakuwa nyie ndio mlionipa tuzo hizi kupitia kura zenu...
Family, uongozi wangu.. bila kuvisahau vyombo vyote vya habari vilivyo
fanya kazi zangu zisikike kila kona... Niwashkuru pia wasanii wenzangu,
kwakuwa...