Jumapili, 17 Agosti 2014

JIWE LAPOROMOKA JIJINI MWANZA NA KUUA WATU WANNE.....LAPONDA NYUMBA 2 USIKU WA MANANE... LAFUNIKA MUME, MKE, MTOTO APONEA CHUPUCHUPU

Vilio na simanzi jana vilitawala kwa wakazi wa maeneo ya Sinai-Mabatini, baada ya vifo vya watu wanne wa familia mbili tofauti, vilivyotokana na mvua iliyosababisha miamba mikubwa ya mawe kuporomoka na kuponda nyumba zao usiku wa manane.  Tukio hilo la kusikitisha limeripotiwa kutokea saa nane usiku kuamkia jana, wakati mvua   iliyoambatana na upepo wa wastani ilipokuwa ikiendelea kunyesha, na kusababisha miamba hiyo mikubwa inayokadiriwa...

WATU WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI ILIYOBEBA MAITI 10.

 Watu wawili wamefariki dunia papo hapo baada ya gari aina ya Land Cruser ilikuwa imebeba maiti 10 zikitokea hosiptali ya taifa Muhimbili kwenda hospitali ya St Francis Ifakara kugonga wapanda pikipiki katika eneo la Mtego wa simba Mikese mkoani Morogoro Maiti zilizokuwa zinapelekwa hospitli ya St Fancis Ifakar kwa lengo la kufanya utafiti  Gari lililosababisha ajali toyota Land Cruser   Mwili...

IRENE UWOYA: HAKUNA VAZI NISILOPENDA KULIVAA KAMA CHUPI

  Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani ya VIBE.   Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake,  “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya. ...

MISHAHARA YAPANDISHWA ..NA HII NDO MISHAHARA MIPYA KUANZIA JULAI 2014

TGOS A TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A 9.(Sh284,800), TGOS A 10(Sh290,400), TGOS A 11(Sh296,000), TGOS A 12(Sh301,600), TGOS A 13(Sh 307,200), TGOS A 14(Sh312,800), TGOS A 15(Sh 318,400), TGOS A 16(Sh324,000), TGOS A 17(Sh329,600) na TGOS A 18(Sh335,200). TGOS B TGOS B...