Jumanne, 27 Septemba 2016

Serge Aurier wa PSG amefungwa jela miezi miwili kwa kumpiga askari

Beki wa kulia wa PSG Serge Aurier amehukumiwa kutumikia kifungo cha miezi miwili baada ya kutuhumiwa kumshambulia ofisa wa polisi jijini Paris.Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ivory Coast ,23, ametuhumiwa kwa kitendo cha kumpiga kiwiko kifuani ofisa huyo wa polisi baada ya kuwambiwa kuchukuliwa kipimo cha breath test mwezi May mwaka huu.Aurier kwa upande wake amesema alifanya hvyo baada ya kufanyiwa kitendo kisicho cha kiungwa na na polisi huyo huku...

Granit ameandika ujumbe huu juu ya kaka yake

#UCL- FC Basel vs Arsenal, Granit ameandika ujumbe huu juu ya kaka yake Arsenal watakuwa wenyeji wa FC Basel kesho katika mchezo wa Kundi A wa Ligi ya Mabingwa Ulaya utakaofanyika kunako Uwanja wa Emirates. Mchezo huu utakuwa na msisimko wa aina yake kutokana rekodi nzuri ya FC Basel dhidi ya timu za England, vile vile morali ya Arsenal baada ya kuwa na mwenendo mzuri kwenye michezo ya EPL hasa baada ya kuwanyuka mahasimu wao Chelsea mabao...

KWELI??? TANZANIA YATAJWA KWENYE NCHI 10 ZISIZO NA FURAHA DUNIANI????

Denmark imechukua nafasi ya Switzerland kama nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mujibu wa ripoti iliyotoka Jumatano hii. Ripoti hiyo imeandaliwa na ‘Sustainable Development Solutions Network and the Earth Institute’ katika chuo kikuu cha Columbia. Ilionesha kuwa Syria, Afghanistan na nchi zingine 8 zilizopo chini ya jangwa la Sahara ndizo sehemu zisizo na furaha zaidi. Nchi hizo ni pamoja na Madagascar, Tanzania, Liberia, Guinea, Rwanda, Benin,...