Ijumaa, 23 Mei 2014

INASEMEKANA MPENZI WA NEY WA MITEGO ANATAKA KUGAWANA VITU NA NEY,SABABU IPO HAPA.

 Miongoni mwa mabalozi wapya kutoka mtandao wa Airtel ni pamoja na Ney wa mitego,stori ambayo imemfikia Soudy Brown ni kwamba mpenzi wake ametaka kugawana vitu na Ney wa Mitego ambavyo amevipata wakiwa pamoja,maongezi ya Ney wa Mitego alipoulizwa na Soudy Brown juu ya tuhuma hizi kama ni za kweli hiki ndicho alichojibu.  Bonyeza play kumsikiliza Ney hapa....

Kuhusu Samuel Eto’o, Lampard, Cole na Mtanzania Nditi kuachwa na Chelsea

May 23 2014 inaingia kwenye historia hata kwa Watanzania wenyewe manake kuona mkali wetu ameachwa kwenye kikosi cha Chelsea msimu ujao sio habari njema. Kwa mujibu wa tovuti ya Premier League, Frank Lampard Ashley Cole na Samuel Eto’o inasemekana wameachwa kwa sababu mikataba yao na Chelsea imemalizika ambapo pia mtanzania Adam Nditi nae ameingia kwenye list ya wachezaji walioachwa na club hiyo. ...

PATRICE EVRA AONGEZA MKATABA WA MWAKA MMOJA MANCHESTER UNITED

BEKI mfaransa, Patrice Evra ameongeza mkataba wa mwaka mmoja  Manchester United , klabu imethibitisha. Evra alitazamiwa kuondoka baada ya United kuweka ofa ya paundi milioni 27 kwa beki wa kushoto wa Southampton , Luke Shaw. Lakini beki huyo ameamua kubakia kwa mwaka mmoja katika ubosi wa kocha mpya Louis van Gall. Anabaki: Patrice Evra ameongeza mkataba wa mwaka mmoja  Manchester United. Mapema wiki hii, Evra aliripotiwa kuwa...

KATIBU WA NCCR-MAGEUZI ATIWA MBARONI.......

...

LULU AAMUA KUACHIA MAZIWA YAKE BARABARA MCHANA KWEUPEEE!!

Nadhani umeshagundua kit...

BIBI WA MIAKA 63 AKAMATWA NA ZAIDI KILO 6 AIRPORT CHEKI MKANDA MZIMA HAPA

Bibi Kizee akamatwa na madawa ya kulevya Airport ya Brazil jana rio de janairo Inatia huruma na kusikitisha sana kama dada zetu ,mama zetu na hata bibi zetu sasa wana diriki kuangamiza vijana na jamii kwa ujumla. ...