Jumatano, 13 Agosti 2014

VERA SIDIKA NA MATITI FEKI

Video  Queen  maarufu  mjini  Nairobi  Kenya  hivi  majuzi  aliwashtua  watu  baada  ya  kupost  picha  ya  matiti  yake  yakiwa  yamekuwa  makubwa  kuliko  yalivyokuwa  mwanzoni  na  akasema  hivi:"Feels  good  to  be  back.Had  really  missed  Nairobi.Now....ya'll  be  nice ...

ANAYEDAIWA KUMPA MIMBA MBWA KORTINI

Cecilia Hamis (kulia) akiwa na mume wake (mtuhumiwa) Hamis Juma.LILE sakata la mume aliyetajwa kwa jina la Hamis Juma (pichani akiwa na mkewe), mkazi  wa Majohe Mji Mpya, Ilala jijini Dar kudaiwa na mkewe, Cecilia Hamis kwamba amempa mimba  mbwa yameibuka mapya, limeyanyaka.  Ijumaa iliyopita, tulifika kwenye ofisi za Taasisi ya Kutetea Haki za Wanyama ambapo mmoja wa maofisa aliyedai si msemaji maalum, alisema wapo...