Jumapili, 11 Mei 2014

LALLANA KUCHEZA UEFA MSIMU UJAO NA LIVERPOOL

LALLANA KUSHEREKEA KUITWA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND KWA KUSAINI MKATABA LIVERPOOL 9:46 AM  Anaondoka: Adam Lallana anatarajia kusaini mkataba katika klabu ya Liverpool mapema wiki ijayo. KIUNGO wa England, Adam Lallana atasherekea kuitwa timu ya taifa itakayoshiriki fainali za kombe la dunia mwaka nchini Brazil kwa kusaini mkataba katika klabu mpya ya Liverpool kwa dau la paundi milioni 20. Mpango wa kocha wa Liverpool...

INIESTA NAE AFUNGUKA KUHUSU MORTINO: MARTINO NI KOCHA BORA ANAYEIFAA BARCELONA

ANDRES Iniesta anaamni Gerardo Martino ndiye kocha bora anayeifaa Barcelona kwasasa licha ya kuwepo tetesi kuwa ataondoka majira ya kingazi mwaka huu. Kocha wa Celta, Luis Enrique anaripotiwa kumrithi Martino aliyerithi mikoba ya marehemu Tito Vilanova msimu uliopita. Kutolewa hatua ya robo fainali ya UEFA, kupigwa na Real Madrid katika fainali ya Copa del Rey na kushindwa kuongoza La Liga kumemuweka kitimoto Martino, lakini...

HAPANA CHEZEA! MAN CITY WAINYUKA 2-0 WEST HAM NA KUTWAA UBINGWA EPL..LIVERPOO L UKAME WA BILA KOMBE WAFIKIA MIAKA 25

 Akiruka kwa furaha: Vincent Kompany akishangilia baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa EPL KLABU ya Manchester City imefanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu soka nchini England baada ya kufanikiwa kuwafunga West Ham mabao 2-0 katika uwanja wa nyumbani wa Etihad. Wanaume wa Manuel Pellegrini walijua wazi kuwa ushindi katika mechi hiyo utawapatia ubingwa wa pili ndani ya misimu mitatu bila kujali matokeo ya Liverpool dhidi ya Newcastle. ...

NYINGINE KALI KUTOKA KENYA, Hii ndiyo comedy ya mapenzi iliyofungiwa huko Kenya.

10:35 AM “House of Lungula” ni comedy ya kwanza ya mapenzi inaonyesha maisha halisi ya kimapenzi ya jamii za watu wa Africa hasa wa Kenya, movie hii ni ya comedy iliyoruhusiwa kuangaliwa na watu wazima tu, kutokana na mambo yanayotendeka ndani ya filamu hiyo, waigizaji maarufu wengi ambao hukutegemea kuwepo wamehuika humo ndani. Baada ya kupewa airtime kwa muda mfupi sana kwenye televisheni mbali mbali za huko nchini Kenya, Filamu...

Mwilli wa mtu waokotwa mto Mzinga,Kongowe jijini Dar

Mwili wa mtu huyo ukielea kwenye maji ya mto Mzinga. Mwili baada ya kutolewa nje kabla ya kuzikwa na jiji. Mwili wa mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake umenaswa ukielea ndani ya Mto Mzinga maeneo ya Kongowe jijini Dar es Salaam.....   Mwili wa mtu huyo ulipatikana baada ya wakazi wa eneo hilo kudai kuwa harufu kali ilikuwa ikitoka eneo hilo na ndipo waligundua maiti hiyo ambayo waliikuta ikiwa imeharibika...