Jumatatu, 4 Agosti 2014

Hii kweli noma Weusi kusemekana wamecopy wimbo?

Kupitia You heard ya August 04,Weusi wamesemekana kucopy wimbo na kuurudia kuanzia namna wanavyorap mpaka beat iliyotumika kwenye wimbo huo,Joh Makini kaongea na kapatikana pia producer wa wimbo huo NahReel nae kazungumza. 88.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tabora. Bonyeza play kusikiliza. ...

Rick Ross ‘Rozay’ na nyingine kali tena – What A Shame

Hivi sasa watu wanapunguza kumtania Rick Ross kwenye internet kuhusu unene kutokana na kufanikiwa kupunguza mwili wake kidogo. Story mpya kutoka kwa Rozay ni video mpya ya wimbo wa ‘What A Shame’ aliofanya na Meek Mill & French Montana. ...

Magazeti ya leo August 05 2014

. Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...

YULE POLISI FEKI USALAMA BARABARANI ALIYEKAMATWA CHAMAZI, MBAGALA AANIKWA WAZI NA KOVA!!

Kamishna Kova (katikati) akionesha kidole kwa polisi feki aliyekamatwa.Sura ya ‘karibu’ ya askari huyo feki aliyekamatwa aitwaye Robson Seif Mwakyusa (30).Kova akionyesha baadhi ya sare za jeshi la polisi alizokamatwa nazo polisi huyo feki.Waandishi wa habari waliokuwa katika tukio hilo. JESHI la Polisi Kanda ya Dar es Salaam linamshikilia na kumhoji mtu mmoja anayeitwa Robson Seif Mwakyusa (30) mkazi wa Kijitonyama Jijini...

RAIS JK AWASHAURI DIASPORA KUJENGA HOJA YA DUAL CITIZENSHIP NA KUWACHANA NA MATUSI MITANDAONI!!

Kikwete: Jengeni hoja kutetea Uraia pacha badala ya kupiga kelele mitandaoni tu!  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE AMEWATAKA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI NA WANAOTAKA KUONA TANZANIA INAKUBALI KUANZISHA MFUMO WA URAIA PACHA KUTUMIA MUDA WAO KUJENGA HOJA ZA JAMBO HILO BADALA YA KUPOTEZA MUDA KWENYE MIJADALA YA BLOGU NA KULAUMI WATU WENGINE.RAIS KIKWETE AMEWATAKA...

VIDEO QUEEN WA PASHA ATUPIA PICHA ACHAFU HALI YA HEWA INSTA, CHEKI UTAMU WOTE KWEUPEEE

BALAAA TUPU LULU ...