Jumanne, 3 Juni 2014

VIFO VYA WASANII VINAVYOENDELEA NCHINI:vitaendelea mpaka mwakani mwezi Aprili......soma habari kidokezo hapa

Maalim Hassan Hussein MTOTO wa aliyekuwa mtabiri bingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein, Maalim Hassan Hussein leo kafunguka kuhusu vifo vya wasanii vinavyoendelea nchini. Maalim Hassan amesema vifo hivyo vitaendelea mpaka mwakani mwezi Aprili. ...

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA SERIKALINI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAPRESIDENT’S OFFICEPUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref. Na EA.7/96/01/G/23 02ndJune, 2014VACANCIES ANNOUNCEMENT  On behalf of Tanzania Food and Nutrition Centre (TFNC) and Ministry of Lands, Housing and Human Settlement Development, Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 2 vacant posts in the above Public Institutions.  NB: GENERAL CONDITIONS  i.All...

WAKUBWATU 18+: Rihanna ahudhuria tuzo za fashion za CFDA akiwa Nusu Uchi.

Rihanna amewaacha midomo wazi watu wengi baada ya kuonekana amejitoa ufahamu na kuhudhuria tuzo za mitindo (CFDA 2014) zilizofanyika New York akiwa amevalia vazi linalomuacha  nusu mtupu.   Vazi hilo lilionesha wazi kifua chote cha mwimbaji huyo huku maziwa yote yakionekana bila wasiwasi huku akifunika sehemu za chini na kimdoli alichokuwa ameshikilia.   Baada ya kuonekana hivyo katika red carpet, Rude Girl...

Naibu Waziri wa habari,Vijana, Utamaduni na Michezo awataja Nay wa Mitego, Shilole, Wema na Aunt Ezekiel kati ya wasanii waliopewa onyo na serikali

Ukiukwaji wa maadili ni sehemu ya kilio cha jamii ya watanzania na tayari kilio hicho kimeifikia serikali ambayo imechukua hatua za awali ya kuwaonya watu wanaofanya tabia hizo.   Naibu Waziri wa habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Juma Nkamia ameeleza hatua ambazo wizara hiyo imechukua katika kukomesha ukiukwaji wa maadili unaofanywa hasa katika kumbi za starehe.   Akijibu swali lililoulizwa na mbunge Catherine Magige, Nkamia...

HII NYINGINE KALI KUTOKA KWA MKUDE SIMBA KUHUSU UZEE MWISHO WAPI?????

...