Wameshauliwa sana, wameimbiwa saaaana lakini wenye masikio ya kufa ambayo hayasikii dawa wanaendelea kupaka.
Wadada jaman kama mungu kakuumba na vitako vidogo kama skonzi au ngumi za mtoto vumilia tu.
Hivi
huoni aibu hata kidogo, leo unavitako vidogo kama vibumunda vya
bakhresa kufumba na kufumbua una makalio kama umejazwa upepo.
Huogopi
hata watu watakustukia. Haya sasa kama unapenda hilo, jua na madhara
yake pia...mwenzenu amebakisha makalio yaliyoumuka na kuvimba kama viazi
vya kuchoma.
SI UNAUTAKA UZURI WA MATAKO, PAKA TUKUONE KAMA HAUTAKUWA NA MAKALIO YALIYOPISHANA SIZE.....NIMEMALIZA
POLE SANA USIRUDIE
JibuFuta