ISCO ATEMWA KIKOSI CHA AWALI CHA HISPANIA KOMBE LA DUNIA,
KOCHA
wa timu ya taifa ya Hispania na mabingwa watetezi wa kombe la dunia,
Vicente del Bosque ametanagaza kikosi cha awali cha wachezaji 30 kwa
ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil, lakini amewaacha hoi
wengi baada ya kuwaacha nyota wa Real Madrid Alvaro Arbeloa na Isco .
Isco alihangaika kurudisha kiwango chake Real Madrid, lakini
haijamsaidia, wakati kwa Arbeloa nafasi yake imechukuliwa na Dani
Carvajal.
Wakati huo huo, Iker Casillas licha ya kucheza mechi chake akiwa na Real Madrid ametajwa katika kikosi hicho.
Pia Thiago Alcantara na Fernando Llorente wote wamejumuishwa.
Maajabu mengine ni kujumuishwa kwa Alberto Moreno, Ander Iturraspe na Koke.
Del Bosque will announce his final squad on May 25.
Spain meet Netherlands, Chile and Australia in Group B at the World Cup.
KIKOSI KIZIMA:
Walinda mlango: Iker Casillas (Real Madrid), Pepe Reina (Napoli), David de Gea (Manchester United)
Mabeki: Dani Carvajal, Sergio Ramos (Real Madrid), Juanfran
(Atletico Madrid), Raul Albiol (Napoli), Javi Martinez (Bayern Munich),
Alberto Moreno (Sevilla), Jordi Alba, Gerard Pique (Barcelona), Cesar
Azpilicueta (Chelsea)
Viungo: Andres Iniesta, Cesc Fabregas, Sergio Busquets, Xavi
(Barcelona), Santi Cazorla (Arsenal), Juan Mata (Manchester United),
David Silva (Manchester City), Thiago Alcantara (Bayern Munich), Ander
Iturraspe (Athletic Bilbao), Koke (Atletico Madrid), Xabi Alonso (Real
Madrid)
Washambuliaji: Diego Costa, David Villa (Atletico Madrid),
Alvaro Negredo, Jesus Navas (Manchester City), Fernando Torres
(Chelsea), Fernando Llorente (Juventus), Pedro (Barcelona)
0 comments:
Chapisha Maoni