Jumanne, 20 Mei 2014

ZIJUE SABABU ZA KUKAUKA KWA ***KE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI

  Mwanamke huitaji kunyegeshwa tena baada ya bao lake la kwanza, inategemea lilipopatikana kama kwenye Kipele G, Kwenye Kisimi, Mwisho wa Uke au kuta za uke. Ikiwa amepata bao "via" kisimi hapo lazima atahiji muda kidogo wa kupumzika kama dakika kumi hv kisha wewe mpenzi wake ni wajibu wako kumnyegesha tena kwa kucheza na sehemu nyngine za mwili wake mbali na Kisimi. Inaweza kuwa kum-busu, kumla denda huku unamshika-mshika...

Breaking News: Ryan Giggs atangaza kustaafu soka

Winga wa kimataifa wa Wales na klabu ya Manchester United Ryan Giggs ametangaza kustaafu. Giggs ambaye alianza kuichezea timu ya watoto ya Manchester United mnamo mwaka 1991, amestaafu soka baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka 23 mpaka sasa huku akifanikiwa kuwa mchezaji aliyecheza mechi nyingi zaidi katika klabu yake ya Manchester United – akiichezea mara 963. Giggs anastaafu akiwa ndio mwanasoka ambaye...

HATARI SANA, DENGUE YABISHA HODI MBEYA.

HOMA YA DENGUE YABISHA HODI MBEYA, MGONJWA ALAZWA HOSPITALI YA MKOA HATIMAYE ugonjwa wa homa ya  Dengue umeripotiwa kuingia Mkoani Mbeya baada ya kupatikana kwa kesi ya mgonjwa mmoja mwanamke ambaye amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya. Mwanamke huyo ambaye ni mkazi wa Sae,  Jijini hapa, ambaye hata hivyo hakuwa tayari jina lake liandikwe gazetini  inasemekana alipata ugonjwa huo baada ya kung’atwa...

Zifahamu Hapa Tabia Za Mwanamke Wa Kuoa

Je Unazijua Tabia Za Mwanamke Wa Kuoa Au Huwa Watu Wanakurupuka??  Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ya wake ambao wanadhani kwamba wanaweza kuwa pamoja kwa kipindi chote cha maisha. Wanawake wengi wanajisahau na kudhani kwamba kitu kinachoweza kuwafanya wakapata wachumba ni uzuri hivyo kupoteza...

SOMA HAPA bajeti ya mazishi yake ya Adam Philip Kuambiana

KIFO CHA KUAMBIANA SUMU YATAJWA,bajeti ya mazishi yake ni shilingi milioni tano KIFO cha ghafla cha mwigizaji na mwongoza filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana  kimeibua mazito ya kutosha, Moja kati ya mazito hayo ni kuwepo kwa madai kwamba marehemu alikula au alilishwa sumu kupitia chakula. Mwili wa mwigizaji na mwongoza filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana ukipelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili. Kwa mujibu wa rafiki...