Una habari kuwa kuna sababu zilizompelekea diamond kuzidi ku-make
headlines siku hadi siku?, kama ilivyo kwa msanii yeyote yule mwenye
mafanikio duniani, kuna ishu mbili tatu zilizowahi kumtokea katika
maisha yake, ambazo ndio zilimpelekea kumsukuma, pamoja na jitihada za
kujituma, kuweza kumfikisha hadi kwenye mafanikio yake. Kama ulikuwa
hujui, basi bila Diamond kufanya haya, hii leo, hizo tuzo zote, kuanzia
ya mtv na kili zingekuwa...