Jumapili, 18 Mei 2014

Amazing Atletico rewrite history with brilliant title triumph

Diego Simeone's side showed incredible courage to claim La Liga at Camp Nou on Saturday and record a victory nobody but they themselves had believed in Diego Simeone's side showed incredible courage to claim La Liga at Camp Nou on Saturday and record a victory nobody but they themselves had believed in Triumph through adversity. Atletico Madrid could have wrapped up La Liga last weekend by beating Malaga, but Diego Simeone's side seem...

Bale excited ahead of first Champions League final

The Wales international has enjoyed a positive debut season with Real Madrid and is looking forward to facing Diego Simeone's Spanish champions in Portugal on May 24 Gareth Bale says he cannot wait to play in his first Champions League final as Real Madrid prepare to battle Atletico Madrid for the ultimate prize in club football.The Welshman has enjoyed a bright debut season with the Spanish giants, having played a key role...

FILAMU YA JOTI SANDUKU LA BABU KUINGIA SOKONI HIVI KARIBUNI

Msanii  Lucas Mhavile ‘Joti’baada ya kukaa kimya kwa mda sasa ameibuka na filamu yake ya Joti Sanduku la Babu ambayo amecheza katika husika tofauti tofauti filamu hiyo itakuwa ikisambazwa na   Kampuni ya proin promotions ya jinini Dar es salaam akizungumzia filamu hiyo Joti alisema kuwa amekuja kivingini kwani kitu alichofanya katika filamu hiyo aijawai kutokea wala kufanywa na mtu yoyote yule katika tasinia...

HAPANA CHEZEA MASOGANGE WEWE MCHEKI HAPA AKIWA NDANI YA KIGAUNI KIFUPI

HAPANA CHEZEA MASOGANGE WEWE MCHEKI HAPA AKIWA NDANI YA KIGAUNI KIFUPI NISHIDDAH...... ...

HIVI NDIVYO WENGA ALIVYO LOWA NA KURUSHWA JUU BAADA YA USHINDI WA JANA

Hatimaye Arsenal wamemaliza kiu ya taji baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la FA. Aaron Ramsey ambaye alikuwa tegemeo kubwa kwenye msimu katika ligi kuu ndiye aliwang’arisha Arsenal kwa bao la dakika ya 109. Arsenal waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kutwaa taji hilo walikjikuta wakiachwa nyuma kwa kufungwa mabao mapema dakika ya nne na ya nane kabla ya kukomboa dakika za 17 na 71. Ilikuwa shamrashamra ya aina yake kwenye Uwanja...