MTOTO mzuri kunako anga la uanamitindo Bongo, Jokate Mwegelo ameibuka na kuanika sifa za mwanaume ambaye anafaa kuwa mume wake.
Mtoto mzuri kunako anga la watangazaji Bongo, Jokate Mwegelo.
Akipiga
stori na paparazi juzi jijini Dar, Jokate alisema anapenda mwanaume
ambaye atajua kutafuta fedha kwa nguvu zote, awe anajua kubembeleza na
awe na nidhamu kwa wazazi wake.
“Sifa
ya mume ninayemtaka, anapaswa kuwa mtafutaji wa fedha,...