
Ukiwa umepita mwezi mmoja tangu
msanii wa Tasnia ya Filamu anayejulikana kwa jina la Isabella
Francis 'Vai wa Ukweli' kuripotiwa kujiuza, sasa msanii huyo
amekumbwa na kashfa nyingine ya kupiga picha za uchi
zikimuonesha akivua nguo mbele ...