Jumatatu, 19 Mei 2014

Mbatia atoa milioni 10 kwa professor atakae faulu mtihani wa darasa la saba.

Kutoka Bungeni: Mbatia atoa milioni 10 kwa professor atakayepata majibu yote sahihi ya mtihani wa darasa la 7 .....Asema mtihani huo umejaa madudu   Changamoto ya mapungufu yaliyotajwa kwenye maandalizi ya vitabu na mitihani ya kumaliza darasa la saba imepelekea mheshimiwa James Mbatia kuwa-challenge maprofesa walioko bungeni kuufanya mtihani wa darasa la saba ambao kwa mujibu wake haufanyiki.   Akitoa mchango wake bungeni...

LOUIS VAN GAAL KOCHA MPYA MANCHESTER UNITED

Kocha mpya wa Manchester United, Louis van Gaal. KOCHA wa timu ya Taifa ya Uholanzi, Louis van Gaal ndiye kocha mpya wa Manchester United. Gaal ataiongoza timu hiyo kwa miaka mitatu baada ya Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil. Aliyekuwa kocha wa muda wa timu hiyo, Ryan Giggs ndiye atakuwa msaidizi wake. Klabu ya Manchester United imethibitisha taarifa hizi kupitia ukurasa wake wa Facebook hivi pund...

Ajali yaua watano na kujeruhi 16 mlima Senkenke mkoani Singida

WATU watano wamekufa papo hapo na wengine 16 kujeruhiwa baada ya kutokea ajali ya barabarani iliyolihusisha gari dogo la abiria aina ya Toyota Hiace eneo la Mlima Sekenke, wilayani Iramba kwenye Barabara Kuu ya Singida -Mwanza.   Mganga wa zamu katika Hospitali ya Wilaya ya Iramba, Dk Antony Mbulu, alisema kuwa ajali hiyo ilitokea juzi saa 2:30 usiku wakati abiria hao wakienda kwenye sherehe ya Maulid kijiji...

UNAJUA WANAWAKE WANATAKA NINI KWA MAPADRI? SOMA HAPA ILI UJUE

Wanawake wataka mapadre waruhusiwe kuoa Papa Francis kiongozi wa kanisa katoliki Kundi moja la wanawake walio na hisia za kimapenzi na mapadre wa kikatoliki wamemuandikia barua kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ya kumtaka kubadilisha sheria za kanisa hilo zinazowazuia viongozi hao wa dini kuoa. Wanawake hao 26 kutoka Italy na maeneo mengine wanasema kwamba wamekuwa wakishiriki ama wanataka kushiriki katika...