Alhamisi, 22 Mei 2014

WANAFUNZI WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA STEFANO MOSHI(SMMUCO) WAFUNGA BARABARA WAKITAKA KULIPWA PESA ZAO ZA MKOPO

 Wanafunzi wakiwa katika Makundi mbalimbali katika mgomo huo  Mgomo ukiwa unaendelea huku wakidai pesa zao   Wanafunzi wakiwa wamefunga Njia muda huu Hapa wakiendelea na madai yao wakiwa ni wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza wa Pili na WatatuEndelea kufuatilia click >>hapa<< ...

ANGALIA PICHA MCHUNGAJI ALIYEHARIBIWA SURA KWA TINDIKALI, SASA AENDELEA VYEMA

Mchungaji Umar Umulinde wa Uganda akiwa hospitalini. Hizi ni baadhi ya picha alizopiga hivi karibuni mchungaji Umar Umulinde wa Uganda ambaye alimwagiwa tindikali katika mkesha wa sikukuu ya christmas mwaka jana mara baada ya kumaliza ibada,ambapo mpaka sasa kikubwa ambacho mchungaji Umulinde ambaye alikuwa muumini wa dini ya kiislamu kabla ya kubadili na kuokoka anasema ni kwamba waliomwagia tindikali ni waumini wa dini...

BODI YA MIKOPO YASHIRIKI KATIKA MAONYESHO YA VYUO VIKUU

Afisa Mikopo Michael Masakwiya akitoa ufafanuzi katika maonyesho ya vyuo vikuu yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaamAfisa Mikopo Mwandamizi Josephat Bwathondi akitoa ufafanuzi zaidi.Maafisa wakitoa maelezo kwa wanafunziAfisa Habari Mwandamizi Veneranda Malima akitoa maelezo kwa wanafun...