Alhamisi, 19 Juni 2014

SOMA HAPA, RATIBA NZIMA YA LIGI KUU ENGLAND 2014/2015

RATIBA NZIMA YA LIGI KUU ENGLAND 2014/2015. 16 August 2014 Arsenal v Crystal Palace Burnley v Chelsea Leicester City v Everton Liverpool v Southampton Manchester United v Swansea City Newcastle United v Manchester City Queens Park Rangers v Hull City Stoke City v Aston Villa West Bromwich Albion v Sunderland West Ham United v Tottenham Hotspur 23 August 2014 Aston Villa v Newcastle United Chelsea v Leicester City Crystal...

SERIKALI YA TANZANIA HAINA HAKIMILIKI YA JINA LA MLIMA KILIMANJARO

SERIKALI imesema Tanzania haina haki miliki ya jina la mlima Kilimanjaro, hivyo mashirika mbalimbali yanaweza kutumia nembo ya jina hilo katika kutangaza vivutio vya utalii kama Shirika la Ndege la Kenya, Kenya Airways linavyodaiwa kutumia nembo ya Mlima huo.   Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Fredrick Werema, ameliambia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Jumanne Juni 17, 2014 kuwa kitendo cha Shirika hilo kutumia nembo...

BAADA YA KIPIGO CHA 4-0, EKOTTO AMTWANGA 'NDOO' MWENZAKE

Benoit Assou-Ekotto akimtwanga 'ndoo' Moukandjo. Benoit Assou-Ekotto (kulia) akimsogelea mwenzake Benjamin Moukandjo baada ya kipigo cha 4-0 kutoka kwa Croatia usiku wa kuamkia leo. Moukandjo akimjia juu Ekotto baada ya kichwa hicho.   Samuel Eto'o akimtuliza Ekotto aliyepandisha hasira baada ya kichapo cha 4-0. BEKI wa Cameroon, Benoit Assou-Ekotto aliamua kumpiga kichwa 'ndoo' mchezaji mwenzake Benjamin Moukandjo...

MBASHA ATOSWA GEREZANI KEKO, AKESHA AKILIA

Jina zima ni Emmanuel Mbasha (32) ambaye ni mume wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha juzi amepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ishu ni yale madai ya kumbaka mara mbili shemeji yake (jina lipo). Basi lililombeba Emmanuel Mbasha likiwa chini ya ulinzi mkali wa askari magereza likisindikizwa kuelekea mahakamani. Akisomewa mashitaka mbele ya hakimu mkazi wa mahakama hiyo, Wilberforce Luago, Wakili wa Serikali,...

LULU NA HUSNA WATAKA KUZICHAPA !!

MASTAA wa kike wanaotingisha Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ (pichani)  na Husna Maulid, ilibaki kidogo wazichape, Diva wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ Kabla ya tukio hilo, awali wawili hao waliwahi kuingia kwenye bifu baada ya kudaiwa walikuwa wanamgombea pedeshee mmoja wa mjini, kila mmoja akijipa uhalali wa kumilikiwa. Tukio hilo bichi kabisa lilitokea Juni 16, mwaka huu, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo chanzo...