Sehemu ya mguu alipochomwa kisu na Bw. Mugaka (mumewe).
KIGOGO wa shirika moja la kimataifa linalojishughulisha na watoto yatima, tawi la mkoani Pwani, Tanzania aliyetajwa kwa jina moja la Mugaka, anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 35 hadi 40, ametupwa rumande akituhumiwa kumchoma kisu na kumtoa manundu mkewe, Leah (28).
Mke wa kigogo (Mugaka),Bi. Leah aliyefanyiwa unyama na mumewe.
Tukio hilo la kusikitisha lilijiri wilayani...