
WASANII WAMFANYIA VIBAYA MTITU MSIBANI:Wasusia chakula,KANISANI WAISHIA NJE,WAGOMA KWENDA KUZIKA MKOANI NJOMBE
Baadhi
ya wasanii wa filamu Bongo wameshindwa kuonesha utu ipasavyo kwa msanii
mwenzao, William Mtitu ambaye hivi karibuni alifiwa na baba yake mzazi.
Baba
wa msanii huyo, John Mtitu alifariki dunia baada ya kusumbuliwa na
uvimbe kichwani na alipofanyiwa upasuaji, hakuweza kuzinduka.
Wasanii mbalimbali wakiomboleza...