Awali,
ilidaiwa kuwa, Aunt aliondoka Bongo kwenda Dubai kuungana na mumewe
katika ndoa, lakini vyanzo vya karibu vikahoji mumewe yupi? Mbona yuko
jela baada ya kudakwa kwa kuishi kinyume cha sheria!
CHANZO CHATIRIRIKA
Kwa mujibu wa chanzo hicho, taarifa za mumewe kuwa jela, Aunt alizichukulia poa kwani baada ya tu ya habari hizo Aunt aliendelea kujirusha katika kumbi tofauti jijini Dar na hata nje ya Dar kana kwamba hakuna kitu kilichotokea.

“Aunt
hakushtuka chochote taarifa zilimfikia mapema, lakini hakuchukua hatua
yoyote hata kule kuonesha kwamba amehudhunika,” kilisema chanzo hicho na
kuongeza:
“Kama
hamuamini tembeleeni katika kumbi za starehe kila siku tunakula naye
bata kama kawaida, angekuwa mwingine angejaribu hata kuwa karibu na
ndugu wa mume kushirikiana na kujua taarifa za mumewe.”
Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel akiwa na mumewe Sunday.
AUNT ALIPOKEAJE MUMEWE KUFUNGWA?
Kumbukumbu zilizopo katika makrabasha ya Magazeti Pendwa zinaoonesha kuwa, Aunt alipoulizwa na mapaparazi wetu kuhusiana na taarifa hizo, alikiri kuzifahamu lakini akafafanua kuwa mumewe alikamatwa na kuachiwa huru lakini watu wa karibu wameendelea kupinga.

“Mume
wangu amekamatwa ndiyo lakini si kama watu wanavyosambaza maneno
wanayoyajua wao na kupindisha ukweli, alikamatwa kutokana na suala la
kibali cha makazi kwisha muda wake lakini amesharekebisha, ameachiwa,”
alisema Aunt.
HAONEKANI BONGO, DUBAI
Licha ya Aunt kudai mumewe huyo alikamatwa na kuachiwa, lakini tangu alipotamka kauli hiyo mwishoni mwa mwaka jana hadi sasa, mwanaume huyo hajawahi kuonekana hadharani.
Licha ya Aunt kudai mumewe huyo alikamatwa na kuachiwa, lakini tangu alipotamka kauli hiyo mwishoni mwa mwaka jana hadi sasa, mwanaume huyo hajawahi kuonekana hadharani.
“Tangu
alipokamatwa hakutoka tena na ishu yenyewe aliyokamatwa nayo
inasemekana ni mbaya hivyo si rahisi kutoka,” kilisema chanzo hicho bila
kufafanua ni ishu gani.
kufafanua ni ishu gani.
MAPAPARAZI WETU WAMNASA
Wakati taarifa hizo zikiendelea kusambaa jijini Dar, mapaparazi wetu waliwahi kumnasa staa huyo katika viwanja tofauti vya starehe kwenye miji ya Arusha na Dar es Salaam.
Wakati taarifa hizo zikiendelea kusambaa jijini Dar, mapaparazi wetu waliwahi kumnasa staa huyo katika viwanja tofauti vya starehe kwenye miji ya Arusha na Dar es Salaam.
Uchunguzi
wa mapaparazi wetu ulionesha kuwa kabla na baada ya taarifa za mumw
kukamatwa kusambaa, Aunt hakuonesha tofauti, aliendelea kula kunywa na
kucheza kama kawaida.
AUNT AENDELEZA BATA
Mapama wiki hii, Aunt ambaye yupo Dubai aliposti picha katika mtandao wake wa Instagram na kuonesha jinsi gani anakula raha huko.
Mapama wiki hii, Aunt ambaye yupo Dubai aliposti picha katika mtandao wake wa Instagram na kuonesha jinsi gani anakula raha huko.
Picha
hizo zinamuonesha mrembo huyo akiwa katika bwawa maalumu la kuogelea
(swimming pool) huku akinywa vinywaji tofauti hali ambayo ilileta
tafsiri kwa mashabiki wake kwamba ni kuponda raha huku mumewe akidaiwa
kuwa jela.
“Sasa
huyu (Aunt) jamani vipi, badala apambane kujua hatima ya mumewe yeye
yupo bize kula raha za mjini utadhani ana furaha,” alichangia shabiki
wake mtandaoni.
wake mtandaoni.
AWACHEFUA MASHEMEJI
Taarifa zaidi zimeeleza kuwa mara baada ya kuzagaa kwa picha hizo katika mitandao ya kijamii, baadhi ya mashemeji wa Aunt walikuja juu na kudai wanamshangaa ni vipi haoni hali ilivyo na hawamsikii akizungumzia lolote kuhusu ndugu yao.

“Mashemeji
zake wamekasirika kwelikweli kwani kuzagaa kwa picha hizo mtandaoni
kunaleta tafsiri kwamba Aunt hana mpango na Demonte,” kilisema chanzo.
WIFI AZUNGUMZA
Katika kusaka data zaidi za ndugu wa Demonte, paparazi wetu alimtafuta mmoja wa mashemeji hao wa Aunt ambaye hakutaka jina lake lichorwe gazetini ambapo alisema wamechukizwa na picha hizo na wanajipanga kumpa talaka.

“Huu
si ubinadamu hata kidogo, sasa kwa kuwa ameamua kumwaga mboga sisi
tutamwaga ugali, dawa yake tunamuandalia mipango ya talaka ambapo
tukimpata Demonte kwa njia yoyote na akabariki talaka, tunampa muda
wowote,” alisema shemeji huyo huku akikiri kuwa hata wao hawajui Demonte
yukoje kwa sasa baada ya kupoteza mawasiliano naye.
0 comments:
Chapisha Maoni