Ijumaa, 9 Mei 2014

KUWA WA KWANZA KUSIKILIZA NYIMBO MPYA YA DARASA.

Download na Sikiliza Nyimbo Mpya ya Darasa ft Os'man - Sio Mbaya ...

Baada ya Kumpiga chini Sinta...Huu ndiyo ujio wa Juma Nature na Kajala Masanja

Baada ya Kumpiga chini Sinta...Huu ndiyo ujio wa Juma Nature na Kajala Masanja Wimbo wa ‘Sitaki Demu’ wa Juma Nature miaka 10 iliyopita ulikuwa sehemu ya msosi mzuri kwenye albam yake ya ‘Ugali’ iliyotayarishwa na P-Funk Majani na ulikuwa na mashairi yaliyomlenga Sintah aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Nature. Uhusiano wa Juma Nature na Sintah enzi hizo ulikuwa maarufu na ulikuwa ukizungumziwa sana kama ilivyo hivi...

UKWELI WOTE HADHARANI SASA.

Hii ndiyo sababu ya Victoria Kimani kuwa na ukaribu mkubwa na Diamond Platnumz. Baada ya kuja Tanzania na kuonekana akiwa karibu sana na president wa wasafi Mr Dangote aka DiamondPkatnum, hadi kuzua balaa katika penzi, kati ya Diamond na Wema Sepetu, huku kila mtu akidhani kuwa Victoria alikuwa anania ya kumpindua Wema. Hivi sasa ukweli ndio umejulikana, Baada ya ukimya wa muda tangu ishu nzima na skendo hiyo zianze hapa town, Victoria...

Hongera Dina Marious wa Clouds FM kutofanya tena kipindi cha ‘Leo Tena’, akabidhiwa show mpya ya TV

Mtangazaji wa kipindi cha ‘Leo Tena’ cha Clouds Fm, Dina Marious leo ametangaza kuwa hataendelea kufanya kipindi hicho na badala yake anakuja na kipindi kipya cha TV. Dina ambaye hajasikika kwenye kipindi hicho kwa miezi kadhaa baada ya kwenda likizo ya uzazi baada ya kujifungua mtoto wa kiume aitwaye Zion, ametoa taarifa hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram. Hiki ndicho alichokiandika: “Ni miaka 8 sasa imetimia toka nilipokabidhiwa...

Umekisikiliza Kichekesho kipya cha Kitale@Mkude Simba

...

Listi ya vilabu vyenye utajiri duniani: Man Utd, Real Madrid, FC Barcelona nani kashika nafasi ya kwanza?

Klabu ya Manchester United imezidi kushuka chini kwenye chati ya vilabu vyenye thamani kubwa ulimwenguni, kwa mujibu wa jarida la Forbes. Nafasi ya kwanza imeshikwa na klabu ya Real Madrid yenye thamani ya £2billion, nafasi ya pili FC Barcelona ambayo imetajwa kuwa na thamani ya £1.9billion. United baada ya kuwa msimu mbaya kabisa kwenye historia yao, wameshuka kutoka nafasi ya 2 mwaka jana mpaka nafasi ya 3 wakiwa na thamani...

BREAKING NEWS: BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMI

Ajali imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea dar es salaam.. gari ni kampuni ya dar express iliyokua ikielekea nairobi.. Abiria wengi wamenusurika kutoka ila kuna majeruhi wachache ambao haijalikana bado kama kuna aliyekufa. ...