akizungumzia
filamu hiyo Joti alisema kuwa amekuja kivingini kwani kitu alichofanya
katika filamu hiyo aijawai kutokea wala kufanywa na mtu yoyote yule
katika tasinia hii ya filamu nchini
hivyo
wapenzi wangu wakae mkao wa kula tu kwani wakati wowote kuanzia sasa
itakuwa inaingia sokoni kwani filamu hii si yakukosa mana unambiwa uzee
mwisho chalinze mjini kila mtu honey
hivyo
wapenzi wa filamu nawaomba wanunue nakala alisi ya filamu hiyo pindi
itakapotoka ambapo nimelezea mambo mbalimbali ya ujana usichana pamoja
na uzee
mbali
na hivyo filamu hiyo imebeba mambo matatu muhimu kwanza ina burudisha
pia ina elimisha na kupata ujumbe muhimu kabisa katika jamii
inayotuzunguka'
filamu
hiyo ya kwanza tangu joti aweke kando mambo ya filamu na kujingiza
katika mambo ya uchekeshaji kupitia luninga sasa ameludi tena katika
filamu
yake mwenyewe inayokwenda kwa jina la
joti sanduku la babu
0 comments:
Chapisha Maoni