....
1. SEHEMU YA KWANZA: Kwenye KIFUA Kifua
ni moja ya sehemu alieumbiwa kila mwanadamu jinsia zote na sehemu hii
ya kifua inamfumo wa kuamsha hisia katika mapenzi kwa sehemu tofauti kwa
wanawake huleta msisimko katika maziwa na kwa upande wa mwanaume ni
eneo zima pindi eneo hili likitumiwa ipasavyo kikubwa uwapo ndani na
mpenzi wako jitahidi kutumia viganja,vidole na ulimi wako kuvichezesha
taratibu kwenye kifua cha mpenzi wako ili kuamsha hisia.
2. SEHEMU YA PILI: Kwenye UUME:
Hizo
ndio sehemu muhimu zenye kuleta hamasa katika mapenzi kwa upande wa
wanaume. Ushauri wangu kwa wakina dada wajaribu kuzingatia maeneo haya
muhimu na si haya tu yapo mengi ila kubwa zaidi ni haya niliyoyaeleza
inakubidi wewe kama mwanamke uweze kutumia ulimi wako na mikono yako
katika kuvitembeza kwenye mwili wa mpenzi wako ni vyema ukabaini ni wapi
mwenza wako ukimshika anajisikia raha.
0 comments:
Chapisha Maoni