Jumamosi, 21 Juni 2014

BREAKING NEWS: WATU 18 WAFARIKI DUNIA ENEO LA MAKONGO KWA AJALI YA COASTER NA LORI

Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari jijini Dar. Maiti bado zipo eneo la tukio, habari zaidi zitakujia hivi punde.! ...

Alhamisi, 19 Juni 2014

SOMA HAPA, RATIBA NZIMA YA LIGI KUU ENGLAND 2014/2015

RATIBA NZIMA YA LIGI KUU ENGLAND 2014/2015. 16 August 2014 Arsenal v Crystal Palace Burnley v Chelsea Leicester City v Everton Liverpool v Southampton Manchester United v Swansea City Newcastle United v Manchester City Queens Park Rangers v Hull City Stoke City v Aston Villa West Bromwich Albion v Sunderland West Ham United v Tottenham Hotspur 23 August 2014 Aston Villa v Newcastle United Chelsea v Leicester City Crystal...

SERIKALI YA TANZANIA HAINA HAKIMILIKI YA JINA LA MLIMA KILIMANJARO

SERIKALI imesema Tanzania haina haki miliki ya jina la mlima Kilimanjaro, hivyo mashirika mbalimbali yanaweza kutumia nembo ya jina hilo katika kutangaza vivutio vya utalii kama Shirika la Ndege la Kenya, Kenya Airways linavyodaiwa kutumia nembo ya Mlima huo.   Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Fredrick Werema, ameliambia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Jumanne Juni 17, 2014 kuwa kitendo cha Shirika hilo kutumia nembo...

BAADA YA KIPIGO CHA 4-0, EKOTTO AMTWANGA 'NDOO' MWENZAKE

Benoit Assou-Ekotto akimtwanga 'ndoo' Moukandjo. Benoit Assou-Ekotto (kulia) akimsogelea mwenzake Benjamin Moukandjo baada ya kipigo cha 4-0 kutoka kwa Croatia usiku wa kuamkia leo. Moukandjo akimjia juu Ekotto baada ya kichwa hicho.   Samuel Eto'o akimtuliza Ekotto aliyepandisha hasira baada ya kichapo cha 4-0. BEKI wa Cameroon, Benoit Assou-Ekotto aliamua kumpiga kichwa 'ndoo' mchezaji mwenzake Benjamin Moukandjo...

MBASHA ATOSWA GEREZANI KEKO, AKESHA AKILIA

Jina zima ni Emmanuel Mbasha (32) ambaye ni mume wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha juzi amepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ishu ni yale madai ya kumbaka mara mbili shemeji yake (jina lipo). Basi lililombeba Emmanuel Mbasha likiwa chini ya ulinzi mkali wa askari magereza likisindikizwa kuelekea mahakamani. Akisomewa mashitaka mbele ya hakimu mkazi wa mahakama hiyo, Wilberforce Luago, Wakili wa Serikali,...

LULU NA HUSNA WATAKA KUZICHAPA !!

MASTAA wa kike wanaotingisha Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ (pichani)  na Husna Maulid, ilibaki kidogo wazichape, Diva wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ Kabla ya tukio hilo, awali wawili hao waliwahi kuingia kwenye bifu baada ya kudaiwa walikuwa wanamgombea pedeshee mmoja wa mjini, kila mmoja akijipa uhalali wa kumilikiwa. Tukio hilo bichi kabisa lilitokea Juni 16, mwaka huu, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo chanzo...

Ijumaa, 6 Juni 2014

PICHA: BONGE LA MFUNIKO AISE, HEBU ONA CHRIS BROWN ALIVYOFANYA KUFURU AKISHEREKEA KUACHIWA KIFUNGONI. NI SHIDAA FULL KUPIGANA MADENDA NA MADEMU LOOOH!

    Hii ni noma anasherekea baada ya kumaliza kifungo chake cha takribani miezi minne.Angalia anavyojirusha na wana hapa yaani ni bonge la shangwe.Chris aliachiwa alitoka jela mwezi huu tarehe 2. ...

Official: Roma sign Keita

The Mali international has joined the Italian capital club on a one-year deal just five months after moving to Valencia from Chinese side Dalian Aerbin Roma have announced the signing of former Barcelona star Seydou Keita on a one-year deal.The 34-year-old, who has 88 international caps for Mali, spent the last five months with Valencia in La Liga after moving from Chinese team Dalian Aerbin.During his time with Los Che he made 11 league...

Brazil 1-0 Serbia: Fred fires Selecao to victory

The striker finished with aplomb in the 58th minute, after controlling a long ball forward from Thiago Silva   Mowa Press Fred scored the only goal of the game as Brazil completed their World Cup preparations with a hard-fought 1-0 win over Serbia.The Selecao were struggling to break down their European opponents when, in the 58th minute, the forward expertly controlled a long ball forward from Thiago Silva before prodding home.Brazil...

Toni Kroos: Reus' injury didn't look good

The Borussia Dortmund star was clearly in pain after twisting his left ankle and the Bayern midfielder admitted his team-mate looked to be in distress Germany are sweating on the fitness of Marco Reus after the attacker was forced off injured in Friday night's friendly against Armenia, with team-mate Toni Kroos admitted that the injury 'didn't look good'. The Borussia Dortmund attacker had to be helped from the field by medics after...

WAKATI ANASUBIRI TUZO ZA MTV, DIAMOND AMEWEKA REKODI NYINGINE TWITTER, SOMA HAPA

Diamond Platinumz ambaye yuko Durban Afrika Kusini akijiandaa na tuzo MTV,ameongeza sababu nyingine ya kutabasamu baada ya akaunti yake ya Twitter kuwa Verified. Mkali huyo mwenye Followers Zaidi ya 34, 000 ametambuliwa na Twitter kuwa mmiliki pekee/halali wa akaunti yake.“Thank you Twitter.” Diamond ameandika. ...

PICHA ZA VICHEKESHO ZA DIAMOND NA DAVIDO MTV HIZI HAPA

Tanzania's MTV MAMA nominee Diamond Platnumz on set with Nigeria's Nominee Davido shooting a hilarious skit for #mtvmama in Durban....

OMMY DIMPOZ AKARIBIA KUFULIA KWA HAYA.

      UNAPOTAKA kutaja majina ya vijana chipukizi, ambao sasa wanaogelea katika bahari ya ustaa , basi huwezi kuliweka mbali jina la Ommy Dimpoz , mkali wa vibao vikali vya Baadaye na Tupogo. Hizi ngoma mbili zimekimbiza sana na nadhani ndizo zinazompa shoo nyingi , ndani na nje ya nchi , ingawa pia hivi karibuni aliingiza mtaani kazi yake nyingine inayokwenda kwa jina la Ndagushima. Katika vitu huwa napenda , basi...