Diamond Platinumz ambaye yuko Durban Afrika Kusini akijiandaa na tuzo MTV,
ameongeza
sababu nyingine ya kutabasamu baada ya akaunti yake ya Twitter kuwa
Verified. Mkali huyo mwenye Followers Zaidi ya 34, 000 ametambuliwa na Twitter kuwa mmiliki pekee/halali wa akaunti yake. “Thank you Twitter.” Diamond ameandika.
0 comments:
Chapisha Maoni